Bavovna retweetou
Bavovna
5.2K posts

Bavovna retweetou
Bavovna retweetou

Huyu ni kijana wa Kitanzania akipigwa na vijana wa Afrika Kusini..
Huyu ameenda kutafuta maisha kwasababu hapa kwetu haoni kesho yake..
Ameacha Nchi pekee yenye Tanzanite Duniani, Nchi ya tatu kwa dhahabu, Nchi yenye gesi, makaa ya mawe, chuma na ardhi ya kutosha, ameacha maji na mbuga za wanyama..
Leo anafanyiwa hivi na watu ambao walipata hifadhi yao hapa wakati wakipigania Uhuru wao..
Leo Nchi yetu iko mikononi mwa kikundi kidogo na wachina huku vijana wetu wakifanywa kama mbwa kwenye Nchi za wageni.!!!
Nimeumia sana x.com/jimNjue_/statu…
Filipino
Bavovna retweetou
Bavovna retweetou

In my role as Patron of the @AWLNetwork, I joined former Ethiopian President @SahleWorkZewde and Executive Director, Joyce Mends-Cole on a network visit to Dar es Salaam, at the invitation of President @SuluhuSamia of Tanzania. We engaged stakeholders to better understand the causes and implications of the October 29 unrest.



English
Bavovna retweetou

Pres @SuluhuSamia: Hawa (pichani) wako jela kwa makosa makubwa ya ugaidi kwa maelekezo ya Sabaya na genge lake, wanadai. Walikamatwa Hai wakati wa uchaguzi wakihusishwa na CDM & Mbowe. Waliteswa sana - see how weak they were, & the scars. Wako jela Segerea.


Indonesia
Bavovna retweetou

Je, wale waliopoteza viungo vyao vya mwili? Waliokatwa masikio? Waliogongwa misumari miguuni? Waliofanya ukatili wa kutisha kama kulawitiwa wakati wakimtetea Mzee MBOWE akiwa mbunge wa HAI, wamepewa faraja au kuombwa msamaha? Wengine walilazimika kutelekeza familia zao na kuwa wakimbizi kwa kuhofia usalama wao. Hali hii inajenga picha kuwa Mzee MBOWE ameweka maslahi yake binafsi mbele na kusahau gharama kubwa waliyolipa wafuasi wake. Hii ni dhihaka kwa watu wote ambao waliwahi kuamini katika njia zake. Hii inatuogopesha ambao tumewahi kumpambania hadharani. Hata hivyo, SABAYA anatakiwa kuomba msamaha mwenyewe, siyo kuombewa msamaha. Kimsingi, msamaha ni jambo la kibinafsi na la kimaadili kati ya mtu aliyekosea na yule aliyekosewa. Msamaha wa kweli unahitaji sauti ya mkosaji mwenyewe.


Indonesia
Bavovna retweetou
Bavovna retweetou
Bavovna retweetou

@prossoff Chama Cha CHADEMA Kwa Watanzania Ni Imani Kama Ilivyo DINI Kamwe Hakiwezi Kufa
Chadema Ilisimikwa Rasmi Kwenye Mioyo Ya Watanzania Mwaka Jana Mwezi January
Sijutii Muda Wangu Na Bundle Langu Nilivyotumia Kupush Kampeni Za TUNDU LISSU Na JOHN HECHE Washinde Ule Uchaguzi.
Indonesia
Bavovna retweetou
Bavovna retweetou
Bavovna retweetou
Bavovna retweetou

Umeugua malaria kidogo umekumbuka nasaha hizi. Haya asante, mfikishie bi mchawi samuya azipate pia
Mohammed Dewji MO@moodewji
Kuwa mnyenyekevu daima, usijione bora kuliko mwingine yeyote. Maana tumetoka mavumbini, na mavumbini tutarejea. Juma Kareem.
Indonesia
Bavovna retweetou

Katika makala hii, nimejaribu kujenga hoja kadhaa juu ya kilichotokea wiki ya uchaguzi na kinachotukabili kama nchi;
1) Si cha kipekee kwa Tanzania tu.
2) Si kweli kwamba kimesababishwa na wapinzani na wanaharakati.
3) Si kweli kwamba vijana walilipwa kwenda kuandamana.
4) Vijana wana mahitaji ya dhati na ya msingi lakini hawaoni kwamba kuna mtu ana nią ya dhati ya kuyatatua.
5) Hichi ni kizazi cha tofauti; kinajua kinachotaka, na kina ujasiri wa kukidai kutoka kwa serikali/viongozi/watawala, ikibidi hata kwa njia zisizo za kawaida.
Indonesia
Bavovna retweetou
Bavovna retweetou
Bavovna retweetou

MATAKO YAKO
Lazaro Nyalandu@LazaroNyalandu
Today, Tanzania takes an important step in the right direction. The release of the Commission of Inquiry's report into the post-election violence is a significant moment, for accountability, for our democracy, and for our healing as a country. #Tanzania #CommissionOfInquiry #Democracy #Accountability #GoodGovernance
Filipino

















