Britanicca

6.5K posts

Britanicca banner
Britanicca

Britanicca

@Britanicca0

whistle-blower living in Vladivostok Russia , CCM Member Since 2002, Defending People.

Vladivostok, Russia เข้าร่วม Nisan 2021
81 กำลังติดตาม6.5K ผู้ติดตาม
ทวีตที่ปักหมุด
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Kigogo hawa watu watafanya niwe active Tena hapa tuna kaa kimya kuficha aibu ndogo ndogo za chama Chetu sasa watu wasifanye nifungulie moto kama wakati wa Meko! Watu wanaleta masiala kwenye mambo nyeti dadeki hawa machawa Vipi kaka ?
Kigogo Media@kigogo2014

Hawajui haya mambo !...

Indonesia
5
5
40
19.7K
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Report Inaweza isisomwe kama ya wizi wa Mali za CCM maana kuna Sehemu pameguswa ni wakubwa sana
Indonesia
0
0
1
90
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Sawa walikuwa na mapungufu ila Ma kizigha kizigha couldn’t even dare to touch state house
Britanicca tweet media
Indonesia
1
2
22
488
Britanicca รีทวีตแล้ว
Dr Lwaitama
Dr Lwaitama@lwaitama1·
Magufuli ndiye mwasisi wa mauaji ya 29/10.Wa TZ wengi hawawezi kulijua kwa sababu elimu yetu imefanya nchi iwe na mass ignorance.Hata Samia ni product ya Magufuli,kwa akili nilikuwa naona kabisa kuwa kumfanya Samia awe ''president in waiting''lilikuwa ni jambo la hatari sana.
Indonesia
19
21
113
2.8K
Britanicca รีทวีตแล้ว
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
UTEUZI WA ANJELA KIZIGHA UMEIDHALILISHA SANA IKULU📌 IKULU ni sehemu adilifu sana na takatifu sana kuliko ofisi zote za nchi na ni mahali ambapo panapaswa kuwa na integrity ya hali ya juu sana kwa kuwa ndipo ilipo ofisi ya juu kuliko zote ndani ya nchi. IKULU ni sehemu takatifu sana na haipaswi kuwa ni sehemu inayonyooshewa vidole kwa mambo ya hovyo hovyo na machafu kwa kuwa inapaswa kuwa na uadilifu wa haki ya juu sana. IKULU siyo sehemu ya kuingiaingia wezi na wahuni na mafisadi na kuigeuza ni sehemu yao ya kwenda kutembea au kuigeuza kama ni sebuleni kwao wanakwenda tu kupumzika au kunywa pombe wakitaka! IKULU yetu imegeuka kuwa sehemu isiyo na heshima na usafi wowote kwa aina ya mambo yanayofanyika ndani yake ikiwemo la Anjela Kizigha kuteuliwa kuwa mbunge wa bunge la Tanzania huku akiwa mbunge wa EALA na wanaomteua wakijua wamekiuka katiba ya Tanzania ambayo waliacha kuiheshimu na kuifuata muda mrefu sana na wamevunja treaty iliyoanzisha EA community. Tunapokuwa tumefika hatua tuliyoko sasa ya teuzi zinafanywa na kuvunja taratibu na katiba ya nchi na mikataba ya kimataifa na tunaona sawa tu basi tukae tukijua ofisi hii kuu ya nchi imeshaharibiwa sana na imetekwa iko mikononi mwa watu ambao hawajali lolote zaidi ya maslahi yao na siyo watanzania. Unamteuaje Anjela Kizigha kuwa mbunge? Kwanza ana kashfa nyingi za wizi, ufisadi na anatajwa kuhusika kwenye kupanga mauaji ya watu 29 Oktoba 2025 akiwa ndani ya Ikulu yetu huku cheo chake kikiwa hakijulikani anafanya kazi gani. Mtu anayetajwa kwenye lundo la kashfa za mikataba ya wizi ndani ya nchi hii na kutumia nafasi yake na uswahiba wake na wakazi wa Ikulu kufanya mambo ya kutisha kiasi kile anateuliwaje kuwa mbunge? Anateuliwa kupewa zawadi au shukrani ya kuhusika na kuuwa watu? Anapewa cheo kama zawadi ya kuhusika na wizi wa hela za watanzania? Anapewa cheo kumpa zawadi kwa kuwa sehemu ya kampeni za uchaguzi ule? Anapewa cheo kama zawadi ya kusaidi kutumia makampuni yake kupitishia hela za wizi? Anapewa cheo cha nini hasa? Maswali ni mengi lakini mwisho wa siku jibu ni moja tu kuwa amepewa cheo kama ishara ya kumshukuru kwa aliyoyafanya akiwa Ikulu na ndiyo maana hatujali ana uchafu kiasi gani au ana kashfa kiasi gani anapewa cheo na watanzania mkiongea mtajiju yaani!.. Anjela Kizigha kitaaluma na kimaarifa hana uwezo huo wa kuwa ni mtanzania exceptional sana wa kulazimika kuvunjwa kwa katiba ili ateuliwe. Ameteuliwa ili kumuondoka Ikulu ambako alikuwa ni king'ang'a kama luba huku tukisahau kuwa uteuzi wake ni wa hovyo na unavunja katiba. Tunapofika mahali IKULU ya nchi inafanya mambo kwa mtindo huu basi ni wazi kuwa tumepoteza sifa ya IKULU kuwa sehemu safi na ofisi ya juu kabisa ya nchi!..Ikulu imegeuka kuwa kijiwe cha watu kupeana vyeo kwa matakwa ya kirafiki na undugu na kuacha misingi ya teuzi za watu kuzingatia sifa na uwezo na taaluma zao!.. Anjela Kizigha ana tuhuma za kuhusika kwenye kampuni yake kuingiza silaha nchini zilizotumika kwenye shughuli pevu ya 29 Oktoba 2025. Iwe ni kweli au uongo hiyo tu ilitosha kungoja tume ya Jaji Chande ije kusema nani na silaha gani zilitumika kwenye ile shughuli. Kama