ทวีตที่ปักหมุด
Adam's suleiman
6.9K posts


Kwa yakini katika Yusuf na ndugu zake ziko ishara kwa wanao uliza. ( Surat Yusuf #7 )
Allah atujalie mafungamano mema na ndugu zetu, aondoshe vifundo vifuani mwetu, husda na kuchukiana.
Indonesia

Na Sisi hatukumjalia mwanadamu yeyote kabla yako ( Muhammad ) kuwa na maisha ya milele. Basi je! ukifa wewe, wao wataishi milele? ( Al-Anbiyaa #34 )
La hasha! Mola wetu Mlezi, ufanye mzuri mwisho wetu. Na hakika uzuri wa mambo uko mwisho.

Indonesia

Wale walio amini na zikatua nyoyo zao kwa kumkumbuka Allah. Hakika wa kumkumbuka Allah ndio nyoyo hutulia. ( Ar-Ra'd #28 )

Indonesia
Adam's suleiman รีทวีตแล้ว

Pamesemwa; 98% ya furaha ya NDOA iko katika kupuuzia mambo. Na huo ndio ukamilifu wa NDOA.
#Huba

Indonesia
Adam's suleiman รีทวีตแล้ว
Adam's suleiman รีทวีตแล้ว
Adam's suleiman รีทวีตแล้ว

#TANZANIA: WAISLAMU HAWANA TENA UONGOZI WA MOJA KWA MOJA CHINI YA TAASISI MOJA BAADA YA HUKUMU YA MAHAKAMA - SHEIKH PONDA
Sheikh Issa Ponda hii leo Machi 12,2026 akijibu swali la Mwanahabri amesema kwa sasa Waislamu nchini humo hawana tena uongozi wa moja kwa moja chini ya taasisi moja baada ya uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam kubainisha kuwa Serikali haikuwa na mamlaka ya kuwateulia chombo cha kuwaongoza Waislamu nchini Tanzania.
Zaidi: youtu.be/rRg47UByV7k

YouTube

Indonesia

Lau kuwa machozi yangelikuwa yana rejesha mambo, yange rejea yenyewe machoni pake. Basi mshukuru #Allah kwa mipango yake.
#Alhamdulillah
#Ramadan #20

Indonesia














