Nelly steps

267 posts

Nelly steps banner
Nelly steps

Nelly steps

@GoshiNelson

@,class of 2023.

Tanzania เข้าร่วม Mayıs 2021
704 กำลังติดตาม54 ผู้ติดตาม
UMUDIASPORA🖤
UMUDIASPORA🖤@_lamar__1·
A tinny bird saved hyena.🥹
English
175
80
1.3K
3.8M
Nelly steps
Nelly steps@GoshiNelson·
Liverpool: 2018 ❌ → 2019 🏆 Man City: 2021 ❌ → 2023 🏆 Arsenal: 2026 ❌ → 2027 🏆 ? 😂 Arsenal fans, don't lose hope. History might save you next season. 😭
Nelly steps tweet media
English
0
0
1
22
Nelly steps
Nelly steps@GoshiNelson·
@Sativa255 Am🩷:⁠'⁠(:⁠-⁠(:⁠-⁠(:⁠'⁠(:⁠-⁠(=⁠_⁠==⁠_⁠==⁠_⁠= aaaw
English
0
0
0
53
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Hii VIDEO nitakuwa naiweka hapa Kila siku mpaka KOMBE LA DUNIA lianze. Kama unaungana na mm mwaga moto kama DRAGON🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Filipino
12
15
141
6.1K
Nelly steps
Nelly steps@GoshiNelson·
Arsenal 😂😂
English
0
1
2
188
Nelly steps
Nelly steps@GoshiNelson·
My fellow PSG fans and I.💙❤️
English
0
0
1
44
Nelly steps รีทวีตแล้ว
IVY
IVY@ivymuthe·
Kenyans Receiving U.S. Ebola Patients at Jomo Kenyatta International Airport
English
381
768
4.5K
831K
Nelly steps รีทวีตแล้ว
John Nguti Chadema
John Nguti Chadema@JohnNgutiCDM·
"Usinishauri kuhusu maisha mimi sina malengo". Balozi Humphrey Polepole, 2025.
John Nguti Chadema tweet media
9
105
922
17.4K
Waziri Wa Mbeya
Waziri Wa Mbeya@waziri_mbeya98·
Wakali Wa Location Huku Ni Wapi..?🙌
Waziri Wa Mbeya tweet media
Indonesia
100
34
380
26.1K
Nelly steps รีทวีตแล้ว
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Wakati mwingine huwa namwona Anthony Mtaka kama mbegu nzuri iliyoanguka kwenye udongo mbaya. Jamaa ni leadership material fulani hivi ambayo haiendani kabisa na system anayoiwakilisha. Baada ya ile massacre ya Oct 29, nadhani ni Mtaka pekee aliyekiri magnitude ya ushenzi wa dola na kutoa chozi hadharani. Sijui ilikuwaje akawa sehemu ya utawala wa kishetani kama huu!
Filipino
15
79
334
13.1K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Minyama ya Ijumaa Alfajiri Februari 20 inabanangwa na kuhondomolwa vilivyo. Kilometa 15 zinasakwa Alfajiri hii.
Indonesia
1
2
20
2.6K
Nelly steps
Nelly steps@GoshiNelson·
@ayubu_madenge Now natoka Instagram nimeingia x ila kitu nilichogundua huku x ni chuo kikuu
Eesti
0
0
2
146
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Muda wa kukaa kimya peke yako kila siku ni wa muhimu sana, iwe katika kusoma maandiko matakatifu, kusali au kutafakari juu ya ukuu wa MUNGU. Tafuta nafasi hizo za kuzungumza na MUNGU katika ukimya. Kidogo kidogo utaanza kusikia sauti yake na kuona uwepo wake kwenye maisha yako.
Indonesia
9
69
648
12.1K
Haki Ngowi
Haki Ngowi@Hakingowi·
‼️ T E U Z I ‼️ ▪️Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mhe, Balozi Lazaro Nyalandu kuwa Mshauri wa Rais,Diplomasia
Haki Ngowi tweet media
Indonesia
4
1
23
2.3K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Ewe mwanadamu ambaye nawe hautaishi milele hapa duniani, ewe mwanadamu ambaye siku zako zinahesabika, tena uliumbwa kwa mavumbi na mavumbini utarudi, unawezaje kushangilia mambo mabaya yaliyowapata wanadamu wenzako? Unawezaje kukejeli na kudhihaki katika nyakati hizi?