tunampenda sana kulikuwa na shida gani kungoja asafishwe na tume ndiyo teuzi hizi za ki nepotism ziendelee? Kulikuwa na haraka gani yaani? Mwanasheri Mkuu wa serikali Bwana Hamza Johari amekuwa anapotosha IKULU kwenye teuzi nyingi sana na amekuwa anafanya hivyo kwa kuwa yeye mwenyewe uteuzi wake una mashaka na ulivunja katiba! Hakuwa na sifa za kuwa hapo alipo! Kwa hiyo unapokuwa na AG hana sifa haya ndiyo matokeo yake. Na shida zaidi utakuja kuiona kwenye aina ya mikataba ya madiki inayosainiwa na serikali na kupitia kwake!. Aina hii ya AG ndiyo ilifanya watu wamepiga hela yote ya SGR kule Tabora , wamepiga hela yote ya mradi wa maji kule Same na hakuna kitu wamefanywa!.. MWISHO ni kuwa uteuzi wa Anjela Kizigha ni wa hovyo na umedhalilisha IKULU na kuifanya kuwa sehemu isiyo na uzito wowote kwa kuwa inavunja sheria kila siku. #KigogoMediaUpdates
Kigogo Media tweet mediaKigogo Media tweet media
Indonesia
1
2
23
2K
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Tanzania
Britanicca tweet media
Español
0
5
22
966
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Inasikitisha sana kuona nchi imetekwa na wanyang'anyi na maharamia; na bado tumelala tu. Ma-cartel wamejimilikisha uchumi wa nchi yetu, kampuni moja ina ubia na watu walioko serikalini ilipewa tenda kuagiza mafuta na kusimamia bei
Indonesia
0
4
10
397
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Kusogezwa sogezwa kwa Tarehe ya Kusoma Report nanusa kitu hapa ili editing ifanyike vema
Britanicca tweet media
HT
9
5
55
2.8K
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Madilu Bwana 😆 na huyu ana mahitaji maalumu? Sanaa
Britanicca tweet media
Indonesia
19
6
154
16.1K
Britanicca รีทวีตแล้ว
African Hub
African Hub@AfricanHub_·
Tanzania 🇹🇿 government officials struggling to go through a road
English
8
34
153
10.9K
Britanicca รีทวีตแล้ว
millardayo
millardayo@millardayo·
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amehoji kupanda kwa ghafla kwa bei ya mafuta Nchini, akitaka ufafanuzi kuhusu uhalali wa ongezeko hilo licha ya uwepo wa hifadhi ya mafuta iliyotangazwa na Serikali. Heche ametoa kauli hiyo leo, Aprili 6, 2026, akirejelea taarifa ya awali ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt, James Mataragio. Kwa mujibu wa Heche, Katibu Mkuu huyo aliwahakikishia Watanzania kuwa Nchi ina akiba ya mafuta inayoweza kutumika kwa takribani miezi mitatu. Hata hivyo, amesema inashangaza kuona Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ikitangaza ongezeko la bei ya mafuta siku chache baadaye, hali inayozua maswali kuhusu uhalisia wa hifadhi hiyo na namna bei zinavyopangwa. Aidha, ameeleza kuwa kihistoria, Tanzania iliweka miundombinu ya kuhifadhi mafuta tangu baada ya Vita vya Kagera mwaka 1979, ambapo hayati Mwalimu Julius Nyerere alianzisha matenki ya kuhifadhia mafuta katika eneo la Kigamboni ili kujikinga na athari za dharura za kiuchumi na kiusalama. Kwa msingi huo, Heche amehoji mantiki ya kupanda kwa bei wakati mafuta yaliyopo yalipaswa kuwa sehemu ya akiba hiyo ya ndani. "Tutakumbuka Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, anayeitwa Bw. Mataragio, alitoka na akawaambia Watanzania kwamba bado tuna hifadhi ya mafuta ya kutumia kwa miezi mitatu. Na kama mnavyokumbuka, tangu baada ya vita ya Uganda na Tanzania mwaka 1979, Mwalimu Nyerere alijenga matenki ya kuhifadhia mafuta ya TIPER ambayo yapo Kigamboni, baada ya kujifunza kwamba kunaweza kutokea dharura na nchi ikaingia kwenye matatizo." Na matenki haya yamekuwa yakihifadhi mafuta ya ndani ya Nchi na mafuta ambayo yanasafirishwa kwenda kwenye Nchi zinazotumia Bandari yetu. Ndiyo maana Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati alituambia kwamba kuna mafuta ya miezi mitatu. Sasa kama tuna mafuta ya miezi mitatu ambayo, huu mgogoro ulipoanza, yalikuwa tayari yako ndani ya Nchi, inakuwaje hayo mafuta yapande bei ghafla kabla ya kuingizwa kwa mafuta mapya ambayo yameingia Nchini?" amesema Heche. #MillardAyoUPDATES.
Indonesia
11
23
187
7.7K
Britanicca รีทวีตแล้ว
3AM….SWAG🃏🏴‍☠️
3AM….SWAG🃏🏴‍☠️@PROBLEMCHImky·
🚨 JUST IN: Nigerian business mogul and UBA CEO Tony elumelu has reportedly divorced his wife after a DNA test shows his 7 children doesn't belong to him.
3AM….SWAG🃏🏴‍☠️ tweet media3AM….SWAG🃏🏴‍☠️ tweet media
English
2.4K
662
5.3K
800.2K
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Hii ni project nzuri ya kugawia watu fulani pesa. Tunajua from the beginning kwamba hakuna namna ambayo taxpayers wa Tanzania watanufaika na matokeo ya kazi ya tume
Maulid Kitenge@mshambuliaji

