ATICK
9.2K posts

ATICK รีทวีตแล้ว

Kila nikiingia humu nikiona picha ya jamaa yetu hapa hata nguvu ya kubaki humu inaisha kabisa
Maumivu ni makali sana Kibaya hatujui jamaa yuko na hali gani uko aliko Inaumiza sana aisee 💔💔
MUNGU AKULINDE JAMAA WAKURUDISHE UKIWA MZIMA KABISA
#Freeninja
#Freeninja

Indonesia

@eralera0123 @influencerjr Kama unamiliki NIDA/PASSPORT,CARD ya benki,Line za simu,Smartphone unadhani jamaa wakikutaka watakukosa kaka?? Hakuna aliyekuwa salama kaka💔💔
Indonesia
ATICK รีทวีตแล้ว
ATICK รีทวีตแล้ว
ATICK รีทวีตแล้ว

Moyo wangu unauma sana toka jana baada ya kupokea taarifa za kutekwa kwa ndugu yangu DAMOUR siku ya jana nyumbani kwao MBURAHATI!!
Bado hatujui wamekupeleka wapi na unapitia situation gani wakati huu!!
Haya matukio yanaumiza mno familia zetu, na kutuachia machungu yanayojenga hofu na chuki dhidi ya mamlaka zinazohusika na ulinzi wa raia na mali zake!!
Haya mambo yanaweza yasikuguse sana kama muhusika hatoki kwenye familia yako, until limkute mtu wa circle yako! Na haipaswi kuwa hivyo!
(Selfishness)
Imagine unavamiwa na kutekwa na watu 7 wenye silaha unapigwa pingu mbele ya mama yako mzazi, na anakua hajui umepelekwa wapi kila kituo cha polisi wanasema hawana taarifa zako!! Mzazi anabaki na trauma ya milele…..Sad😌
Bado nitaendelea kupaza sauti yangu kukemea Utekaji/Ukamataji holela.
#BRING_DAMOUR_BACK_ALIVE.
#FREE_NINJA
Nakuombea sana urejee nyumbani salama mdogo wangu, Damu ya Yesu kristo ikakufunike na kukulinda huko uliko!!❤️

Indonesia

@MtumishiInjili_ Fikeni kwa Mtumishi mjiparie huduma ya haraka na uhakika 🔥🔥🔥
Filipino

Wazee kama kuna kosa kawahi fanya mpelekeni mahali stahiki huo mnaofanya nyinyi ni ushamba wazee mtakuja kumuua mama wa watu kwa presha na mawazo
#freeNinja
#freeNinja
#FreeNinja
#FreeNinja
#FreeNinja
#FreeNinja

Indonesia
ATICK รีทวีตแล้ว
ATICK รีทวีตแล้ว
ATICK รีทวีตแล้ว

Nakuombea rafiki yangu🥹, hatutanyamaza hadi upatikane Ninja ……Zaburi 121:7🙏🏽
#FreeNinja
#FreeNinja

Indonesia

Ni usiku wa kwanza tunalala hatujui @Ninja_Damour yupo wapi amekula au hajala hatujui kama amepewa hata maji ya kunywa hatujui hata atajiegesha vipi hata ubavu maskini💔😭😭
Mungu amlinde amjalie uvumilivu amtie nguvu na yote kwa yote aturudishie akiwa salama🤲🤲🙏
#FREENINJA
Indonesia
ATICK รีทวีตแล้ว
















