AzamPesa

5.7K posts

AzamPesa banner
AzamPesa

AzamPesa

@AzamPesa

Tuma pesa BURE AzamPesa kwenda Azampesa Makato ni madogo mno kwa miamala mingine. Okoa hadi 70% Pakua App ufurahie unafuu wa AzamPesa

Dar es Salaam, Tanzania เข้าร่วม Mart 2019
8 กำลังติดตาม6.1K ผู้ติดตาม
ทวีตที่ปักหมุด
AzamPesa
AzamPesa@AzamPesa·
ZIRO KOTEKOTE! Huu ni Unafuu uliopitiliza, Ni rasmi sasa wateja wa Azampesa wanaweza kufanya miamala BURE kwa Azampesa. Miamala inayofanywa BURE ni pamoja na: Kutuma pesa Azampesa - Azampesa Kutuma pesa Azampesa kwenda mitandao mingine Kununua LUKU/TUKUZA Kufanya malipo ya serikali Kulipia Bili (Vingamuzi vyote) Kukata Tiketi Kufurahia huduma hii jisajili sasa na Azampesa kupitia Azampesa App. azampesa.sng.link/Cnr10/7ndd/avvy #azampesa #jisajilisasa #zirokotekote #usikubalikupigwa
AzamPesa tweet media
Indonesia
0
1
4
221
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Ivi ni mimi tu au kuna mwingine anaona gharama ya Kulipia kifurushi cha Azam ni kubwa sana. 28k halafu hupati channel zote?
Filipino
47
19
519
29.6K
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Malipo ya serikali, makato 4000 ni sawa kweli hii TANZANIA.
ProsperNow. tweet media
Filipino
28
8
163
16.4K
Jay~Umeme⚡
Jay~Umeme⚡@JayUmeme·
@prossoff Malipo yanaenda serikalini na bado makato yanaenda huko huko pia
Filipino
1
0
1
330
ramadhani rupiah
ramadhani rupiah@RamadhaniRupia·
@ShukuruAmos Kwa azampesa transaction za kutuma pesa kwa mitandao ya simu na malipo ya control number ni bure,
Filipino
1
0
3
329
Shukuru Amos
Shukuru Amos@ShukuruAmos·
Ni muda sasa wa kutafuta faida. Imetosha kuvutia wateja.
Shukuru Amos tweet media
Eesti
11
6
60
9.7K
AzamPesa
AzamPesa@AzamPesa·
@RamadhaniRupia Asante kwa kuwa mtumiaji mzuri wa huduma zetu, tutayachunguza haya na kuyafanyia kazi.
Filipino
0
0
0
4
ramadhani rupiah
ramadhani rupiah@RamadhaniRupia·
Tatu, this added new feature ya saving for group inachangamoto, ukijaribu kutengeza kundi, wakati wa kuruhusu malipo, inakwambia no input was detected. Nne, my opinion ni kwamba app yenu inakeep state, ie haina auto log out when a user exist the app, but it requires PIN,
English
1
0
0
33
ramadhani rupiah
ramadhani rupiah@RamadhaniRupia·
@AzamPesa kuna isssues inabidi mziangalie kwenye app yenu sisi watumiaji tunapata shida Mosi, it takes almost a minute kuload keyboard when inputting data, hii inakata Sana. Pili, App inasumbua Sana, sometimes unakuta inakwambia no internet wakati data ziko on.
Filipino
4
0
2
92
AzamPesa
AzamPesa@AzamPesa·
@RamadhaniRupia Mambo vipi Ramadhani, tunaomba tupate wasaa wa simu ya moja kwa moja nawewe tuweze kupata maoni yako juu ya mapendekezo haya ili tuyaangalie vyema na kuyafanyia kazi. Tumekutumia ujumbe inbox tafadhali angalia. #Azampesa
Indonesia
0
0
1
7
ramadhani rupiah
ramadhani rupiah@RamadhaniRupia·
On every transaction, hii ni kama usumbufu plus keyboard loading issue mtu unaamua utumie ussd tu, better tukawa tunalogin Kila ukiingia kwenye app na sio kutumia PIN on every transaction . Please fix these issues for us
Filipino
1
0
1
26
AzamPesa
AzamPesa@AzamPesa·
@RamadhaniRupia Asante sana kwa maoni yako Ramadhani, tutalifuatilia hili kwa undani na kulifanyia kazi. Endelea kufurahia kufanya miamala Bure bila Makato.
Indonesia
0
0
0
7
✨𝟚 𝟘 𝟚 𝟞✨
✨𝟚 𝟘 𝟚 𝟞✨@kenafricx21·
Kuna siku kadi yangu ilimezwa na ATM kwa sababu ATM ilikuwa mbovu. Ndipo nikajifunza kutoa bila kuingiza kadi kwenye ATM. Tangu nijifunze kutumia njia hii ya kutoa pesa, siku hizi nimeachana kabisa na kuingiza kadi kwenye ATM.
✨𝟚 𝟘 𝟚 𝟞✨ tweet media
Indonesia
25
16
344
42.8K