MAMLAKA ya Uteuzi imeridhia maombi ya muda wa ziada kwa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 hivyo imeiongezea tena muda wa siku ishirini na moja (21) na kuitaka ikamilishe kazi kabla au ifikapo Aprili 24, 2026. Mamlaka hiyo imeeleza sababu za kuongeza muda huo kwa Tume ni pamoja na kuiwezesha Tume kukamilisha uchambuzi wa ushahidi, taarifa na maoni yaliyopokelewa, kutoa fursa kwa wataalamu wa uchunguzi wa kisayansi kufanyia kazi baadhi ya vielelezo vipya vilivyowasilishwa. Sababu nyingine ni kuiwezesha Tume kukamilisha maandalizi ya Ripoti itakayowasilishwa kwa Rais na kutoa fursa kwa Tume kuandaa tafsiri ya Ripoti hiyo. Tume hiyo ilianza kutekeleza majukumu yake Novemba 20, 2025 na kutarajiwa kukamilisha kazi yake ndani ya kipindi cha siku 90. Hata hivyo, kutokana na sababu mbalimbali, Tume iliongezewa muda wa kukamilisha kazi na kutakiwa kuwasilisha Ripoti kwa Rais kabla au ifikapo April 3, 2026. Hivyo, kufuatia nyongeza ya muda, wananchi waliendelea kujitokeza kwa wingi tofauti na matarajio ya Tume. Hivyo, Tume iliendelea kupokea ushahidi, taarifa na maoni zaidi. Kwa sababu hiyo, Tume haikuweza kukamilisha kazi yake ndani ya muda wa nyongeza uliotolewa na hivyo kulazimika kuomba muda wa ziada ili kukamilisha kazi yake. Tume inaendelea kuwashukuru wananchi na wadau wote waliotoa ushirikiano kwa Tume wakati wa kufanya uchunguzi, ikiwemo wale waliofika mbele ya Tume kutoa ushahidi, taarifa na maoni, waliopiga simu na kutuma ujumbe, waliotuma ushahidi, taarifa na maoni kwa maandishi na waliowasiliana na Tume kwa njia za mitandao ya kijamii. #KitengeUpdates

