Samwel Gerald

16 posts

Samwel Gerald

Samwel Gerald

@samclip

Advocate at Victory Attorneys & Consultants ● Lecturer of Law-University of Dar es Salaam School of Law●

Tanzania Entrou em Mart 2010
0 Seguindo17 Seguidores
Samwel Gerald retweetou
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
Kwani MATAGA serikali ya Rais mpya haijawapa muongozo nini cha kufanya? Maana ni kama bado mmevurugwa na kufiwa na Meko (siwalaumu maana mlifichwa alikuwa na afya mbovu 10yrs ago) Kaeni jipangeni wawape script mpya ya awamu hii ili twende sawa! We have big agendas ahead of us
Filipino
46
79
1.6K
0
Samwel Gerald
Samwel Gerald@samclip·
@realDonaldTrump Hey spoiled toddler you must know when to concede. You are pathetic and pathological liar.
English
0
0
0
0
Donald J. Trump
Donald J. Trump@realDonaldTrump·
I WON THIS ELECTION, BY A LOT!
English
680.6K
135.5K
955.2K
0
Ivanka Trump
Ivanka Trump@IvankaTrump·
Every legally cast vote should be counted. Every illegally cast vote should not. This should not be controversial. This is not a partisan statement — free and fair elections are the foundation of our democracy. 🇺🇸
English
60K
27.4K
157K
0
Aston Villa
Aston Villa@AVFCOfficial·
🚨 𝗧𝗘𝗔𝗠 𝗡𝗘𝗪𝗦 🚨 Here is our first starting XI of the 2020/21 Premier League season! 🟣 #AVLSHU
Aston Villa tweet media
English
394
500
4.7K
0
Samwel Gerald
Samwel Gerald@samclip·
@ymcthetycoon @AnethStanley @MagufuliJP Ukitangaza tu nia, inatakiwa uombe likizo bila malipo. Ikiwa utateuliwa kuwa mgombea na tume ya uchaguzi, utatakiwa kuacha kazi mara moja. Kiujumla , mchakato unaanza pale tu unapotia nia kugombea nafasi ya uongozi .
Indonesia
0
0
1
0
Aneth Stanley
Aneth Stanley@AnethStanley·
Mkurugenzi wa jiji DODOMA alikuwa anagombea morogoro na huku akiendelea na kazi za ukurugenzi Kama vile hakuna Jambo mpaka juzi alipoteuliwa ndipo akaondolewa kwenye nafasi ya ukurugenzi. Raisi @MagufuliJP antumia madaraka tuliyompa vibaya, hazingatii Sheria yoyote ya nchi.
Indonesia
50
60
996
0
Samwel Gerald
Samwel Gerald@samclip·
@AnuaryMgonde @zittokabwe Hivyo baada ya kupata ulemavu huo, wakaanza kumdai mbunge (Masala) kwa wakati huo ili awalipe fidia kwa kuwa mzee huyo alipata ulemavu wakati wa kusherekea ushindi wake. Sasa pima mwenyewe na uone kama huo ni utapeli, kama unavyomchafua mtu kwenye mitandao
Filipino
0
0
0
0
Anuary Mgonde
Anuary Mgonde@AnuaryMgonde·
@zittokabwe Zitto acha "UPOTOSHAJI"... Wizi na Utapeli ndio chanzo cha mgombea wenu kukamatwa kufuatia vurugu zilizofanyika wakati mdai alipofika kudai haki yake. Usilete ushabiki wa siasa kwenye maisha ya watu. Unamuona huyo mama anayelalamika? Shame on you.
Indonesia
4
0
5
0
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Mgombea wetu wa Ubunge Jimbo la Nachingwea Ndg. Masala anashikiliwa na Polisi tangu Jana na hivyo kuzuiwa kuchukua fomu za Ubunge. Alichukuliwa kutoka Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi ambaye alikimbia Ofisi. Naiomba NEC na Jeshi la Polisi kuepuka kutumiwa na CCM. Tafadhali sana
Indonesia
137
148
1.7K
0
Samwel Gerald
Samwel Gerald@samclip·
@AnuaryMgonde @zittokabwe Acha kupotosha, usimuite mtu mwizi na tapeli ilhali hujui nini kilichotokea na chanzo cha madai hayo. Huyo baba mwenye ulemavu, alipata ajali iliyosababisha ulemavu huo mwaka 2015 wakati anasherekea ushindi wa ubunge wa Masala mwaka 2015.
Indonesia
0
0
2
0
Damian Sanya
Damian Sanya@damian_sanya·
@AnethStanley @MariaSTsehai @MagufuliJP Hakuna sheria inayowakataza hata hao madc na ma-rc ni utaratibu wa magu tu kuwatengua lkn sheria haisemi hivyo, ungekuwa una miaka mingi ningekwambia urejee kilichokuwa kikifanyika chaguzi za miaka iliyopita
Indonesia
5
1
2
0
Papaachilu
Papaachilu@ymcthetycoon·
@AnethStanley @MagufuliJP Ila kisheria ukitangaza nia hutakiwi kutolewa kwenye kazi uliyopo mpaka ukitangazwa kuwa umeshinda na unaenda kuwania hiyo position,if umeshindwa unakuja endelea na kazi yako tu au ipoje wakuu
Indonesia
5
0
7
0
Pope Francis – ARCHIVE
Pope Francis – ARCHIVE@Pontifex266Arch·
God has no need to be defended by anyone and does not want His name to be used to terrorize people. We call upon everyone to stop using religions to incite hatred, violence, extremism and blind fanaticism. #HumanFraternity
English
1K
11.2K
46.2K
0