Eng. Josh Paimen✨️

4.2K posts

Eng. Josh Paimen✨️ banner
Eng. Josh Paimen✨️

Eng. Josh Paimen✨️

@Captain_Josh47

I survived a devil night 🌙 in Emima.

Emima 47 - Hawthorne, NJ เข้าร่วม Nisan 2020
5.5K กำลังติดตาม4.4K ผู้ติดตาม
ทวีตที่ปักหมุด
Eng. Josh Paimen✨️
Eng. Josh Paimen✨️@Captain_Josh47·
Unaeza Ukampenda Mwanamke Deeply kabisa, Lakini bado ukawa Unatambua Kuwa Hafai Katika Future Yako💔😅😭
Filipino
32
79
583
16.1K
Eng. Josh Paimen✨️
Eng. Josh Paimen✨️@Captain_Josh47·
@EsirEid Mkipewaga nafasi hiyo mnafanya basi. Au ndo tiketi ya kutulia mademu zetu pale UDOM na kubadlisha ndinga😂
Indonesia
0
0
0
0
Eng. Josh Paimen✨️ รีทวีตแล้ว
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kama ningekuwa WAZIRI WA NISHATI Tanzania, jambo la kwanza ningepunguza ni msongamano wa magari ya mafuta hasa Dar es Salaam. Suluhisho la msingi ni kuwa na depot za mafuta angalau moja katika kila mkoa, na pia kuimarisha usambazaji wa mafuta kupitia pipeline (mabomba ya mafuta) badala ya kutegemea sana malori. Mfano mzuri nimeuona Kenya. Mafuta husafirishwa kwa bomba kupitia Kenya Pipeline Company kutoka Mombasa hadi maeneo ya ndani ya nchi. Kuna depots muhimu kama: Kisumu (inayohudumia Nyanza na magharibi mwa Kenya),Eldoret (kitovu kikubwa cha mafuta kwa Afrika Mashariki),Nakuru na Nairobi Mfumo huu unapunguza sana idadi ya malori barabarani na gharama za usafirishaji. Pia nchi nyingine Afrika zinafanya hivi: Afrika Kusini ina mtandao mkubwa wa pipelines kusambaza mafuta ndani ya nchi na Nigeria pia hutumia pipelines kusambaza mafuta kutoka maeneo ya uzalishaji hadi miji mikubwa Mapendekezo kwa Tanzania: 1.Kujenga depots za mafuta kimkakati katika mikoa yote,Hii itapunguza utegemezi wa Dar es Salaam kama kituo kikuu pekee 2.Kupeleka mafuta kwa pipeline hadi mikoa ya ndani,Mfano: kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma, Mwanza, na Mbeya 3.Kuanzisha depots katika mikoa ya mipakani ili kupunguza safari ndefu za malori mathalan; Zambia na CONGO iwe Mbeya….Rwanda & Burundi: Kahama au Bukoba… Malawi: Mbeya au Ruvuma (Songea)…Kenya & Uganda: Mwanza 4.Kuruhusu mafuta ya transit kuhifadhiwa karibu na mipaka,Badala ya malori kutoka Dar kusafiri hadi mipakani moja kwa moja Faida zake ni kubwa: -Kupunguza foleni kubwa ya malori ya mafuta Dar es Salaam -Kupunguza ajali za barabarani zinazohusisha malori ya mafuta -Kupunguza gharama za usafirishaji wa mafuta -Kushusha bei ya mafuta kwa mlaji wa mwisho -Kuongeza ufanisi na usalama wa usambazaji wa nishati -Kuifanya Tanzania kuwa kitovu kikuu cha usambazaji wa mafuta kwa nchi jirani Kwa kifupi, huu ni uwekezaji wa kimkakati ambao unaweza kubadilisha kabisa sekta ya nishati na uchumi kwa ujumla.
Indonesia
67
63
328
14.4K
irene Luxe Accessories💍
Kwani Shimo Ni Nini Maana Kila Posti Kuna Shimo kubwa Mnanichanganya Mjue 🥱
Filipino
7
4
11
54
Eng. Josh Paimen✨️ รีทวีตแล้ว
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Mimi sijawahi kuwa na imani na mwanamke wa JKT. Kwamba aende JKT akae mkataba wa miaka miwili ajitunze asitumiwe mpaka anamaliza.. Sina imani hata kidogo. Nilimuacha mwanamke nilietamani kumuoa kwasababu ya kwenda JKT. Nilikua mwanaume wake wa kwanza lakini hicho sio kigezo pekee cha kufanya nisiamini hisia zangu juu ya wanawake wa jeshini. Nilifanya maamuzi magumu lakini hakukuwa na namna.
Indonesia
26
19
358
37.6K
Eng. Josh Paimen✨️ รีทวีตแล้ว
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Mademu wa Arusha ni wazuri mpaka pale watakapofungua mdomo 🚮😁😁
Indonesia
18
18
86
2.6K
Eng. Josh Paimen✨️ รีทวีตแล้ว
Mbaade 🤠
Mbaade 🤠@Mbaade_·
We Kenua tu meno nje mkiwa mnachati, Zamu yako ya kulia itafika tu 😂😂😂
Indonesia
0
4
9
98
FBLB
FBLB@shantiwa43·
@Captain_Josh47 Tunafanya kazi posta tunakaa bagamoyo utajuaje
Indonesia
1
0
1
3
Eng. Josh Paimen✨️
Eng. Josh Paimen✨️@Captain_Josh47·
Kuna Watu Wanaishi tuu, Hawa-date na Mtu, Wanafanya zao Kazi, Wanakula, Wanafurahia reels za Facebook, IG, Tiktok na post za X, Huwa wanawahi sana nyumbani baada ya kazi, Utadhani kuna kitu kinaungua🔥 majumbani kwao🏡 Ili kuwahi kuangalia clips na reels Nyie ni washenzi😂🙌😂🙌
Filipino
13
15
156
4.4K
Eng. Josh Paimen✨️
Eng. Josh Paimen✨️@Captain_Josh47·
Ndo nimeingia session ya Project Management, ntaelewa kpnd kweli?? Au ni bora nikakae mbele😂😂
Eng. Josh Paimen✨️ tweet media
Filipino
0
0
1
11
Eng. Josh Paimen✨️ รีทวีตแล้ว
Kijana Ya Coopa
Kijana Ya Coopa@hiroo243·
Usilipie shout out, kuja tujengane. 13 people we grow together here
English
33
25
56
435
Baby 🦋 flavi
Baby 🦋 flavi@iam__flavisafra·
Add your username below
English
55
33
48
503
Eng. Josh Paimen✨️ รีทวีตแล้ว
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Unajuaje kama huyu mtu ana uelewa mdogo? 😹
Indonesia
3
2
14
140
Eng. Josh Paimen✨️ รีทวีตแล้ว
i’m Him
i’m Him@itseduh1·
Mko wapi space nikuje niwaskize leo strict regime hayuko 😭😂
7
30
46
425