Elizabeth Achilles Ndyalusa

524 posts

Elizabeth Achilles Ndyalusa banner
Elizabeth Achilles Ndyalusa

Elizabeth Achilles Ndyalusa

@AchyLizzy

Brings to the team a fresh perspective that is centred on people. She is a change-maker at heart. 👩🏾‍💼💜

Dar es Salaam, Tanzania เข้าร่วม Mart 2017
81 กำลังติดตาม186 ผู้ติดตาม
Elizabeth Achilles Ndyalusa รีทวีตแล้ว
Sharifa 🇹🇿
Sharifa 🇹🇿@sharifambarak1·
Kwenye uzinduzi wa Miongozo ya Elimu Maalumu na Jumuishi. "Kama elimu inaweza patikana chini ya muembe kwanini isiwe na nyumbani" Balozi Togolani Mavura @tonytogolani
Sharifa 🇹🇿 tweet mediaSharifa 🇹🇿 tweet media
Indonesia
0
7
10
1.1K
Elizabeth Achilles Ndyalusa รีทวีตแล้ว
Sharifa 🇹🇿
Sharifa 🇹🇿@sharifambarak1·
Mheshimiwa Prof. Mkenda, wewe ni kati ya mashujaa uliewezesha watoto wote ambao hawakuweza kupata elimu kutokana na kushindwa kufika mashuleni, leo wanapata fursa sawa na wenzao wanaohidhuria shuleni. Ahsanteni wote pamoja na watumishi wote wa wizara.
Wizara ya Elimu Tanzania@wizara_elimuTz

Nikupongeze wewe mzazi wa Ali Kimara kwa kuamua kusimama na mwanao na ni baraka, umeamua kutumia changamoto yake kusaidia watoto wengine, kwa wazazi wote hili ni somo kubwa sana. Prof. Adolf Mkenda UzinduziMiongozoElimuMaalumNaJumuishi-Dodoma

Indonesia
3
19
79
6.3K
Elizabeth Achilles Ndyalusa รีทวีตแล้ว
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Wait! Mtu MWEUSI angevaa pampasi, na sisi WEUSI tungetoka kulalamika Simba waombe radhi? WHITE huyo ni muigizaji, hakulazimishwa, alikuwa kazini katika utafutaji maokoto. TAS na LHRC mlitakaje? WHITE akose pesa ya mboga? Mnashindwa kulaani bandari zinauzwa, mnalalamika ujinga.
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
223
241
1.8K
105.7K
Elizabeth Achilles Ndyalusa รีทวีตแล้ว
Francis Furia
Francis Furia@furia_francis·
Unapofurahia moshi wa shisha, kumbuka unapovuta huo moshi kwa dakika sitini ni sawa na kuvuta sigara 100. …ukikaaa kwenye kijiwe cha shisha, kumbuka na wewe unavuta hata kama huna paipu mdomoni.. Second, third and fourth hand smoking!! @ZakayoMmbaga
Francis Furia tweet media
Filipino
13
48
142
24.9K
Elizabeth Achilles Ndyalusa รีทวีตแล้ว
Richard Mabala
Richard Mabala@MabalaMakengeza·
Kumbusu Yakuhusu Nini? Picha kuisambaza Na sauti kupaza Ni tendo la kilaza Kumbusu Yakuhusu Nini? Na watoaji povu Kwa kweli ni wachovu Kumbusu si utovu Kumbusu Yakuhusu Nini?
Indonesia
44
61
342
60K
Elizabeth Achilles Ndyalusa
Elizabeth Achilles Ndyalusa@AchyLizzy·
Remember, setbacks are just temporary roadblocks, not the end of the journey. I'm grateful for the support I have from my loved ones, lupus community (@lupuswarriorstz ) and all of you who continue to inspire me. Your kind words and encouragement mean the world to me! 🙏🏼
English
1
0
1
42
Elizabeth Achilles Ndyalusa
Elizabeth Achilles Ndyalusa@AchyLizzy·
Hey everyone, just wanted to give you an update on what's been going on lately. My lupus flares have been making life a bit more challenging, but I refuse to let it stop me from accomplishing my dreams! 💪🏼
English
1
1
2
159
Elizabeth Achilles Ndyalusa รีทวีตแล้ว
Sharifa 🇹🇿
Sharifa 🇹🇿@sharifambarak1·
Ahsante sana Balozi @tonytogolani kwa jitihada kubwa unazofanya juu ya kubadilisha mustakabali wa waishio na #MagonjwaAdimu Unaendelea kuwainua na kuwapigania kina Ali na wenziwe. Thank you
Abertus Paschal 🇹🇿𝕏@rutaraka

