Sabitlenmiş Tweet
Ramazz
1.8K posts

Ramazz
@ravuway
'I am merely a guest born in this world to know the secrets that lie beyond it'
Katılım Temmuz 2024
15 Takip Edilen33 Takipçiler

@Carnivorous_07 @mentor209 Sidhani hata kama una akili timamu.
Kiswahili nacho ni shida.
In short unatumia ubongo km decoration ya kichwani.
Indonesia

@ravuway @mentor209 Nan mwenye akili timamu aje ajenge chuo sehemu watoto shule sio kipaumbele? 😀😀😀 uko madrasa bdo sehumu yake ila mjue madrasa sio chuo
Filipino

@Carnivorous_07 @mentor209 Ukiendelea kufikiri kidogo tu kwa umakini utaelewa kwanini vyuo viko Tanganyika sio Zenji.
Utaelewa tu, gulagula wewe.
Indonesia

@ravuway @mentor209 Zenji akili zao mdogo sana ! Vyuo vya kati vya private vimejaa sana madogo wa humo 😀😀😀 ni wateja wazuri sana wa vyuo vya kati huku tanganyika kea corse zinazoitaji D 2 tu
हिन्दी

@Mollel00 @mentor209 Hakutaki skills kuwa kibarua wala kuchimba mitaro.
Na sio kama skill tatizo, hiyo ni nadharia finyu. Cheap labour ndio private companies nyingi hufuata hata kama wazawa wapo na ujuzi/uzoefu.
Mzawa hawezi kufanya kazi yenye ujira mdogo. Mgeni atafanya as long as siku zinakwenda
Indonesia

@ravuway @mentor209 Hdi, pato la mtu mmoja mmoja pamoja na gdp inaonesha tofaut. Zanzibar wana lack skills za kufanya hzo kazi Ukienda hata projects za paje utakuta engineers na artisan toka Dsm Nairobi na Arusha local zanzibaris wanalack hzo skills.

@Mollel00 @mentor209 Well, Zanzibar ni tajiri kipekee basi kwa minaajili hiyo. Maana cheap labour ni watanganyika.
Indonesia

@ravuway @mentor209 Sio nchi zote dunian ni nchi tajiri dunian na zanzibar sio nchi tajir
HT

Mimi nauliza , hivi mtu hawezi kuongea kiingereza na lafudhi yake mpaka atumie faux accent ? Tharis ndio nini .
Hafu, tatizo sio kiingereza hapo. Ni kwamba hajafahamu alichoambiwa. Ni wazi hajui kiingereza.
Akili ni neno pana. Inahitajika katika kujifunza lugha yeyote.
goligani@goligani
IQ = low battery English = full charge Endeleeni KUAMINI kujua kingereza ndo kuwa na AKILI ilihali kingereza ni LUGHA kama lugha zingine 😂😂
Indonesia

Wanasema money cannot buy happiness.
Boy child huwa anastruggle na depression yenye kuja na kupotea and insecurity tangia Aliambiwa he's nobody. All those add to his unhappiness
SPOON@TonnyUnfiltered
Kivip mwanaume ukiwa financial stable unakosa furaha?
English

@ravuway @mentor209 Zenji elimu hakuna kabisa kidogo mwinyi ndio anajenga mashule ili wasome ila bado muhamko bado mdogo
Filipino

@sky1827017 @ravuway @mentor209 kwamba 😂😂😂🙌🏿🙌🏿afu wenye majuzuu wenyewe uarabuni wanasomesha kishenzi watoto zao tena ulaya kabisa
Indonesia

@sky1827017 @mentor209 Kwani huwezi kusomea uingineer?
Hafu huku zenji hata mtu wa phd basi anaweza kujaza juzuu kichwani. Maana
Dini ni yetu.Quran tumeletewa sisi. Kuisoma lazima.
Indonesia

@ravuway @mentor209 Sasa form alaf unataka kuwa engineeer shekhe...bichwaaa limejaaa majuzu tuu mzee mkavuu
Suomi

@w_e_n_y_e_w_e_ @mentor209 Kuna tofauti kati ya Punda na pundamilia.
Sasa tumia akili yako ya darasa la nne kung'amua .
Filipino

@FLUCONAZOLE32 @mentor209 Hakuna kitu kama kazi za kiume.
Teseka tu na umasikini.
Indonesia

@ravuway @mentor209 Na fact ni kwamba kazi za kiume wengi wenu hamuwezi. Ndo mana nimekwambia kwenye kozi za kazi Fulani mlikuwa mnakufa wengi Sababu ni mchele mchele.
Polski

@Excess300 Uko mbali. Mimi the boys pia sijaaza kutizama. Ila nikipata muda nitazitizama.

@FLUCONAZOLE32 @mentor209 Mimi sitetei mtu. Nimeweka FACT. kukubali hilo ni juu yako.
Indonesia

@ravuway @mentor209 Kuwatetea sababu nawe ni Wa huko haibadilishi uhalisia kuwa nyinyi ni nyoronyoro ndo mana vijana wenu wanaishaga sana course Fulani Fulani .
Filipino





