Ziddy Noli

9.8K posts

Ziddy Noli banner
Ziddy Noli

Ziddy Noli

@ziddynol

Wake Up Tz

Morogoro, Tanzania Katılım Mayıs 2015
638 Takip Edilen292 Takipçiler
Ziddy Noli
Ziddy Noli@ziddynol·
@HildaNewton21 Mbali na Rushwa, Ufisadi, Mikataba mibovu Africa inaendelea kuwa nyuma kwa Sababu Viongozi wa Africa wakiwa ofisini wanatumia Muda mwingi kulinda madaraka kuliko kufanya maendeleo. Wenzetu wanaendelea kwa sababu ya uwajibikaji na si kung'ang'ania na kulinda madaraka.
Ziddy Noli tweet mediaZiddy Noli tweet media
Indonesia
0
0
0
46
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️IKITOKEA NIMETEKWA/KUPOTEZWA AU KUUWAWA, KINGAI NDO ATAKUWA MUHUSIKA NO. 1‼️ Nimepewa taarifa kwamba Mkurugenzi wa Upepelezi wa Makosa ya jinai nchini (DCI) Ramadhan Kingai ametuma Team ya maofisa wa Polisi wanitafute popote nilipo, wanifikishe kwake nikiwa hai au maiti, Kingai anadai nimedharau na kukejeli wito wa Jeshi la Polisi ambao waliutoa siku kadhaa zilizopita. Team hiyo aliyoituma inaongozwa na ofisa wa Polisi Kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dodoma jina lake ni Edward Pius Soteli wengine ni 1. Detective Juma Sadick Bahat, huyu Katolewa ofisi ya RPC wa Mtwara, 2.⁠ Detective David Edward Mabula huyu katolewa ofisi ya RPC wa Ruvuma. 3. Detective Eliud Peter Kivuyo, huyu katolewa ofisi ya RPC wa Iringa 4. Detective Ally Jamal Mganzo huyu katolewa ofisi ya RPC wa Kigoma 5. Detective David Sailevo Lukumay, huyu Katolewa ofisi ya RPC wa Tabora. Serikali haram iko na mambo ya hovyo sana yani pesa kwa ajili ya kufanya maendeleo hakuna lakin pesa za kulipa watu ili watutafute na kututeka zipo za kutosha.🚮
Hilda Newton tweet media
Indonesia
68
350
1.4K
56.1K
Ziddy Noli
Ziddy Noli@ziddynol·
@nassor_01 Kutomba ingechukuliwa kwa heshima yake na si kama starehe, magonjwa mengi yasingekuwepo
Indonesia
0
0
0
3
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
Hivi?! Zaidi ya kutomba Kuna starehe gani nyingine inaweza kufanya u enjoy maisha!..🤔😎
Indonesia
29
12
74
6.6K
Faith Melinda
Faith Melinda@keezafaith·
Dear men What can make a man lose interest at this point? 🤔
Faith Melinda tweet media
English
860
76
1.9K
113.3K
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Kofuatacho ITV Kanakuja kale kamziki,,,, ndiii ndiii ndiiii IGIZO 😁😁😁😁
Jebra Kambole tweet media
Indonesia
45
46
328
16K
P'site Shio
P'site Shio@Psiteshio1·
Heka moja ya bangi inatoa gunia 6 na kila gunia 1 NI million 20 Heka moja ya mahindi inatoa gunia 15 na kila gunia NI 40000 Sasa NI wewe Tu uchague
Indonesia
7
4
55
2.7K
Ziddy Noli
Ziddy Noli@ziddynol·
@master_plan9 Nko huku migodin chunya mby, binafsi huwa siamini kama mganga anaweza akakufanya upate dhahabu huwa ni juhudi zako binafsi tu
Indonesia
0
0
0
70
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Wanangu Hivi Nikitaka Kwenda Mgodini Kusaka Dhahabu Lazima Nikachanjwe Kwa Mganga au Nikomae Tu kwa Kuomba Sana kwa Mungu?
Indonesia
23
28
128
4.4K
Ziddy Noli
Ziddy Noli@ziddynol·
@FaradayMtz01 Tuna viongozi ambao wameweka mbele maslai yao binafsi na si ya nchi au raia kwanza. Tuna viongozi ambao wanakuwa mabilionea pamoja na watoto na marafiki zao kwa muda mfupi tu pindi wawapo madarakani. Tuna viongozi ambao wanapenda kupokea rushwa kutoka kwa wawekezaji
Indonesia
0
0
1
89
I ❤️ Dar Es Salaam
I ❤️ Dar Es Salaam@FaradayMtz01·