Indonesia
29
228
1.4K
26.1K
Nelly steps
Nelly steps@GoshiNelson·
Rest in peace mzee raila odinga
Nelly steps tweet media
English
0
0
1
73
Nelly steps
Nelly steps@GoshiNelson·
@ayubu_madenge Inatukumbusha kuacha alama pale tunapo umaliza mwendo,atakumbukwa na vizazi vyote vya marekan
Filipino
1
0
2
390
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Bunge la Seneti la Marekani limepitisha kuwa tarehe 14/10/2025 iwe siku ya kitaifa ya kumkumbuka Charlie Kirk. Tarehe 14 ya mwezi Oktoba ndiyo kumbukumbu pia ya tarehe ambayo Charlie alizaliwa.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
16
19
610
11.6K
Nelly steps
Nelly steps@GoshiNelson·
@millardayo Mambo yawatu ya cmba haya wengine makundi full stop.
Indonesia
0
0
0
395
millardayo
millardayo@millardayo·
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa Amezitakia kheri klabu za Tanzania Simba, Yanga pamoja na Singida Black Stars ambazo hii leo zinashiriki katika mashindano ya kimataifa barani Afrika ngazi ya klabu bingwa na shirikisho. Msigwa akiwasilisha Salamu za heri kwa niaba ya serikali amesema kuwa goli la mama liko pale pale na Rais Ameamua kuwa zawadi hiyo ya Goli la mama ianze kutolewa katika hatua za awali kabisa ambapo kila goli la ushindi ni shilingi milioni tano hivyo kila klabu itakayoshinda itapokea kadiri ya magoli itakayoshinda ambapo hatua ya robi fainali Goli la mama litakuwa milioni 10 na hatua ya nusu fainali goli la mama litakuwa milioni 20 na fainali itaandaliwa zawadi maalum huku ushindi wa matuta utahesabiwa kama goli moja. “Ninatambuwa kuwa Yanga leo itacheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Wiliete nchini Angola, mechi zinazofuata ni Simba watakaocheza dhidi ya Gaborone ya Botswana, Azam watakuwa nchini sudan wakicheza dhidi ya El-Merriekh na Singida black stars watakuwa nchini rwanda wakicheza na Rayon Sports tunawatakia kila la kheri na goli la mama liko pale pele tena kwanzia hatua hizi za awali” amesema Gerson Msigwa. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
30
15
694
42.9K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata Jafari Jumanne Lutoboka (32) mkazi wa Mafiga Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za Kujifanya mtumishi wa Jeshi la Wananchi Tanzania na kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu. Taarifa ya leo Septemba 17, 2025 iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP. Alex Mkama imeeleza kuwa mtuhumiwa huyo kwa nyakati tofauti alipita maduka mbalimbali na kujifanya askari wa jeshi la Wananchi na kuchukua pochi sita na saa tatu mali alizodai zinafanana na rangi za Jeshi la Wananchi Tanzania na havistahili kuwepo madukani humo. Taarifa hiyo imebainisha kuwa upelelezi wa awali ulibaini kuwa mtuhumiwa, Lutobeka alijiunga na Jeshi la Wananchi Tanzania mwaka 2014 na kuanzia kikosi cha 831 Mgulani kisha kupangiwa Monduli chuo cha maofisa na kufukuzwa kazi 2018 akiwa katika kikosi cha Lugalo akiwa na cheo cha Luteni. KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
8
6
193
16.5K