nziyubu Jr

1.7K posts

nziyubu Jr

nziyubu Jr

@yusuph012

football; manchester united

Morogoro-Kigoma, Tanzania Katılım Aralık 2021
397 Takip Edilen400 Takipçiler
nziyubu Jr
nziyubu Jr@yusuph012·
@Balyx_ Uzuri wa bahati Ronaldo atastaaf hivi karibuni Tuone watakapo ifikisha ureno
Indonesia
0
0
0
436
Balyx
Balyx@Balyx_·
Piga kazi kijana Tupo nje ya muda
Balyx tweet media
21
29
322
8K
ATIENO
ATIENO@atienomyname·
@ZakayoMmbaga Huyu naye anaongea kama amekatwa kichwa simu kubwa majina huwa yanabaki katka google contacts ukitoa laini ni unaanza upya,sasa kama bkda alisave kwenye google laini itabaki vipi na majina?.
Filipino
2
0
1
220
Dr Mmbaga
Dr Mmbaga@ZakayoMmbaga·
Huyu ni shuhuda tu wa tukio “bodaboda” kahojiwa by random selection, hajapata muda wa kujipanga cha kusema. Lakini namna ameelezea mfululizo wa matukio na kuhusianisha moja na jingine, unaweza ukaelewa ni kiasi gani mtaa una watu wenye uelewa mpana wa mambo na tunawachukulia poa.
Indonesia
21
18
197
20.4K
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
@DavidTelly2 Sifahamu kwa sababu natumia wi-fi ya unlimited ila inaweza cost GB nyingi kama ni limited bundle
Indonesia
1
0
1
575
M O X
M O X@UrBoyMox·
Kuna mwanangu amenambia nanukuu "Umeona makampuni ya Azam haya, Kama wewe ni mkristo unahitaji connection kubwa sana kupata ajira Jamaa wana udini sana" Eti ni kweli?
Indonesia
105
49
620
53K
nziyubu Jr
nziyubu Jr@yusuph012·
@tweettza @ZuwenaKhatib @UrBoyMox Wakipewa kazi mnasema wanawapa waislamu wenzao. Wakiwapa wakristo mnasema waislamu hawasomi kufikia huko yaan makafiri ni mnashida saana
Indonesia
1
0
3
84
tza
tza@tweettza·
@ZuwenaKhatib @UrBoyMox Sababu waislam wengi hawasomi hadi kufikia huko top..wanakosa namna
Indonesia
1
0
0
262
PeeTAH
PeeTAH@Pierre88751351·
@Komando69725157 @Mzungu_pori1 Wanapigwa kizembe km wa Iran🫢,ni wa ngazi za juu km wairan,ni wengi km Iran,Ayatollah nafasi yake kwa mfano unajua unaifananisha na nani pale urusi
Indonesia
1
0
0
49
MZUNGU PORI💪
MZUNGU PORI💪@Mzungu_pori1·
Sema inatia shaka sana ulinzi wa anga wa iran ni kama upo tupu, hii ndege ilizunguka kwenye anga lao na hawakufanya lolote hawa ndo tunasema wana siraha kali??💔💔😮‍💨😮‍💨
MZUNGU PORI💪 tweet media
Filipino
57
16
312
22.8K
nziyubu Jr
nziyubu Jr@yusuph012·
@HusseinJamaldin @Rasheed_Atm @Rahim_Meghji Hakukuwa na hoja hapo nimeuliza saudia ni dola tukufu??? Kwa hiyo huko kusikia na kutiii na mnatii muamerika na Israeli kuliko waislamu wenzenu wa Palestine ambae wanashindwa hata kupeleka misaada Wana host world cup Kwa maandalizi ya mabilion.
Filipino
0
0
0
9
Hussein Jamaldin
Hussein Jamaldin@HusseinJamaldin·
@yusuph012 @Rasheed_Atm @Rahim_Meghji Kwa ufupi, misingi ya Salaf kuhusu viongozi ni: ✍️ Kusikia na kutii katika yaliyo mema (ma‘ruf). ✍️ Kutofanya uasi au uasi wa wazi (khurūj) isipokuwa pale panapodhihiri ukafiri wa wazi wenye dalili. ✍️ Kutoa nasaha kwa njia ya hekima, mara nyingi tena kwa faragha.
Indonesia
4
0
0
51
بو سالم 🇹🇿
بو سالم 🇹🇿@Rahim_Meghji·
Hii ndio Yemen sasa, tofauti na inavosimuliwa na mawahabi
Filipino
5
2
17
800
nziyubu Jr
nziyubu Jr@yusuph012·
@msouthherbs @WAZIRI_KILIMO Hakuna mtu anabisha suala la kujengewa makaburi kuwa halifai. Umeelewa kaita dola tukufu ya saudia. Unakubaliana kuwa saudia ni dola tukufu kama alivyosema sheikh kasimu mafuta!?? Au alimqqnisha Nini kusema dola tukufu ya saudia. Kujengewa makaburi Haina ubishi haifai
Indonesia
1
0
0
9
nziyubu Jr
nziyubu Jr@yusuph012·
@HusseinJamaldin @Rasheed_Atm @Rahim_Meghji Ili jambo lisifikiriwe na watu ni lazima lipewe jina mbaya, lipingwe lionekani haliwezekani. Unasema kiongozi hakosolewi hadharani, ila anasifiwa hadharani Kwa udhalimu wake!??. Au hamuamini kama jihad ipo Hadi wakati wa zama hizi!??
Indonesia
0
0
0
9
Hussein Jamaldin
Hussein Jamaldin@HusseinJamaldin·
@yusuph012 @Rasheed_Atm @Rahim_Meghji Hivi ndugu yangu unajua nasaha za kiongozi zinafikishwaje ?? Unadhani kiongozi ana kosolewa wazi ?? Na ndio maana tunarudi pale jihadi haiwezi kusimamishwa mpaka msome tawheed na sunnah na mzielewe… how come unataka kupinga maneno ya mtume wako ?
Indonesia
2
0
0
14
Rare_Gem💎
Rare_Gem💎@FamWorld2025·
Okay mimi sio mwanaume siwezi kuelewa🙌🏾 lakin make it make sense ulienda kwa wazazi wa mwanamke u ask for hand in marriage wakakupa binti yao ukaoa 💍ukamzalisha watoto 👩🏻‍🍼just for you to go out and cheat? huwa hamuwazi hata hao wazazi wa hao wake zenu yan aibu hamna kabisa🥺🤦
Indonesia
114
20
237
36.4K
nziyubu Jr
nziyubu Jr@yusuph012·
@HusseinJamaldin @Rasheed_Atm @Rahim_Meghji Unajua kabisa lengo la kambi hizo ni kukudhoofisheni na kukushambulieni kutoka kwenu. Wakati wazayuni na kafiri wakipanga mikakati ya miaka mia juu yenu nyie mnakalia jihad inanguzo zake ni zipi hizo, zitatimiaje Kwa njia mbona hamhubiri hili, mbona hamhamasishi hili
Indonesia
0
0
0
20