Filipino
0
0
0
274
Britanicca รีทวีตแล้ว
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
Kesho tutaendelea na; 👉jambo la Anjela na uteuzi wake uliokiuka katiba na EA treaty unavyodhalilisha na kuaibisha nchi 👉 deni la taifa na uongo wa kuwa uchumi unakua wakati watanzania wana midabwada 👉NEPOTISM ilivyoharibu taswira na heshima ya Ikulu kama sehemu ya maana na ya kuheshimika sana ndani ya nchi Wahini darasani mapema tuko nje ya muda!..
Kigogo Media tweet media
Indonesia
0
3
51
5.1K
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Hii ni project nzuri ya kugawia watu fulani pesa. Tunajua from the beginning kwamba hakuna namna ambayo taxpayers wa Tanzania watanufaika na matokeo ya kazi ya hiyo tume kama zilizopita
Britanicca tweet media
Filipino
0
0
9
569
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Mtoto akizaliwa nyumbani kwangu huyo mtoto ni wa kwangu .mama yake ataondoka ila mtoto atamwacha alafu nimjue huyo kidume atakaye kuja kwangu kudai mtoto .atakufa akijiona kifupi NAMTAIFISHA
Britanicca tweet media
Indonesia
32
7
146
19.1K
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Hello @kigogo2014 watu wanasema huyu si @Britanicca0 wanayemjua mbona wana force nifungulie mambo hadi watu wawe kwa bumpy ride???? Nikianza nisilaumiwe Nina 200 files
Indonesia
4
4
31
10.4K
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Ni Mimi kuanzia kesho tutakumbiana hapa kaa rada muda wa saa nane mchana cc @kigogo2014
kvsnt@kVant1234

@Britanicca0 Huyu Sio Britanicca huyu toka umerudi mada zako zimepoa sana hazina impact yoyote kama kipindi cha nyuma au wameshapita na account?

Indonesia
1
0
8
1.3K
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Hii kolabo ya EWURA+ CAG+ teuzi naona inaleta episodes nyingi mno huu mwaka. 👋🏾
Indonesia
1
0
21
5.2K