Masharikan 🌎

68.3K posts

Masharikan 🌎 banner
Masharikan 🌎

Masharikan 🌎

@Adambrv

Masharikan | Agenda Ngumu tu | Thought provoking global-to-local look | DM for credit or media removal

East Africa เข้าร่วม Haziran 2012
2K กำลังติดตาม23.4K ผู้ติดตาม
Masharikan 🌎 รีทวีตแล้ว
RT
RT@RT_com·
China launch world's first unmanned cargo plane powered by hydrogen
English
22
355
2K
65.8K
Investing.com
Investing.com@Investingcom·
*IRAN THREATENS "COMPLETE AND UTTER ANNIHILATION" OF OPENAI'S $30BN STARGATE DATA CENTER IN ABU DHABI
Investing.com tweet media
English
1.3K
2.6K
15.7K
2M
Masharikan 🌎
Masharikan 🌎@Adambrv·
Dar es Salaam Tanzania 🇹🇿 Everything will be well. Things might probably get worse before getting better But all will be well when we stumble upon another historic magical blessing like Magufuli
Masharikan 🌎 tweet mediaMasharikan 🌎 tweet mediaMasharikan 🌎 tweet media
English
1
1
3
177
Masharikan 🌎
Masharikan 🌎@Adambrv·
@mathiasmwita2 @420Cousin @Aydidkingkunta Emirates mbali hapa kwa wenzetu Ethiopian Wana University ya Aviation Fleet na routes za kushindana duniani Wanajenga the biggest airport in Africa kuwa hub yao Suala ni je, wao wanafanyaje?
Indonesia
0
0
0
20
Myz
Myz@mathiasmwita2·
@Adambrv @420Cousin @Aydidkingkunta TPA ingetakiwa kuwa na Directors wa Nje ila sio kuweka company i run ports , tungechange top Managemnt hata kama ni kuweka ngozi nyeupe mfano Fly Emirates walichofanya
Indonesia
1
0
0
16
Masharikan 🌎
Masharikan 🌎@Adambrv·
Aisee hii nchi All this was for nothing. Useless klmmy! Hivi ni dhambi gani kubwa sana inatutafuna hivi? Hatujawahi kupora wala kuiba cha mtu zaidi ya kujitoa kwa ajili ya majitu mengine yasiyostahili kabisa utu wetu Ni nini kibaya sana tumefanya hapo mwanzoni?
Masharikan 🌎@Adambrv

Julius Nyerere Hydroelectric Power Projet | 2115 MW The biggest in East Africa. Among the biggest in Africa. Main body completed by Egyptian firm Arab Contractors Now Tanzania starts to fill water in the gigantic power station. At a time its electric SGR doing trial run