📍Seoul, Korea Kusini 🇹🇿🇰🇷 Balozi wa Tanzania nchini Korea Mhe. @TogolaniMavura amekutana kwa mazungumzo na Mwenyekiti wa Korea Organization for Rare Diseases (KORD), Bw. Jae-hak Kim mapema leo Juni 07, 2023. Ushirikiano na kubadilishana uzoefu katika kukabili Magonjwa Adimu...

Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Filipino
0
4
11
1.4K
Innocent Mangu
Innocent Mangu@innomangu·
@JamiiForums Ni mawili. Naibu Waziri wa Afya hana uelewa wowote kuhusu bima ya NHIF au uelewa anao, lakini kaamua Kulidanganya Bunge. Kazi ipo.
Indonesia
5
1
3
1K
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
NAIBU WAZIRI: HAKUNA MADARAJA KATIKA BIMA YA NHIF Mbunge Aida Khenani alitoa hoja kuwa Wananchi wanapokata Bima za Afya wanawekewa ukomo wa baadhi ya Huduma na Dawa wanapofika Hospitali hali inayofanya baadhi waone hakuna umuhimu wa kuwa na Bima hiyo Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema “Eneo la #NHIF hakuna madaraja labda amechanganya na CHF ambapo ndipo kuna madaraja ya kutibiwa kwa kiwango fulani.” Soma jamii.app/NHIFMadaraja #JFHuduma #Governance
Indonesia
37
9
166
66.2K
Elizabeth Achilles Ndyalusa รีทวีตแล้ว
SikilizaTogolani
SikilizaTogolani@SikilizaTogolan·
"Kuongozana uelekeo mmoja si kuwa na safari moja. Usione ukadhani!" ~Togolani Mavura.
SikilizaTogolani tweet media
Suomi
11
122
505
31.6K
Elizabeth Achilles Ndyalusa รีทวีตแล้ว
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
UGONJWA WA LUPUS: Siku ya Lupus Duniani iliasisiwa na Lupus Canada ambalo ni Shirikisho la Wagonjwa Wanaoishi na Ugonjwa wa Lupus Nchini #Canada Mwaka 2004, na huadhimishwa kila tarehe 10 Mei kila mwaka huku Mei ukitumika kama Mwezi wa kutoa Elimu juu ya ugonjwa huo #LupusAwareness #LupusMonth #JFLupusSpace
Indonesia
1
2
11
2.9K
Elizabeth Achilles Ndyalusa รีทวีตแล้ว
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
Nchini #Tanzania Siku ya Lupus Duniani ilianza kuadhimishwa Mwaka 2021 na maadhimisho haya yalifanyika katika Chuo Kikuu Cha Afya Muhimbili (#MUHAS) kwa miaka miwili ya awali, maadhimisho ya Mwaka 2023 yamefanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili #LupusAwareness #LupusMonth #JFLupusSpace
Filipino
0
2
10
3.1K
Elizabeth Achilles Ndyalusa รีทวีตแล้ว
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
Lupus Warriors Tanzania, Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na JamiiForums wameandaa Mjadala na Wataalamu kupitia TwitterSpace kuhusu Ugonjwa huo, Mei 31, 2023, kuanzia Saa 12 Jioni hadi Saa 2 Usiku #LupusAwareness #LupusMonth #JFLupusSpace #JamiiForums
Indonesia
0
2
10
2.9K
Elizabeth Achilles Ndyalusa รีทวีตแล้ว
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
DKT. FRANCIS FURIA (Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo na Rheumatism MNH na Profesa wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili): Lupus ni ugonjwa unaoathiri viungo vya mwili kutokana na mashambulizi ya mfumo wa kinga ya mwili kwa viungo ikiwemo, hali hiyo inasababisha hitilafu mwilini na inaweza kuathirika ngozi, moyo, figo, mapafu, mfumo wa fahamu, damu na misuli Mgonjwa anaweza kupata athari kwenye mfumo zaidi ya mmoja au mifumo yote ya mwili kuathirika #LupusAwareness #LupusMonth #JFLupusSpace #JamiiForums
Indonesia
0
1
17
5.9K