Pinokyo
332 posts


@Thommunkondya Kaka Thom anataka kutuaminisha kwamba yeye ni mfanyabiashara wa kipekee ambaye lengo lake la kwanza ni kutoa ajira na sio maximum profit. Ulimwengu unaendelea wote kwenye technology, machines za viwandani almost zinafanana kwenye production,watu wanapunguza man power ye anaongez
Indonesia

@Thommunkondya Ulaya wanapunguza man power, washadevelop robots kwenye kazi nyingi na Ai za man power. Kufikia hiyo 2050 nadhan dunia itakuwa kwenye level tofauti kabisa. Hakuna mtu ataajiri watu 100k...acha siasa za ulaghai kaka.
Indonesia

@Thommunkondya Sijaelewa ulichoandika kama umemaanisha ninachokisoma. Anyways tuombe uzima
Eesti

@enamalisa @mentor209 Tuwasamehe kwasababu hawajui walitendalo....
Indonesia

Wakolosai 2:16 mtu asihukumiwe kwa chakula au sikukuu.
Warumi 14:17 ufalme wa Mungu si chakula wala kinywaji.
Pinokyo@Pinokyo100
@mentor209 Nashindwa kuelewa muktadha wa andiko lako. Ukisema taratibu za kanisa unamaanisha sio la kikristo? Otherwise, taratibu za kanisa la kikristo na taratibu za kikristo ni kitu kilekile. Labda tofauti ya mapokeo na madhehebu...
Indonesia

@mentor209 Nashindwa kuelewa muktadha wa andiko lako. Ukisema taratibu za kanisa unamaanisha sio la kikristo? Otherwise, taratibu za kanisa la kikristo na taratibu za kikristo ni kitu kilekile. Labda tofauti ya mapokeo na madhehebu...
Filipino

@SharonMontana20 @Adv_innocent Kyela ni malawi...mtu kutoka kijijini ipinda huko, ni ngumu kutoa shamba kwenye kichwa yake. Mbeya ni pale mjini tu.😀
Indonesia

Huyu mkimuwahi anapona, Mtu anaita vijana wa twitter nk wajinga na yeye ni kijana na yupo twitter. 🚮
Chiefgodlove_billionaire@ChiefGodlove666
Vijana wa tunduma ni wajinga Kama vijana wa twitter
Filipino

@gabyconscious Pamoja mzee....Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nawe.
Polski

@Pinokyo100 Samahani kamanimekukwaza kaka nilijua ni salaam tu. Me ni mkristu
Eesti

Bado vituli viwili mkuu nimeshiba Tumsifu yesu kristo🙏🏾🥳

P'site Shio@Psiteshio1
Umekula Nyama? Au umekuwa brainwashed?
Indonesia

@KWrudate @gabyconscious Of course, am proud to be Catholic. Very proud. Sijasema kakosea kula nyama, anaweza kuwa mkristu safi wa madhehebu mengine ni haki yake. Kanisa katoliki linakataza kula nyama Ijumaa kuu...on the same occasion unapost nyama na salamu ya kikatoliki, haikai poa. Homeboy kanielewa..
Indonesia

@Pinokyo100 @gabyconscious Unaanza kua kama wale wa proud to be sasa. Wao ndio wako insecure na imani yao. Ukiwasema kidogo tu wanajaa mihemuko. Wakatoliki hatuko hivo janja..
Indonesia

@TitoMagoti Wamesubiria pasaka ipite, ili tuhuma zao za kuhamisha goli ziende kwa kelele chache. Ujue makanisa yote kingewaka pasaka hii...
I guess ni hivo, ila waovu ni waovu tu.
Indonesia

@SharonMontana20 Unataka wazungu waje watujengee kila mtu nyumba nzuri, watuwekee umeme na maji, tuwe kama dubai. Kila mwisho wa mwezi wawe wanatulipa bila kazi yoyote. Kwa msaada wanaotoa tungekuwa tunajitambua tungekuwa tumefanya zaidi ya hapa tulipo. Tunapaswa kujilaumu wenyewe.
Indonesia

Kama barabara zote zinajengwa kwa misaada au mikopo, hiyo ni proof gani ya mafanikio? Inaonyesha utegemezi, sio maendeleo. Maendeleo ni pale nchi inaweza kugharamia miradi yake yenyewe, sio kuishi kwa misaada kila siku
Pinokyo@Pinokyo100
@SharonMontana20 Barabara za lami zote kubwa hapa nchini hakuna tuyajenga kwa fedha zetu, zote ni ufadhili kutoka nje. Hakuna mradi wowote mkubwa wa nchi yetu kama sio mkopo basi ni ufadhili. Bado pesa hizo ziliwe na hao viongozi. Then tuje kulaumu misaada haitusaidii? Tumerogwa...
Indonesia

@SharonMontana20 Barabara za lami zote kubwa hapa nchini hakuna tuyajenga kwa fedha zetu, zote ni ufadhili kutoka nje. Hakuna mradi wowote mkubwa wa nchi yetu kama sio mkopo basi ni ufadhili. Bado pesa hizo ziliwe na hao viongozi. Then tuje kulaumu misaada haitusaidii? Tumerogwa...
Indonesia









