ทวีตที่ปักหมุด
MWANAHISABATI
84.3K posts

MWANAHISABATI
@ArthurGeil
i love ❤️ Tanzania 🇹🇿 || Writer || Content Creator || Life lessons daily. Think better. Live better || Nisapoti→https://t.co/Ou3OMfdh6u
Be Your Own Boss→ เข้าร่วม Ocak 2022
421 กำลังติดตาม6.4K ผู้ติดตาม

@iamFallacy Usiache tu kubet chukua hiyo hela ulikua ukistake uiwekeze
Indonesia

@ZenjiboyZnz @SharonMontana20 Introverts tumeingiaje kwenye huu mjadala kaka
Indonesia

@EdwinMjeru Ni muhimu sana sana Tena sana.
Unaanza na kujifunza ujuzi
Unatengeneza wateja alafu mwisho
Unauza.
Nadhani hii ndio siri ya utajiri wengi wetu tunayoitafuta
Indonesia

Zawadi kubwa kuliko zote ni familia.
Eid hii, Allah aijaze nyumba zetu baraka, amani, na furaha isiyo na kikomo. 🌙✨
//
The greatest gift of all is family.
This Eid, may Allah fill our homes with endless blessings, peace, and joy. 🌙✨
#eidmubarak

Filipino

@francismtey System haitaki watu wajifunze maarifa yenye nguvu (ya kuendelea duniani) zaidi.
Indonesia

@MaxTz255_ ananza kuona amepata kitu cha bure wakati amenunua ndani ya ile ile 160k
Indonesia

@MaxTz255_ Hiyo kitu watu wengi hua wanakosea hapo,
Mtu A akisema: bidhaa Z ni 150k na delivery 10k jumla 160k
ala
Mtu B aseme: Bidhaa Z ni 160k alafu utafanyiwa delivery ni bure.
Atakaeuza sana ni Mtu B kwa sababu Neno “delivery bure” lina trigger kitu kichwani kwa mteja anaanza kuo..
Indonesia

@prossoff Kuwa na wazazi waliofanikiwa kujipata ni baraka sana, haswa pale ukikuta wana maarifa ya kutengeneza generational wealth ni BARAKA KUBWA MNO!
Indonesia

@The_mesha24 Wanawake wanapenda wanaume majiri, wasiowajali na wenye nguvu na ujasisi na ku walk away
Indonesia
MWANAHISABATI รีทวีตแล้ว

Huyu jamaa anaandika sana, mfwatilieni utajifunza kitu
MWANAHISABATI@ArthurGeil
Pesa Zinapoanza Kuingia, Fanya Hivi: 1. Usiboreshe mtindo wako wa maisha yako haraka. 2. Jenga mfuko wa dharura wa miezi 3 kwanza. 3. Wekeza 50% ya mapato yako. 4. Ajiri msaada kwa kazi zinazokupotezea muda. 5. Nunua MAARIFA, si vitu tu. 6. Tafuta MENTOR. 7. Be humble.
Indonesia
















