Creator Kenny

18.5K posts

Creator Kenny banner
Creator Kenny

Creator Kenny

@DirectorClen

All Things Photography From National Geographic. PHOTOGRAPHER & VIDEOGRAPHER

Tanzania เข้าร่วม Mart 2022
487 กำลังติดตาม344 ผู้ติดตาม
Creator Kenny รีทวีตแล้ว
shangwe Ayo
shangwe Ayo@ayo_shangwe·
Yes ! we definitely know the future, and the future is purple 💜💜💜💜📌. Ukweli Haki Uwajibikaji Miaka 12 ya ACT Wazalendo.
shangwe Ayo tweet mediashangwe Ayo tweet media
English
6
6
14
480
Creator Kenny รีทวีตแล้ว
shangwe Ayo
shangwe Ayo@ayo_shangwe·
Ukweli Haki Uwajibikaji Miaka 12 ya ACT Wazalendo @ACTwazalendo
shangwe Ayo tweet mediashangwe Ayo tweet mediashangwe Ayo tweet mediashangwe Ayo tweet media
Indonesia
2
5
14
138
Creator Kenny รีทวีตแล้ว
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Yet perhaps the more revealing comparison lies elsewhere: China after Tiananmen Square in 1989. Two months after the crackdown, a delegation from the Chinese Communist Party reportedly travelled to Tanzania to explain the “correct” interpretation of events to CCM.  According to records discussed in writings by Issa Shivji and others, CCM’s National Executive Committee expressed regret over the bloodshed. The party concluded that the Chinese tragedy carried two lessons: first, ruling parties collapse when they lose touch with the people; second, unresolved grievances eventually become unmanageable crises. The historical irony now hangs heavily over Tanzania.  Following the October 29th massacre, CCM’s National Executive Committee again convened to discuss events. This time, however, the party publicly congratulated the police and intelligence services for the crackdown. Security forces were praised for killing Tanzanians. The contrast between the CCM of 1989 and the CCM of 2026 could scarcely be sharper. thechanzo.com/2026/05/18/how…
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet media
English
3
5
14
1.7K
Creator Kenny รีทวีตแล้ว
shangwe Ayo
shangwe Ayo@ayo_shangwe·
Good morning Ukweli Haki Uwajibikaji
shangwe Ayo tweet media
Indonesia
1
6
10
227
Creator Kenny รีทวีตแล้ว
shangwe Ayo
shangwe Ayo@ayo_shangwe·
Dialogue is the encounter between people, mediated by the world, in order to name the world. Paulo Freire
shangwe Ayo tweet mediashangwe Ayo tweet mediashangwe Ayo tweet mediashangwe Ayo tweet media
English
1
9
16
310
Creator Kenny รีทวีตแล้ว
ACTWazalendo
ACTWazalendo@ACTwazalendo·
Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Taifa, Ndugu @othmasoud akiwasili katika Jengo la Maalim Seif Magomeni DSM tayari kwa kushiriki kikao cha Kamati Kuu. 👉🏿Mwenyekiti amepokewa na Katibu @AdoShaibu. Kikao kinaendelea muda huu katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
ACTWazalendo tweet mediaACTWazalendo tweet media
Indonesia
1
6
19
1.1K
Creator Kenny รีทวีตแล้ว
ACTWazalendo
ACTWazalendo@ACTwazalendo·
Uzi Picha na matukio ya Kamati Mkuu ya Chama inayofanyika muda huu katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema Makao Makuu @ACTwazalendo Magomeni Jijini Dar es salaam. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote Mei 03, 2026
ACTWazalendo tweet media
Indonesia
1
10
20
728
Creator Kenny รีทวีตแล้ว
Young Africans SC
Young Africans SC@YoungAfricansSC·
