Dr. Boaz
71.1K posts

Dr. Boaz
@PhysicsJ7
#THINK_BEFORE_DOING.
Dar es Salaam, Tanzania เข้าร่วม Mayıs 2016
1.8K กำลังติดตาม3.8K ผู้ติดตาม

@PhysicsJ7 @allys Hiloo wameongeza wao sababu hawajafikia kiwango Cha nauri ilio wekwa
Indonesia

Yupo Saaaa mfano gari ya ally sh170 kabla ya mafuta kupanda walishusha nauri wenyewe @allys paka sh 1200k Sasa hivi wameongeza 10000
Dr. Boaz@PhysicsJ7
Nilikuwa namsikiliza huyu mkurugenzi pale UTV anasema, " Bei ya nauli iliyopangwa 2023 ilijumuisha viwango vya gharama za upandaji wa mafuta wa sasa ,hata hivyo upandaji wa mafuta wa sasa hauathiri nauli zinazotumika sasa" Kwa hiyo miaka 2 tulikuwa tunalipia over price🤔
Indonesia

@ThatBoyKhalifax Anaongea akiwa mkavu sana .
Hata hapo alipotosha, mwambie aje atoe ufafanuzi wa hayo mahojiano.
Indonesia

Hivi @MsigwaGerson hauna option nyingine kwenye maisha yako, Ujiuzulu ili uachane na huu Upuuzi utakao kuja kuigharimu familia yako?🫢🫢
Msemaji Mkuu wa Serikali@TZMsemajiMkuu
📌
Indonesia

@Luckiest255 @TBoundBuses Nauli ya Balaji na bodaboda imepanda nchi nzima . Nauli ya bus imepanda kwa Tsh 10000/=
Indonesia

@DKabugumila @TBoundBuses Mbona nauli imepanda kwa Tsh. 10000/= sasa?
Filipino

@PhysicsJ7 @TBoundBuses Wala si over price.
Take note:Katika uchumi,kuna vitu vinaitwa PRICE CEILING & PRICE FLOORING.
Ndicho walifanya,wakachagua zaidi price ceiling kwasababu most mafuta hupanda bei....that was their speculationna hawakukosea.
Filipino

Ila pombe mnazionea sana sijui ziliwakoseaga nini
SUKUNUNU 🇹🇿@sukununu01
Kwanza mwanaume unakuwaje na mwanamke anaeee kunywa pombe

@faraja_zungu Kuna watu wameniunfollow Kisa hizi mada za Madawa ya kilimo.
Indonesia

@PhysicsJ7 Tumekuwa na kizazi cha ajabu sana, tumeweka fedha mbele kuliko utu na afya za watu.
Indonesia

@PhysicsJ7 @TBoundBuses Kwahiyo alipokosea n alisema dola afu nane😅
Filipino