Hivi hujiulizi kwa nini hapa EA? Wawekezaji wanapendelea 🇰🇪? Viongozi wengi wa nje huitembelea 🇰🇪? Mr Beast, Ishowspeed Walienda 🇰🇪? Watalii wengi kwa mwaka huenda 🇰🇪? Tech Startups zinaanzishwa nyingi 🇰🇪? Jibu ni kwamba tuna Viongozi wajinga mno ambao hufurahia vilio vya raia.
Indonesia
22
16
152
5.3K
Çhøpër
Çhøpër@Chopawang·
…Ikulu Ya Marekani Inaitwa White House, South Korea Blue House, Ikulu Ya Tanzania???
Eesti
30
15
85
4.8K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Kupanda kwa gharama za mafuta nchini kumeendelea kuongeza ugumu wa maisha kwa wananchi wengi. Angalau basi, punguzeni tozo na kodi kwenye mafuta ya dizeli, kwani dizeli inapopanda bei, gharama za usafiri wa umma, usafirishaji wa bidhaa na huduma mbalimbali hupanda pia. Hii ni kwa sababu dizeli ndiyo mafuta yanayotumika zaidi katika sekta ya logistics, mabasi, malori na shughuli za uzalishaji. Mojawapo ya njia nzuri ni kupunguza au kuondoa baadhi ya kodi na tozo kwenye mafuta ya dizeli ili kushusha gharama za usafiri na bidhaa muhimu sokoni. Hatua hiyo itasaidia kudhibiti mfumuko wa bei na kuimarisha shughuli za biashara na uchumi kwa ujumla. Uchumi imara huanza na maisha nafuu kwa wananchi wake.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
14
70
414
13K
Ziddy Noli
Ziddy Noli@ziddynol·
@kasesco_tz Kuna Argentina pale Dar, kuna Urusi na ujerumani kule chunya Mby migodini
Indonesia
0
0
1
257
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Taja nchi nyingine inayopatikana Tz.
kasesco☆ tweet media
Indonesia
74
39
299
13.9K
Ziddy Noli
Ziddy Noli@ziddynol·
@master_plan9 Ya kutafutia kifo ni sawa na sumu ya panya ukiishika vibaya umeliwa
Indonesia
0
0
2
316
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Hii Chuma Kutoka Dar Mpaka Mwanza ni Masaa mangapi?
Masterplan🇹🇿 tweet media
Indonesia
52
49
322
19.5K
Ziddy Noli
Ziddy Noli@ziddynol·
@EduTalkTz Aliamza JK alistafu akiwa na PHD, JPM akapata udaktari mapema sana skiwa ikulu, samia amepata na uprofesa kabisa na udaktari wa binadam, ukimwambia ataje chemba 4 za moyo hawez hata moja
Indonesia
0
0
11
289
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Dkt. Samia Suluhu Hassan😂😂😂😂!!!
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
23
52
400
10.4K
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Argentina Wana Messi Brasil Wana Pele Ureno Wana Ronaldo Sisi Tanzania tunanani?
Italiano
152
81
279
18.4K
Ziddy Noli
Ziddy Noli@ziddynol·
@PolycarpMDM Alisumbuliwa sana na JPM mpaka JPM akagundua kumbe watangulizi wake walikuwa na michongo
Indonesia
0
0
0
44
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Ili kupata jibu la kwa nini Kenya na sio Tanzania turudi nyuma kwenye Dangote cement. Je kiwanda bado kipo? Mazingira ya uwekezaji kwake yalikuwa rafiki? Kuna kitu alikiona ndio maana hataki kuwekeza Tanzania
Indonesia
30
19
275
13.8K
SUKUNUNU 🇹🇿
SUKUNUNU 🇹🇿@sukununu01·
Huuuuuuuu nao niusela na minyororo shingoni kama mbwa koko ?
SUKUNUNU 🇹🇿 tweet media
Indonesia
5
0
16
783
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
“mimi ni mali ya Mungu, ndiye atakayeamua lini ananihitaji.” Mzee Warioba
Tanzania Abroad TV tweet media
Indonesia
4
93
829
7.6K
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Mimi sielewi, majinga yananitumia hii moka dm, kwani kumetokea nini, nisije nikaingia kwenye matatizo siyaelewi mimi😂💔🙌..
The champ👑 tweet media
Indonesia
30
38
170
14.5K