𝐅𝐈𝐅𝐀 𝐂𝐋𝐔𝐁 𝐌𝐀𝐍𝐀𝐆𝐄𝐌𝐄𝐍𝐓 𝐒𝐔𝐌𝐌𝐈𝐓. Doha, Qatar Rais wa Klabu yetu, Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu(ACA) na Mjumbe wa kamati ya mashindano ya vilabu FIFA, Eng. Hersi Said akiwasili pamoja na Makamu wa Rais wa Klabu yetu Arafat Haji kwenye Kongamano lililoandaliwa na shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA) kwa siku mbili kwenye mji wa Doha, Qatar. Rais wetu amechaguliwa kuwa miongoni mwa wataalam watakaofundisha kwenye mada ya Mfumo wa mabadiliko ya Klabu. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Young Africans SC tweet mediaYoung Africans SC tweet mediaYoung Africans SC tweet media
Indonesia
15
35
706
16K
Creator Kenny รีทวีตแล้ว
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu Ado amesema.kuwa katika utumishi wake wa nafasi hiyo kipaumbele chake namba moja kitakuwa ni elimu jimboni kwake Ado ametoa kauli hiyo katika mahafali ya Shule ya Awali ya Kawetu Day Care Center iliyopo wilayani Tunduru, mkoani Ruvuma yaliyofanyika leo, Jumapili Novemba 30.2025 Akizungumza na wazazi, walimu na wanafunzi wa shule hiyo Ado amesema kuwa jamii ikikombolewa kwenye elimu ni rahisi kupata ukombozi wa kiuchumi na kijamii, ambapo ametoa ahadi ya kukutana na wamiliki na waendeshaji wa shule za Awali kwa ajili ya kusikiliza changamoto zao na kuzishughulikia Akijibu changamoto za Shule ya Awali ya Kawetu Day Care zilizowasilishwa na Mkurugenzi wa Shule hiyo amesema kuwa changamoto zote mbili zilizowasilishwa atazifanyia kazi Amesema kwa upande wa changamoto ya magodoro kwa ajili ya kulalia watoto ataitatua ndani ya siku moja akitoa agizo kwa Katibu wake kupeleka magodoro hayo leo, na kwa upande wa ujenzi wa uzio wa shule hiyo kwa ajili ya usalama wa watoto amesema ataketi chini na uongozi wa shule hiyo kwa ajili ya kufanya tathmini ya kina na kuahidi kutoa mchango wake baada ya tathmini hiyo Katika hatua nyingine, Mbunge huyo ameomba wazazi kupeleka watoto wao katika shule za Awali na pia kwa wale waliofikisha miaka sita wapelekwe shule za msingi “Ipo tabia ya baadhi ya wazazi kutotilia mkazo suala la kupeleka watoto shule, Tunduru tunapaswa kuipenda, kuikumbatia na kuijali elimu kwa nguvu zote kwani ndio itayoikomboa jamii yetu” -Ado.
Jambo TV tweet media
Filipino
2
4
79
7.3K
Creator Kenny รีทวีตแล้ว
Ndolezi
Ndolezi@Ndolezi_Petro·
📍Kigoma, Jimbo la Kigoma Kusini Nimewashukuru Wananchi wa Kigoma Kusini walioniamini na kutamani sana niwe Mbunge wao wa 2025. Nimetoa wito kwao wapige kura nyingi kwa Mgombea Ubunge wa ACT Wazalendo aliyeaminiwa na Chama nami nitampa ushirikiano tuweze kuleta maendeleo ya watu
Ndolezi tweet media
Filipino
3
14
43
3.8K
Creator Kenny รีทวีตแล้ว
Nyang'imba
Nyang'imba@RahmaSalum255·
Sekunde 87 za historia iliyoandikwa jana Mjini Kigoma. Heshima ya Mwami, Heshima ya Kigoma. Mji umempa Heshima aliyostahili Mbunge anayesubiri kuapishwa @zittokabwe #Mwami2025
Indonesia
14
11
14
1.8K
Creator Kenny รีทวีตแล้ว
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Asante sana Kigoma Mjini
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet mediaZitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet mediaZitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet mediaZitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet media
Eesti
24
21
90
7.4K