Life Pundit 🎓

3.3K posts

Life Pundit 🎓 banner
Life Pundit 🎓

Life Pundit 🎓

@255JrLiko

Tanzania เข้าร่วม Ekim 2023
105 กำลังติดตาม109 ผู้ติดตาม
♟️
♟️@iamFallacy·
Twitter Sheria, kwa mfano umempa ujauzito mtoto wa shule (under age) ila sio raia wa TZ na alikuja TZ kwa midinyo na kurudi kwao hapo unasalimika kweli??
Indonesia
19
14
157
8.3K
Steph.
Steph.@LifeofSteph_1·
@255JrLiko Bayern hawana bek mzeee 😂
Deutsch
1
0
0
10
Steph.
Steph.@LifeofSteph_1·
Bayern walikua wanauwezo wa kuua hii game by a single half kwa goli 4+ but wameruka ruka mwishon plus defense yao unga kama yetu. Ofcourse watatutoa but haitakua rahis 😂
Indonesia
5
3
24
498
Life Pundit 🎓
Life Pundit 🎓@255JrLiko·
@__Baryna__ Hiv kuna siku aliwah kushuka kiwango? Huyo anawekwa nje na injury tu ila sio performances.
Indonesia
0
0
0
7
_Baryna__
_Baryna__@__Baryna__·
Manuel Neuer bado anawafunika makipa kibao pale ulaya
Filipino
1
1
11
309
Prophetess ,Dr.
Prophetess ,Dr.@__sheriii·
Baby wako sasa hivi anakunywa chai na baby wake wa ofisini huku wanakanyagana miguu!
Filipino
46
45
321
11.9K
Life Pundit 🎓
Life Pundit 🎓@255JrLiko·
@Adventure_36 Mwaka jana nlipita iyovi pale alfajir nakutana na special hire imetumbukia kwenye kolongo. Jamas wanajiachia mno asee
Indonesia
0
0
0
11
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Apo Mikumi kuna Coaster SPECIAL HIRE imejaa nyuma ya basi usiku wa kuamkia leo, watu waliokaa mbele upande wa kushoto Mungu awatie nguvu sana. Hizo Special Hire ukikutana nayo usiku huo mwendo wake kama imeibiwa vile.
Filipino
8
16
180
3.9K
Life Pundit 🎓
Life Pundit 🎓@255JrLiko·
@INFLUENCERjr Hata wakimpata itakua sio lengo. Wao wanatafuta mbadala wa Mo Salah. Olise sio mbadala wake masna Olise ni more about play making sio goal gatter km salah.
Indonesia
0
0
4
162
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Kuna wazee wamejifungia pale Anfield wanadanganya eti wanaweza kumpata Olise dirisha kubwa, hahaha bangi ya Ulaya ni mbaya sana.
Indonesia
7
8
133
3K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Leo LATRA wanakaa na wadau wa Usafirishaji kujadili kuhusu mapitio ya nauli kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta, watu wote mnakaribishwa pale Karimjee Dar es salaam. Nendeni mkatoe maoni jamani ni muhimu sana. Nauli ikishapita ndo imepita hiyo
Filipino
21
15
211
6.3K
millardayo
millardayo@millardayo·
Baada ya makubaliano ya kusitisha vita kwa wiki mbili, Iran imeridhia kufungua Mlango Bahari wa Hormuz ili kuruhusu Meli za kusafirisha mafuta kupita kwenye njia hiyo muhimu ya kimataifa. Uamuzi wa kufungua njia hiyo unakuja kufuatia tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump la kusitishwa kwa mashambulizi dhidi ya Iran ikiwa Mlango Bahari wa Hormuz utafunguliwa “kikamilifu, haraka na kwa usalama.” Kwa upande wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi, amethibitisha kuwa usafirishaji kupitia Mlango wa Hormuz utaendelea kwa kipindi cha wiki mbili kupitia uratibu na Vikosi vya Silaha vya Iran huku akiishukuru Pakistan kwa kuingilia kati na kuomba kusitishwa kwa vita. Pamoja na hayo, Iran pia imesema ikiwa mazungumzo yataendelea vizuri, kipindi cha wiki mbili cha kusitisha mashambulizi kinaweza kuongezwa ambapo mazungumzo zaidi yanatarajiwa kufanyika Mjini Islamabad katika wiki zijazo ili kudumisha amani na usalama katika eneo la Ghuba ya Uajemi. #MillardAyoUPDATES.
millardayo tweet media
Indonesia
18
16
474
28.4K
Life Pundit 🎓
Life Pundit 🎓@255JrLiko·
@Mshonaviatu Kwamba game akiwa fit hawafungwi. Mwaka jana arsenal kawabonda akiwemo game zote. Watu wanaCheza collectively sio individually na ndio maana timu ikikamatwa imekamatwa tu.
Filipino
0
0
1
23
Fundi viatu na mabegi
Fundi viatu na mabegi@Mshonaviatu·
Real Madrid wanaenda kumfunga yule mjerumani na kuvuka pia second leg kama watachukua maamuzi sahihi ya kuanza na Jude Bellingham 🔥
Fundi viatu na mabegi tweet media
Indonesia
12
14
67
1.1K
Life Pundit 🎓
Life Pundit 🎓@255JrLiko·
@Adv_innocent Gnabry ni tapeli? Cheki ile assist ya goli la kwanza then ujue ni tapel au lugumi yule
Filipino
0
0
1
7
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Opamecano, lunin na gnabry alafu tchuameni ni matapeli wakubwa wa tasnia ya mpria sijawahi kuona😭
Indonesia
4
2
13
198
Life Pundit 🎓
Life Pundit 🎓@255JrLiko·
@Adv_innocent Huyo wa kwanza kwenye list yako mi nahis sio mzima kabsa. Maana ni kama ana wenge. Hawez kucheza mechi dakika 90 bila kuunguza, jana yenyew Viny tu hakuwa makini alishampa chance ya wazi ule mpira wa juu.
Indonesia
1
0
0
36
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
-Upamecano -kounde -konate -tchuameni -saka -ferran tores -delap -fofana -john evance Hawa wachezaji ni wa daraja la juu sana kama timu ikifanikiwa kuwapata unachukua UEFA.
Indonesia
13
23
68
879
Life Pundit 🎓
Life Pundit 🎓@255JrLiko·
@iboysean Nmetoka kuuliza sehem, sasa wamafunga uwanja kwa ajili ya nn mbona wanatombwa wenyew tu🤣
Life Pundit 🎓 tweet media
Indonesia
0
0
0
21
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Real Madrid huwa wanafunga uwanja wakaangwe wenyewe 😂😂😂
Indonesia
6
3
56
1.7K