WALLET YA JACK PEMBA

5.5K posts

WALLET YA JACK PEMBA

WALLET YA JACK PEMBA

@Chimney2015

kishamapanda

Mwanza, Tanzania เข้าร่วม Aralık 2016
1.7K กำลังติดตาม354 ผู้ติดตาม
WALLET YA JACK PEMBA
WALLET YA JACK PEMBA@Chimney2015·
@lifeof_nono Hapo sawa kwa sababu wakiitwa watu weupe ( wa kiafrica) najua huwezi kutokea. Wewe ni mweusi.
Indonesia
0
0
0
9
Dr. Kala. MD
Dr. Kala. MD@kalegamyeh·
Imagine hii Sio Toyota. Wala Sio IST.😂😂
Dr. Kala. MD tweet mediaDr. Kala. MD tweet media
Eesti
9
0
41
2.2K
WALLET YA JACK PEMBA
WALLET YA JACK PEMBA@Chimney2015·
@MTENGENEZSAFINA Tunaweza Sema ni kama messi na Cristiano kwenye longevity kwa sababu kwenye ubora wapo wengi waliokuwa na walio bora hata zaidi yao lakini muda ndiyo mwamuzi.
Indonesia
0
0
0
11
Benzinho
Benzinho@Benzinh0·
@Chimney2015 raia wa kawaida wavuja jasho wanaolipa kadi za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja.
Polski
2
0
0
144
Benzinho
Benzinho@Benzinh0·
wafanyakazi wa serikali ni hasara kwa taifa
Indonesia
5
0
25
1.7K
Agnostic
Agnostic@RKishaija81715·
@Makaveli_255 Turkey ni militarily superior kwa nchi zote Middle East na pia ni part ya NATO while Israel isn't. Kulingana na article 5 ya NATO nchi yoyote ikivamiwa ,all members States including US watashirikiana kumkabili aggressor So hiyo vita haiwezi kutokea labda US atoke NATO.
Filipino
2
0
1
384
Benzinho
Benzinho@Benzinh0·
Soma QRTs and Replies uone wakristo wanavyomuwakia baba mtakatifu. Najaribu kutafuta kasoro kwenye ujumbe wake huu lakini sioni,,, sasa sijui kwanini wao wameukasirikia.
Pope Leo XIV@Pontifex

Communion between Christians and Muslims takes shape under the mantle of Our Lady of Africa. Here, in #Algeria, the maternal love of Lalla Meryem gathers everyone as children, within our rich diversity, in our shared aspiration for dignity, love, justice, and peace. In a world where division and wars sow pain and death, living in unity and peace is a compelling sign. #ApostolicJourney

Indonesia
4
0
8
1K
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI@Maestrowafact·
Sema mademu wa Counter hua wanajikubali bana unaweza dhani ndo wenye Bar😅😅😅🚮🚮🚮
Indonesia
6
8
48
10.4K
𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊 
Serikali inapiga kazi kimya kimya, kama unajishughulisha na human trafficking, madawa ya kulevya bora uache mapema maana watakufikia tu.
Indonesia
24
39
574
29.9K
WALLET YA JACK PEMBA
WALLET YA JACK PEMBA@Chimney2015·
@kalegamyeh Ni wengi mno walioenda kwa niia hizo na inafahamika kabisa bongo ukiwa na kiasi cha mboga tu unakwara passpenga 🤣. Kwanini wasije kuchukua ilihali tumehalalisha rushwa.
Indonesia
1
0
4
435
Dr. Kala. MD
Dr. Kala. MD@kalegamyeh·
Moja ya sababu kwanini Tanzania ilipigwa ban ya visa in US, ni tuhuma kwamba watanzania wanatumia sana kodi za serikali ya US kwa kuomba benefits mbali mbali badala ya kufanya kazi. Lakini story inayotrend huku ni kwamba, kuna wakimbizi wengi walipewa passport za Tanzania kwa njia ya dili Afu wakifika huku wanajiita watanzania afu wanakua mizigo ya walipa kodi wa US. Mimi binafsi nishakutana na jamaa anajiita mtanzania lakini Kiswahili chake kilinishtua kidogo. Nilipombana kidogo ndio Akasema yeye ni mkongo lakini ana passport ya Tanzania. Nafikiri idara ya uhamiaji wawe serious sana na hii rushwa inayoendelea. Inawanyima fursa watanzania wa kweli ambao ni watu wa kazi. Wenzetu wakenya hawana hii kashfa.
Indonesia
6
7
79
2.1K