
🤠
16.4K posts


@criannicas_ Inabidi ubadilike kabla haijawa mbaya siku moja ukajifunza the hard way kama mimi😁
Indonesia

Kuna fundi nimempata hapa Twitter,
Anitengenezee meza kama hii.
Kazi zake nimeona… fresh,
bei pia iko fresh.
Akanambia,
Inabidi nimlipe nusu,
Akimaliza namalizia pesa yote.
Lakini shida yangu…
Nimetoa hela yote kwa pamoja 😭
Hii tabia ya kumwamini mtu haraka itani-cost siku moja.
C R I A N N I C A S ♟️@criannicas_
Kwa Bongo wapi naweza pata meza kama hii?
Filipino
🤠 ретвитнул

@BarakaMaviatu Vyote vina umuhimu ila ukija kuangalia mianya ya hela zinazochotwa wala hakutakiwa kuwa hapo anapiga kelele
Filipino

Workshop/Viwanda vidogo vya Bilioni 8 kila wilaya au magereza kupanga ni kuchagua.
Swahili Times@swahilitimes
Serikali imesema takribani wilaya 50 hazina magereza, na kwamba ujenzi wa kila moja utagharimu takribani bilioni 8.
हिन्दी

@geofreymtemaka1 @JamiiForums Huna akili kama huyo mbunge,kwa nini wasizuie mianya ya upigaji na kupunguza gharama za kuendesha serikali?
Indonesia

@JamiiForums Mi nadhani waweke tozo kubwa zaidi ili iharakishe ujenzi wa Madarasa na tozo iwekwe kwenye pombe,laini za simu,kupiga na kupigiwa simu pia ,yangu ni hayo ,itasaidia kukuza uchumi kwa haraka
Indonesia

DODOMA: Mbunge wa jimbo la Tanganyika, Selemani Kakoso ameyasema hayo Bungeni Aprili 13, 2026 wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Nini maoni yako Mdau?
Shiriki kwenye mjadala jamii.app/TozoMiamala
#JamiiForums #Governance #Uwajibikaji
Indonesia


@glorynnah @joharimshana Kuna mtu kasema yupo simple hana hayo mambo ni mtoto tu kaamua kuwa wa mjini,sijakubaliana naye lakini
Indonesia

Watu wa X, Mnapenda mambo makubwa 😂 nimewaona kwenye video hapo chini wote, mnaitana mpaka DM kwasababu ya huyu binti 😂.
Jaman huyu ni binti mdogo 😂 ila nimeona hapo mmesema yuko kwenye GSM family, hapana bali alizaa na mfanyakazi wa kutoka GSM aliingia kingi binti wa watu akihisi ni family member!!
Hata hiyo G wagon ni ya mama yake, Mama yake ndio well wealth na hata surgery pia kalipiwa na Mama yake! Shida moja ni mtoto wa mjini sanaa ila sio wa kuhongwa hela maparachichi 😂 kazi kwenu mlioitana DM 😂!



Indonesia

@spana_Konki Colonialism mindset ndio inapoteza hawa viumbe kudhani wazungu ni malaika na kumbe ndio wanaongoza kuwatreat vibaya zaidi,haya huyu akajaa kwa kibabu na kipara chake mtoto mdogo kisa black men mambo hayakwenda alivyotaka na greedy imemletea kifo
Indonesia

Wana: Atakuua
Masista doo wa soft life: Beautiful, Happy for you 😘, Yes Sista, May this kinda love find me 💀 lmao
Kuna kundi ni wanafiki dhidi ya wenyewe always ila sijui ni lipi hapo

Alban 🇨🇩@albanene
MULTIPLE people have warned her WEEKS ago. It’s almost as if she wanted this to happen.
Indonesia

@IgoraIrene32964 Jinsi unavyotuuza ndio unatupa connection mpya,tunakupenda pia😂😂
Filipino

@Makalla_M Tubaki tu kwenye kuamini nyeti kupotea hayo mambo ya anga ni makubwa sana kwetu
Filipino

Mtaalam wa mambo ya Anga na elimu mbalimbali @_edy03 una maoni gani?
FLAT EARTH LIBRARY@FELibrary_
Indonesia

@IgoraIrene32964 @fintanjr_ @Happinesmlay @INFLUENCERjr @Innocen89950594 @JosmanStima @julip202 @IWillLive_X Kuna mwanangu yupo pale ndio alinipa hiyo hoja nikaishia kubishana tu😁
Filipino

@_edy03 @fintanjr_ @Happinesmlay @INFLUENCERjr @Innocen89950594 @JosmanStima @julip202 @IWillLive_X Polisi ni kwa ajiri ya loss report ila passport haziuzwi man unapambana na serikali yaan mi toka mwaka jana wa 12 imepotea nateseka sana 🥲🥲
Indonesia

@IgoraIrene32964 @fintanjr_ @Happinesmlay @INFLUENCERjr @Innocen89950594 @JosmanStima @julip202 @IWillLive_X Sikuambiwa hiyo ila niliambiwa nianzie polis,na bei inakuwa kubwa wakudai kuna wadau huwa wanaziuza eti sasa sijajua ukweli wake
Filipino

@_edy03 @fintanjr_ @Happinesmlay @INFLUENCERjr @Innocen89950594 @JosmanStima @julip202 @IWillLive_X Hivi kwanza huwezi rudisha passport mpaka utangaze gazetini mbona imekaa kizamani sana hiyo jaman😂😂😂
Indonesia

@MarekaMalili Alikuwa akiaponda sana Black men,hii inferiority complex ya Black women ni mbaya sana wanahisi nature inatofautisha tabia kati ya whites na blacks
Indonesia


@Dadawamarangu @joharimshana Wewe kama mama unaweza kupangiwa maamuzi na mtoto na kusapoti tabia zake kama hukubaliani na njia zake?
Indonesia

@_edy03 @joharimshana No. Mama yake no mfanyabiashara vipodozi, na yuko simple. Sema mtt ndio wamoto na mambo ya mjini hataki kukaa nyuma.
Indonesia











