saint malone

1.8K posts

saint malone banner
saint malone

saint malone

@second_born02

Arsenal#Content creator#wananism#realmadrid#Yanga#

Tanzania Присоединился Kasım 2022
1.3K Подписки193 Подписчики
saint malone
saint malone@second_born02·
@SSostenes14538 @Roma_Mkatoliki Mbona CDM wanavopiga spana Kila kitu ila kwenye mshahara walikimbia hakuna hata mmoja aliosema huu mshahara tunaopewa MKUBWA upunguzwe ishu sio sheria na kama sheria mbona sheria zengine walikua wanapinga kiufupi hata ww mwenyewe unasema tu hapo ukiwa mbunge hautajali upunguziwe
Indonesia
0
0
0
7
MAGABASHU KAIJAGE
MAGABASHU KAIJAGE@SSostenes14538·
@second_born02 @Roma_Mkatoliki Kwani wabunge wa CDM ndio waliokuwa wanapanga mishahara? Na mangapi ambayo waliyapinga Bungeni tena yenye madhara makubwa kwa wananchi na taifa kiujumla yalifanyiwa kazi? Hili ubadili jambo sio lililo kisheria ni kubadilisha hiyo sheria, hapa tuna tatzo la mifumo mibovu ya kigavo
Indonesia
1
0
0
16
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Mbunge anakunja mshahara plus posho, milio kama 12-18 💴 hivi kila mwisho wa mwezi!! Tufanye 12M kadirio la chini!! So kwa mwaka anakunja 144M. Kwa term moko (5yrs) muhula mmoja anakunja 720M (Bilioni kasorobo) Whaaaaaao!! Ukiwa mbunge kwa miaka 30 unatengeneza 4B+ Kumbuka hapo kuna mpiga kura wake ana umri wa miaka 35 na hajawahi kushika hata laki tatu tu ya pamoja KMMK Walahi🥹 (I’m sorry) Again, mpiga kura huyo hana maji, hana umeme, na akiumwa hana bima ya afya!! Mbunge huyo ana kila kitu sio shida zake!! Na kwa kipindi chote hicho anaweza asiwe tu mbunge, akapewa na uwaziri…… means mshahara uta-double!! Hapo sio tena 12M monthly So kwa miaka 30 mtu anatengeneza 6B plus!! Mixer fursa shindili, yeye na familia yake na ukoo ikimpendeza!! Lakini jimboni kwake ukifika hakuna chochote kilichobadilika, shida,ufukara,umasikini,changamoto milioni!! Na hii ndio legacy wanayoipambania, not otherwise!! Ndio maana mtu huyu anakuwa tayari kukupoteza ikibidi kukuua ili ku-secure bag lake 💰
Indonesia
12
47
247
10.2K
saint malone
saint malone@second_born02·
@SSostenes14538 @Roma_Mkatoliki Mshahara mbaya kama hauusiki wabunge wa CDM walikua wabunge mbona hawakuoiga kelele mshahara itolewe siasa ni ujinga hao hao wabunge waCDm mbona wakati wapo ubunge hawakusema posho zetu tukawape wananchi ndo ujue
Indonesia
1
0
0
37
Mkisi Nyasa
Mkisi Nyasa@Bk152113·
@second_born02 @Sativa255 Cha kwanza unatakiwa kujua katika Rufaa Baba Levo haongei ni mawakili Kwa mawakili via Submission
Indonesia
1
0
0
251
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
MSANII Wakazi kaamua kukata Rufaa ya kesi ambayo hukumu ilitoka anatakiwa kumlipa BABA LEVO MILIONI 100. This time WAKAZI kampa kazi WAKILI KIBATALA—anyooke nae mahakamani. Kiufupi hii KESI ishaisha kabla haijaanza.😂 Wakazi kaamua kushusha PAPAI NA GOBOLE. Baba LEVO alijinadi anataka hizi hela za wakazi akapelekee watu wa Kigoma mjini wakatengenezewe MADAWATI, nafikili wanafunzi wataendelea kukaa CHINI mpaka yesu ARUDI. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SATIVA tweet mediaSATIVA tweet media
Indonesia
34
97
1.1K
55.4K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
TAARIFA KWA UMMA Sisi mawakili Maduhu William,, Nashon Nkungu na Paul Kisabo tumefungua shauri la Kikatiba ambalo ni Shauri No. 7300dhidi ya Kamishina Jenerali wa Magereza, Mkuu wa Gereza la Ukonga na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Shauri hili limefunguliwa katika mahakama kuu masijala kuu ya Dodoma. Tumefungua shauri hili kuhoji uhalali wa Jeshi la Magereza kuzuia na kuwawekea,,,vingiziti au vikwazo mawakili pale wanapotembelea Magereza kwa ajili ya mashauriano ya kisheria na wateja wao ambao ama ni wafungwa au Mahabusu. Shauri hili litatajwa kwa mara ya kwanza tarehe 14 Aprili 2026 mbele ya jopo la Majaji watatu ambao ni Mruma,, Dr. Rumisha na Dr. Longopa, JJJ's. Tutaipigania Heshima na hadhi ya uwakili usiku na mchana na bila kuchoka. Wakili Maduhu
Hilda Newton tweet media
Filipino
22
217
704
23.3K
Mosam
Mosam@mosam_chande·
"MWAGAA MOTOOOOO"😅 Patakuwa pamoto sana humu!⚪🔴
Mosam tweet media
Filipino
22
21
272
9.4K
saint malone
saint malone@second_born02·
@Sativa2555 Sio alahu kaka Kuna double ll hapo tafadhari mkubwa
Filipino
2
0
4
393
SATIVA17 X ( TWEETS)
SATIVA17 X ( TWEETS)@Sativa2555·
Na wote Tuseme Alahu akbaar Repost 260
SATIVA17 X ( TWEETS) tweet media
Filipino
20
125
839
22.3K
saint malone
saint malone@second_born02·
@Roma_Mkatoliki Nahisi ni mkumbo tu wakisiasa vijana wengi tunaufata sababu mm sioni Mzee kama aliofariki Leo alikosea nn Kwa wanaocomment hv hakuwah hata kumrushia maneno mabaya mtu
Indonesia
0
0
0
390
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Hii ya viongozi wakifariki linatokea kundi kubwa linatoa maoni (comments) za kufurahia msiba huo au kuonyesha kutokujali kifo hicho!! Lilianzia wapi hili!!??? 🤔 Nani alilileta? Au Kulisababisha? Lakini pia sikuiona hii kwa baadhi ya viongozi walipofariki, niliona taifa likihuzunika pamoja!! Mfano kwa Mwinyi!!
Indonesia
79
94
1.1K
85.8K
Muzikknow
Muzikknow@Muzikknow·
Wimbo gani pendwa zaidi kwako katika mfululizo wa 'Freestyle Session' kutoka kwa LUNYA ⁉️ 🤔
Muzikknow tweet media
Tanzania 🇹🇿 Filipino
20
4
52
1.8K
saint malone
saint malone@second_born02·
@kasesco_tz Waraka wa amani ulipwafamya wayahudi washindwe kula na kunywa wakati huo
Filipino
0
0
0
273
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Ni story gani kwenye Biblia huwa inakupa ugumu kuelewa...?🤔
Indonesia
38
16
138
10.8K
Muzikknow
Muzikknow@Muzikknow·
diss track ipi unaikubali zaidi? 🎶
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
52
12
86
4.9K
Muzikknow
Muzikknow@Muzikknow·
Ipi utaanza kusikiliza kwanza 🎶
Muzikknow tweet mediaMuzikknow tweet media
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
13
8
52
1.7K