Daniel Samson

37.5K posts

Daniel Samson banner
Daniel Samson

Daniel Samson

@SamsonDanielDS

เข้าร่วม Ocak 2025
81 กำลังติดตาม251 ผู้ติดตาม
Daniel Samson
Daniel Samson@SamsonDanielDS·
@k_mjege @MarekaMalili Na hapo Hana PhD Lakini mwenye PhD unataka watu waendelee kunywa pombe kisa Kuna Kodi nyingi IPO huko licha ya matatizo madhara. Ya pombe. Anyway ni PhD ya chuo gani? Kipo wapi,? Pakistan?
Filipino
0
0
0
19
Daniel Samson รีทวีตแล้ว
Chriss fundi CDM
Chriss fundi CDM@ChrissFundi·
Hamna mtu humu
Chriss fundi CDM tweet media
Indonesia
1
3
18
322
Daniel Samson รีทวีตแล้ว
Gibson
Gibson@Gibson44178359·
Samia na vibaraka wake akiwepo benjamini kusaga na juma homera aliyekuwa mkuu wa mkoa wa mbeya mtuambie mparuka nyagari mdue yuko wapi
Gibson tweet media
Indonesia
0
7
21
630
Daniel Samson รีทวีตแล้ว
Daniel Samson รีทวีตแล้ว
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Baada ya kutofaulo Kidato cha nne, mwaka 1983 hadi 1986, alijiunga na Chuo cha Maendeleo ya Uongozi Mzumbe (IDM) kwa ajili ya masomo ya juu katika Utawala wa Umma upande wa cheti. Aidha, alipata mafunzo mbalimbali katika Taasisi ya Chuo cha Utawala wa Umma Lahore, Pakistan 1987, Taasisi ya Eastern and Southern African Management Institute (ESAMI) 1991, na Taasisi ya Uongozi ya Hyderabad India 1998 kwa ajili ya Astashahada ya Utawala. Baada ya hapo, …………?? ONA CHUO CHA PAKISTAN
Tanzania Abroad TV tweet mediaTanzania Abroad TV tweet media
Filipino
15
41
273
41K
Daniel Samson รีทวีตแล้ว
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kaka mkubwa @MalisaGJ_ ametusaidia kutumia VAR kidogo hapa ili tuone kama kweli mafuta lita moja ni dola $800 Marekani (2,070,000 ya Tanzania😎) kama alivyosema MTUKUFU MAMA. Nukuu⬇️ Tuchungulie VAR kidogo. VAR inasema leo tarehe 8 April 2026 wastani wa bei ya mafuta nchini Marekani kwa galon ni kama ifuatavyo; • Regular: ≈ $4.14 • Plus/Extra ≈ $4.40 • Supreme/Premium ≈ $4.70 Huo ni wastani wa kitaifa. Lakini kwa jimbo moja moja, jimbo lenye bei kubwa zaidi ni California ambapo bei ya Regular ni $5.48, Bei ya Plus/Extra ni $5.75 na bei ya Supreme/Premium ni $6.10 kwa galon. Jimbo lenye bei ndogo zaidi ni Oklahoma ambapo bei ya Regular ni $3.24, Bei ya Plus/Extra ni $3.57 na bei ya Supreme/Premium ni $3.98 kwa galon. Majimbo yenye bei za wastani kwa leo ni Florida angalia picha ya kwanza, Regular ni $4.17, Plus/Extra ni $5.62 na Supreme/Premium ni $4.95 kwa galon. Jimbo jingine lenye bei ya wastani ni Oregon angalia picha namba mbili. Bei ya Regular ni $4.43, Bei ya Plus/Extra ni $4.63 na bei ya Supreme/Premium ni $4.83 kwa galon. Kwa ujumla wastani wa bei ya mafuta Marekani ni $4 kwa galon. Na hii ni baada ya kupanda kutokana na kufungwa kwa mlango bahari wa Hormuz. Kabla ya Hormuz kufungwa wastani wa bei ulikuwa $2.3 hadi $3 kwa galon. Galon moja ina 3.75 Ltrs. Kwa hiyo ukitaka kujua bei kwa lita moja, chukua wastani wa bei ambayo ni $4 kisha gawanya kwa ni 3.75 Ltrs. Utapata lita moja ya mafuta ni sawa na $1.06. Sasa chukua hiyo $1.06 ibadilishe kwa pesa za bongo utapata TZS 2,743/=. Kwa lugha rahisi kabisa ni kwamba wastani wa bei ya mafuta nchini Marekani leo April 08, 2026 ni $1.06 sawa na TZS 2,743 kwa lita moja. Bei hii ni kubwa sana na haijawahi kushuhudiwa katika historia ya Marekani. Ndio maana Wamarekani majuzi waliandamana kumpinga Trump, kutokana mfumuko wa bei ya mafuta uliosababishwa na vita vya Iran. Kwa kawaida galon moja huwa kati ya $2.3 hadi $3 ambapo ukigawanya utapata $0.66 sawa na TZS 1,700/= kwa lita. Kwa kifupi ni kwamba Marekani mafuta yalikuwa bei rahisi kabla ya vita na hata baada ya vita bei imepanda lakini bado ni nafuu kuliko bongo. Hii bei wanayouziwa leo sisi tuliuziwa kabla ya vita. Bahati mbaya bongo tumezoea kununua kwa lita, Marekani wananunua kwa galon. So mtu akisikia Marekani bei ni $4 kwa galon anadhani ni $4 kwa lita. Kumbe galon moja ni karibia lita 4. Mwisho wa VAR. Mechi iendelee 😄 Mwisho wa nukuu.
