Wisdom

9K posts

Wisdom

Wisdom

@whiz93

karma is a sister of life,,,, Key to life keep the bag coming,,,, Secure the bag,,,, To count ur blessings, stay away from they

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Temmuz 2014
1.5K Takip Edilen1.3K Takipçiler
August 8
August 8@JovithModest88·
@whiz93 @Lizzie36021 🤣🤣🤣kuna muda unahisi kama anashindana na watembea kwa miguu,akikuona unakatiza ndo anaileta nzima nzima.
1
0
0
2
chuga girl❣️
chuga girl❣️@Lizzie36021·
Boda boda sehemu ya kupiga honi anakutukania mama yako😂😂😂
Indonesia
3
8
44
1.1K
Wisdom
Wisdom@whiz93·
@zed_ogtz Ila kwa huyu ni kuwa makini zaidi, heri swala kurudi kwa swala wenzie lakin sio chui kulalamikia chuo wenzie na kutaka faraja kwa swala
Filipino
0
0
0
3
Big
Big@zed_ogtz·
Magufuli Alisema Hakuna Kitu Kizuri Kwa Kiongozi Kama Watu Walio Kukimbia Wanarudi. Hii Inanipa Moyo Kwamba Kazi Nayo Ifanya Inatukuka Mpaka Wameona Walikosea Kuondoka. "KARIBU TENA LOWASSA" Kwa Maana Hiyo Ata Heche Wanayo Furaha Hiyo. kuna Kitu Hatukijui Kwenye Neno "SIASA"
Indonesia
2
9
41
688
Fundi viatu na mabegi
Fundi viatu na mabegi@Mshonaviatu·
Bunge lenu likianza kupanga budget za nchi naomba lianze kupanga namna ya kutoa mitaji kwa vijana ambao tumekuwa mashabiki wa Manchester United kwa muda mrefu sana Tumeteseka sana itoshe kusema hivo 🙏🏽
Filipino
5
15
28
518
Wisdom
Wisdom@whiz93·
@LocalFundi_ Nadhan ukirejea ile interview yake na yule jamaa wa stativii anaewabanaga maswali utagundua hapaswi kurudi
Indonesia
0
0
0
4
sultan
sultan@chapanombombwi·
Nina uhakika kabisa kwamba maswali mnayojiuliza kuhusu Msigwa, viongozi wa chama walimuhoji pia. Viongozi wetu si wapumbavu kiasi cha kumpokea Msigwa kirahisi kama watu wengine wanavyodhani. Kwahiyo, jambo la msingi ni kuwa na imani na chama, tusimame na viongozi wetu, na kila kitu kitaenda kwa matakwa ya umma. Hiki ni chama cha umma ndugu zangu!
sultan tweet media
Filipino
21
13
62
1.8K
SIAH☺+255
SIAH☺+255@MalkiaTabasamu·
I Deserve three Like This 👇😊
SIAH☺+255 tweet media
English
6
4
16
311
Wisdom
Wisdom@whiz93·
@BlessdGrooveKid Kwahiyo we umechanganywa na magnification ya aifoni,sawa mwanetu
Filipino
1
0
0
16
Djkid_b_____
Djkid_b_____@BlessdGrooveKid·
@whiz93 Hamna Filter Hapo Mkubwa Mambo ya Aifoni tu
Filipino
1
0
0
107
Djkid_b_____
Djkid_b_____@BlessdGrooveKid·
Kama Huyu Tu Baba Naahidi Kutulia Nakuacha Mambo Yote Ya Ulimwengu🙏
Djkid_b_____ tweet mediaDjkid_b_____ tweet media
Indonesia
28
22
108
7.2K
Wisdom
Wisdom@whiz93·
@chapanombombwi Usalit ni level ya mwisho,marekani bora ujulikane kama mwizi lakini sio snitch
Indonesia
0
0
1
1
sultan
sultan@chapanombombwi·
Kama Msigwa ndio imekuwa hivi, je, hizi mbwiga zikirudi si zitafukuza wanachama wote? 😁
sultan tweet mediasultan tweet media
30
15
95
5.8K
Wisdom retweetledi
Waziri Wa Wapwa Og
Waziri Wa Wapwa Og@_rwanda_adamOg·
"Mti wa kimo chako hauwezi kukupa kivuli".✍🏿
Suomi
3
32
57
754
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Wengi mtakosa..Team Gani hii kutoka premier league👇
kasesco☆ tweet media
Polski
44
28
183
8.6K
kibaha_finest
kibaha_finest@kibaha_finest·
hawa jamaa wa mikopo online mtupumzishe sasa maana kila sehemu kila apps nakuta matangazo yenu imetosha sasa nikiwa nataka kukopa nitawafata ndugu zangu.💔💔🚮
Filipino
5
6
22
810
Wisdom
Wisdom@whiz93·
@zed_ogtz Pole mzee cku iz mapenzi ni kama unacheza aviator
1
1
1
37
Big
Big@zed_ogtz·
Mapenzi Huwa Ya Ajabu Sana Unaweza Ukaamua Kujitoa Kwa Mtu Kwa Kila Kitu Kumbe Yeye Hana Hesabu Na Wewe Anaangalia Interest Zake Tu Ajui Kama Anakuharibia Mipango Yako😭💔🙌🙌
Indonesia
7
12
54
1.3K
Wisdom
Wisdom@whiz93·
@StaffwaMtaa Kutetea uhai pale muhimbili it takes millions of money,ila anaekupa pumzi kila siku unamtokea jero
Suomi
0
0
0
7
STAFF WA MTAA✨
STAFF WA MTAA✨@StaffwaMtaa·
Vijana mnahonga sana na kulewa deile ndio maana mnatoa sadaka ndogo 🤔 .
4
15
63
797
Wisdom
Wisdom@whiz93·
@AllyAssed13070 Ebu jiulize kwanza ukiuziwa dawa feki au kutapeliwa hela utaweza kulalamika?
Indonesia
1
0
0
701
OSAMA BIN LADEN
OSAMA BIN LADEN@AllyAssed13070·
Hivi kuna dawa ya kuongeza mashine 🤔
Filipino
26
17
109
9.4K
Wisdom
Wisdom@whiz93·
@Day_Waka45 Kwanini mchezee chakula msipike kwa kipimo?
Filipino
0
0
1
6
Day Waka45
Day Waka45@Day_Waka45·
Anko "Ukitaka Kuoa Owa Mwanamke Ambae Anajua Wali Ulio Baki Usiku Nikitafunio Cha Asubuhi
Indonesia
22
37
89
1.2K
Wisdom
Wisdom@whiz93·
@EugeneOngeri She can strike Satan from both wings, left &right
English
0
0
0
10
Ongeri KE
Ongeri KE@EugeneOngeri·
Defender of the word of God! 😊😂
Ongeri KE tweet media
English
447
1.3K
8.3K
184.6K