Wakenya Kiswahili chao kina sound funny sana. Mfano "Story za jaba" ni story za uongo na "Ushagoo" ni Kijijini, ongezea unayoijua wewe hapo kwa comment.😂
@Kaponda_077 Uncle shida kubwa ni uwe na watu wakuwachezesha maana unaeza fungua duka ila winga wa kuwa chezesha kuwapa zoezi ukakosa.. kabla ujaanza tafta channel ya watu wa kuwachezesha kwanza
Yaani kuna watu wameumia kabisa Askofu Joe Gwajima kukemea utekaji? Kuna viumbe wamekwazika Ask. Joe Gwajima kuunga mkono hoja za NRNE? Hawa watu ni kwamba wanafurahia watu kutekwa na kuuwawa? Wanafurahi watu kuporwa haki ya kuchagua na kuchaguliwa? Au ndiyo watekaji wenyewe?
Degree ambazo ukisoma hukosi Ajira?
1. Degree of Law
2. Degree of Medicine
3. Degree of Mass Communication
4. Degree of Computer Science
Ongezea Degree moja hapa tuone?
@Adventure_36 Ni logic rahic sana. kwa nn wasifanye izo barabara ziwe za kulipiwa kama kenya, eg. gari ndogo zilipie 3000-5000 kwa lisaa, maana ukipiga foleni iliyopo kwenye Morogoro road ni kubwa, imagine wakifungua izo barabara za mwendokas ya Gomz,mbagala na Tegeta. @tanroadshq@tanpol
Jeshi la Polisi Kanda Maalum mkoa wa Dar es salaam limekamata madereva 289 waliopita kwenye barabara ya Mwendokasi,
Bodaboda 61
Bajaji 65
Magari ya Serikali 35
Magari binafsi 123
41 walionywaa
Jamani msipite barabara za Mwendokasi wazee saiv hawachek na wowote
@julip202 shida so division mkuu muda wengine inawezekena ni kwenye ku apply kuna vitu huenda alikosea.. ila asikate tamaa aende ofisi za mkopo pale tazara akaongee nao ata pata, wapo wengi walifanya ivyo na wamepata
@moodewji planning(mipango) Vs Execution(utekelezaji) they depend on each other you cannot execute thing which you have not plan NB you can plan thing that you cannot execute, in real world sometimes execution is most important. But deep down planning and execution depends on each other