Filipino
1
10
28
1.4K
Daniel Samson รีทวีตแล้ว
Anna Tibaijuka
Anna Tibaijuka@AnnaTibaijuka·
Kristu mfufuka atujalie upendo, ukweli, amani na mshikamano. Haki itawale.
Indonesia
8
28
223
2.4K
Daniel Samson รีทวีตแล้ว
Kremlin
Kremlin@therealsemsii·
yule chande wa Tume msomi maskini ila atakufa kama mmoja wa makumanina kuwahi kutokea nchini
Indonesia
4
12
98
3K
Daniel Samson รีทวีตแล้ว
Eric Does
Eric Does@ErickKamihanda·
Kitima anachekea chooni 😂
Indonesia
13
19
164
5.2K
Daniel Samson รีทวีตแล้ว
RCM
RCM@robkidayo_·
Uwe Salama Mzee wangu Tundu Lissu.
Polski
0
22
112
847
Daniel Samson รีทวีตแล้ว
OB
OB@CFC_OBED·
This guy plays football like Atletico Madrid belongs to his father
OB tweet media
English
197
1.4K
29.5K
380.4K
Daniel Samson รีทวีตแล้ว
Kay💧
Kay💧@Kaypoisson1·
Diego Simeone couldn’t get a player as crazy as him to coach so he Decided to birth one himself
Kay💧 tweet media
English
18
793
15.8K
180.8K
Daniel Samson รีทวีตแล้ว
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Mh Tundu Lisu, anatimiza siku 365 akiwa gerezan kwa kesi ya kubambikiwa. Stay strong father Mungu yupo pamoja nawe bado ana makusud na wewe makubwa sana . Nikutakie usiku mwema Zab 23 🙏
SafariMlevi tweet media
Indonesia
1
16
79
541
Daniel Samson รีทวีตแล้ว
Fabrizio Romano
Fabrizio Romano@FabrizioRomano·
Atlético make it two against Barça! ❤️🤍 Who’s been your Man of the Match?
Fabrizio Romano tweet media
HT
1.6K
2.3K
33.6K
788.7K
Daniel Samson รีทวีตแล้ว
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Girishoni kaja kumkosoa boss wake kwa kuharibu zaidi kwamba "Tani za Petroli"🤣🤣🤣 Nchi imechanganyikiwa hii.
Indonesia
44
82
906
14.8K
Daniel Samson รีทวีตแล้ว
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Kutoka kuwa Profesa wa sheria mwenye heshima zako hadi kumuabudu mtu namna hii is something I will never understand. Eti hapo alikuwa amepagawa hadi amekosa maneno ya kusema sababu ya uteuzi🚮
Tito Magoti tweet media
Indonesia
77
58
589
18.9K
Daniel Samson รีทวีตแล้ว
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Unatimiza mwaka jela. Aliyekutupa jela, akazuia CDM kufanya siasa, akateka na kupoteza wakosoaji akidhani itakuwa rahisi kuwa rais, alikataliwa na umma hadi akauwa maelfu ya watu. Ananuka damu za watu. Anasubiri hukumu ya haki. Stay stronger, see U soon, Tundu Lissu!
Tito Magoti tweet media
Indonesia
9
137
562
3.4K
Daniel Samson รีทวีตแล้ว
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
HIZI MBINU 8 ZINAWEZA KUOKOA MAISHA YAKO SIKU MOJA 1. KAMA UNASHINDWA KUPUMUA VIZURI Weka mikono yako juu ya kichwa, mapafu yako yatafunguka haraka. 2. KAMA UMESHIKWA NA HOFU YA GHAFLA (PANIC ATTACK) Gusa kitu cha baridi (simu, chuma au maji). Ubongo wako hubadili hali kutoka hofu kwenda utulivu. 3. KAMA MOYO UNADUNDA KWA KASI SANA Kohoa mara 2–3 kwa nguvu. Hii husaidia kurekebisha mapigo ya moyo. 4. KAMA UNAHISI KIZUNGUZUNGU Angalia sehemu moja tu na kaza misuli ya miguu. Damu itarudi haraka kuelekea kwenye ubongo. 5. KAMA UNAWAZA SANA (OVERTHINKING) Hesabu kurudi nyuma kuanzia 100 kwa kupunguza 7 (100, 93, 86…). Akili haiwezi kuwaza kupita kiasi na kufanya hesabu kwa wakati mmoja. 6. KAMA HUPATI USINGIZI Toa pumzi taratibu zaidi kuliko unavyoivuta (mfano: sekunde 4 kuvuta, 7 kutoa). Ubongo huingia katika hali ya usingizi. 7. KAMA PUA YAKO IMEZIBA Shikilia pumzi kisha tikisa kichwa juu hadi chini taratibu. Husaidia kufungua njia ya hewa. 8. KAMA UNA WASIWASI WA GHAFLA Jimwagie maji usoni. Hii huamsha mwitikio wa mwili na kuleta utulivu. Ongeza Nyingine Tujifunze 👇
Indonesia
8
87
215
12.7K
Depedro Dee (Ed.S.)
Depedro Dee (Ed.S.)@depedrodeniss·
Kenya kuna senator kamwambia Ruto, nakuheshimu lakini SIKUOGOPI...
Indonesia
10
6
76
3.5K