Indonesia
4
1
4
586
Masharikan 🌎
Masharikan 🌎@Adambrv·
@mathiasmwita2 @420Cousin @Aydidkingkunta Na huo ni mfano mdogo tu Tumezembea muda mrefu sana. Nimejifunza sasa inabidi tukimbie tukijenga huku tunarekebisha upuuzi wa majitu ambayo bado yapo hata mahakamani hayajakanyaga Na bado tushindane na dunia ya kasi kubwa Tutafika lakini
Indonesia
2
0
0
9
Myz
Myz@mathiasmwita2·
@Adambrv @420Cousin @Aydidkingkunta Yes Tz inapotential ya kuwa 200bil GDP plus by now tumekuwa wazembe sector nyingi. 1. LNG ilitakiwa iwe U/C by now 2. SGR Dar to Mwanza ingetakiwa kuwa inakaribia kuisha 3. Bagamoyo port iwe angalau na Berth hata 3 za 400meter each 4. Liganga iron prooject iwe U/C
Indonesia
1
0
1
13
Masharikan 🌎 รีทวีตแล้ว
Basketball Africa League
KALAHARI CONFERENCE FINAL STANDINGS 📊🔥 Top 4 teams advance to the BAL Playoffs 🇷🇼🇦🇴🇱🇾🇹🇿 Next stop: Kigali. 🎟️ Get your tickets now: bal.nba.com
Basketball Africa League tweet media
English
6
79
299
11.4K
Masharikan 🌎
Masharikan 🌎@Adambrv·
@420Cousin @Aydidkingkunta @mathiasmwita2 That I know for a fact. Tatizo letu, experience taught us, we talk a lot I hope we get this right once and for all. Kwa sababu when we launch into the +100 Bil USD GDP club, huko hakuna longolongo. The competition is as cutthroat as war itself I really hope so
English
2
0
0
12
cousin 420
cousin 420@420Cousin·
Kukimbia bila miundombinu ni kujichosha, Chief. Misingi imara ndiyo inaleta ukuaji wa uchumi endelevu. Nchi wala haijapoteza kitu kama hoja ni kufikia USD 120B, bila umeme wa uhakika tutabaki kwenye dhahania tu. Ndiyo maana tumeanza kwa kujenga uzalishaji kisha tunaimarisha usambazaji na kufungua masoko ya uhakika. Hapo ndipo thamani halisi ya fedha unazozitaja itaonekana na hizo fedha zitakuja naturally tu, Chief.
Indonesia
1
0
1
7
Masharikan 🌎 รีทวีตแล้ว
Masharikan 🌎
Masharikan 🌎@Adambrv·
#BreakingNews Tanzania 🇹🇿 Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 10, Tanzania imedondoka toka orodha ya nchi 10 zenye uchumi mkubwa zaidi Afrika! Kwa mara ya kwanza huu upuuzi umetokea klmy! .... Tanzania 🇹🇿 Dropped from Top 10 biggest economies/GDPs in Africa in 10 years! WTF!
Masharikan 🌎 tweet mediaMasharikan 🌎 tweet mediaMasharikan 🌎 tweet media
HT
1
2
4
501
Masharikan 🌎
Masharikan 🌎@Adambrv·
@thereallizberth Nimesikia. Na kuna vitu vinaonekana. Ila I still don't believe we are the worst of them all Ukituweka kwenye mzani wa kidunia tuko sawa basi tu
Filipino
0
0
0
6
Isabela
Isabela@thereallizberth·
@Adambrv Hao watu wanato akafara Adam... asa nchi haipo mikononi mwa wenye kumcha Mungu lazima maamuzi yawe ya kizungumkuti.. nchi ambayo wasomi ni maadui wa State is as well as Banana republic...waiting to rott...
Indonesia
1
0
0
8
Masharikan 🌎
Masharikan 🌎@Adambrv·
@420Cousin @Aydidkingkunta @mathiasmwita2 Then kuna haja ya kukimbia si kutembea Tumepiga maktaimu kwenye USD Bil 90+ muda mrefu sana. Tulishatakiwa ku-clock USD Bil 100 miaka hii mitano We need to be at least USD Bil 120 sasa
Indonesia
1
0
0
21
cousin 420
cousin 420@420Cousin·
@Aydidkingkunta @mathiasmwita2 @Adambrv siyo swala la akili wao south wana nini cha maana kwenye huo umeme uliowaweka kwenye mgao maisha? planning ilikuwa ni kuanza na uzalishaji then transmission. Huwezi kujenga transmission kubwa bila kuwa na uhakika wa generation ya kutosha kwanza. Tutafika relax
Filipino
1
0
0
14
Isabela
Isabela@thereallizberth·
@Adambrv Sana anzia toka enzi za kina sokoine, kina Chacha wangwe njoo mpaka kwa TLS... lazima hayo mazambi yalipwe...
Indonesia
1
0
0
5
Gifted
Gifted@GiftedsonMeela·
@Adambrv Vitu kama huna utaalamu navyo ni bora uulize ujibiwe au ukae kimya.
Kenya 🇰🇪 हिन्दी
1
0
1
27
Masharikan 🌎 รีทวีตแล้ว
Masharikan 🌎
Masharikan 🌎@Adambrv·
Poor Tanzania 🇹🇿 This is the dumbest a country can stoop kwa kweli Yani kama Wapigaji basi wamerudi with vengeance kubababeki
Masharikan 🌎 tweet media
Filipino
6
7
36
30.7K
Masharikan 🌎
Masharikan 🌎@Adambrv·
@mathiasmwita2 Basi ndio non negotiable sasa. Tujenge! Tubane hayo matumizi wanayokufuru tujenge Mbona Ethiopia wamejenga GERD kwa funds za Waethiopia? Sisi tunashindwa nini ku-mobilise? Manake hamna option nyingine
Indonesia
0
0
0
25
Myz
Myz@mathiasmwita2·
@Adambrv Bro hii project inabidi iendane na ujenzi wa Grid minimum kujenga 1km ya 400kv ni 1mil usd price inaenda. Hadi 5mil kutegemea na terrain so kazi ya production iko poa ila tunahitaji 400kv kubeba hizo 2115mw zote ndo zinajengwa sasa mfano Chalinze to Kinyerezi etc
2
0
2
57
Masharikan 🌎
Masharikan 🌎@Adambrv·
@mathiasmwita2 Sote tunajua hata ukitetea vipi hii mipango utaonekana huna akili Hata ukijaribi vipi kupaka sukari. Ni upuuzi sana kuendesha uchumi mkubwa kama wetu kwa staili hii
Indonesia
0
0
0
17
Myz
Myz@mathiasmwita2·
@Adambrv Tz kuna 220kv na 132kv so it takes time ku upgrade mzee
Čeština
1
0
0
29
Masharikan 🌎
Masharikan 🌎@Adambrv·
@420Cousin @mathiasmwita2 Mzee kwani mtu anasonga ugali watu wanalumanga (kula mkavu) halafu ndio wanaanza kuulizana kuna hela ya mboga? Aina gani ya mipango ya nchi hii my brother tbh? Unajua kuna vitu si rahisi kutetea
Indonesia
1
0
0
14
cousin 420
cousin 420@420Cousin·
@mathiasmwita2 @Adambrv Watu wanaona hizo ni overnight project kazi ya bwawa imekamilika now ni kujenga transimission line ya kV 440.
Filipino
2
0
0
24
Mti Pesa
Mti Pesa@Aydidkingkunta·
@420Cousin @mathiasmwita2 @Adambrv Ndo mana wasauzi wanatumabiaga hatuna akili wao wana project ya 725kv walianza transimissionn kujenga ikafuatwa na sehemu ya kufua mzigo ila sie akili za mbuzi sijui tuliwaza nn
Indonesia
2
0
1
20