MRISHO MRISHO (Mratibu wa Tuzo za Muziki Tanzania-BASATA): Kabla ya Tuzo tulikuwa na shughuli za kufanya, kwanza ni tathmini ya Tuzo za 2021, pili tulitengeneza Kamati ambayo ilitengeneza mwongozo wa Tuzo za 2022
Kamati ilipewa kazi ya kufanya utafiti na kushauri Serikali nini cha kufanya, baada ya hapo tukaingia kwenye Tuzo zenyewe
#JamiiForums#TuzoZaMuzikiTanzania#TanzaniaMusicAwards#TMASpace
MRISHO MRISHO (Mratibu wa Tuzo za Muziki Tanzania-BASATA): Zamani Msanii alikuwa anaangaliwa yeye mwenyewe, lakini sasa hivi Msanii anaangaliwa kama Taasisi kwa kuwa ana Watu nyuma yake
Kwa kuwa Muziki umebadilika na Wasanii kuwa ‘brand’, ndipo Kamati ikashauri ni vema Wasanii wenyewe wajipendekeze, wachague wapi wakae na kweli wakajitokeza
#JamiiForums#TuzoZaMuzikiTanzania#TanzaniaMusicAwards#TMASpace
BREAKING: Kocha Mkuu wa Klabu ya @RSBfootball "Florent Ibenge" ameripotiwa kupata ajali mbaya ya gari jana alipokuwa akirejea nyumbani kutoka mazoezini.
Amejeruhiwa vibaya (amevunjika mara mbili) na hatakuwepo kwa muda mrefu kulingana na ripoti iliyotolewa.
#KitengeSports
Tambi Kidogo, Tumaharage Twa Sukari Na Tu-uji Twako, Na Tende Kidogo!! Thats Enough!!
Sio Unajaza Mivyakuuuuulaaaaaa Miiiingiiiiii Kwenye Mkeka!! Mpaka Unaishia Kuvimwaga!! Hiyo Ni Israfu!
@CarolNdosi Nadhani tutafute solution ya haya mambo. Naamini tukiamini inawezekana mabadiliko na tukifikisha ujumbe mahali husika something will change