SIMA

8.1K posts

SIMA banner
SIMA

SIMA

@abelsima45

Lawyer in making. LEGUM BACCALAUREUS 4. music is my therapy. I weep for the souls we lost in #MO29

(UK)Ukinga ndo Kwetu เข้าร่วม Mayıs 2024
1.6K กำลังติดตาม1.3K ผู้ติดตาม
ทวีตที่ปักหมุด
SIMA
SIMA@abelsima45·
Ukifikiria kukata tamaa, jiulize kwanza kwanini ulianza.
Indonesia
3
18
58
3.6K
SIMA รีทวีตแล้ว
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
TLS NA WADAU WAKE WALIFUNGUA KESI ZIDI YA IGP KUHOJI MAMBO YAFUATAYO BAADA YA UCHAGUZI *Alipata wapi mamlaka yakutangaza curfew *Kwanini walizima mtandao *Kuhoji uhalali wa tume ya jaji Chande Jamhuri walizitoa kesi kwa technicality lakin wamesema watarudi tena mahakamani
Indonesia
3
29
111
2.3K
SIMA รีทวีตแล้ว
It's Hunaiya 💋❤️
It's Hunaiya 💋❤️@Hunaiya153989·
Unapata mwanamke anatokea kukubali wewe na hustle zako hakuombi ela,hakusumbui anytime anakupea,anakujali anakushauri uache mambo ya ujana u focus na ndoto zako unasema maelezo mengi hutaki 🤣😂🙌
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
45
46
195
5K
SIMA รีทวีตแล้ว
Katiba Institute
Katiba Institute@katibainstitute·
Research and Publications: With public trust in policing at a low, '101 Things You Wanted to Know About the Police But Were Too Afraid to Ask' explores both sides, the obligations of the police and the rights of the people. Read more: katibainstitute.org/download/katib… #KnowYourRights
Katiba Institute tweet media
English
0
6
8
264
SIMA รีทวีตแล้ว
Johnbest Mwahaja
Johnbest Mwahaja@JohnieZeBest·
Ila Mudi unakumbuka wakati unauza Biriani ulikuwa aggresive mpaka watu wakaKumute embu jaribu akuacha watu wafanye kwa namna yao na sio yako... Leo umemkosea mwana, kusema analilia...
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani

Lubasha usiombe wateja wanunue samaki wekeza kwenye biashara yako kwenye matangazo wateja wakutafute usilie lie online kama YATIMA Sio kuwa na followers wengi X ndo uuze ukategemea ndo strong point Ukweli ulio mchungu Biashara sio ya watu lelemama ya wenye mioyo ya plastic

Indonesia
11
8
92
14.6K
SIMA รีทวีตแล้ว
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Mheshimiwa Yupo sahihi kabisaaa… kwenye eneo la kodi na tozo, hizi ndizo kuu (kwa makadirio ya kawaida kwa petrol/diesel): 1.Fuel Levy ≈ TZS 263 kwa lita 2.Road Toll ≈ TZS 100 kwa lita 3.VAT (18%) – hii inakatwa juu ya gharama yote (ndiyo kubwa zaidi) 4.Excise Duty ≈ TZS 339 kwa petrol (diesel ni chini kidogo) 5.Petroleum Levy ≈ TZS 50 kwa lita 6.Railway Development Levy (RDL) ≈ 1.5% ya CIF value 7. Customs Duty Ukijumlisha, kodi na tozo zinaweza kufikia zaidi ya 30% ya bei ya mwisho ya mafuta. Naungana na @HecheJohn , serikali ikipunguza Bei ya Kodi wakati huu… mafuta yanaweza kushuka bei au kuzuia yasipande zaidi…
Ally@allysaid434381

@EsirEid Tajiri hebu kamsikilize tena muheshimiwa @HecheJohn ukichangia na uliyosema kuchangia kupanda kwa mafuta,,Kuna kodi ambazo zipo kwenye mafuta ambazo hazina maana,,yeye anaziita kodi za uzembe hilo unalizungumziaje

Filipino
8
12
65
6K
SIMA รีทวีตแล้ว
Steph.
Steph.@LifeofSteph_1·
Yan jitu lime protect posts af lina reply kwenye post yako, hv huwa yame changanyikiwa !?
Filipino
18
22
46
1.1K
SIMA รีทวีตแล้ว
PaYRoLL🗽
PaYRoLL🗽@CoolestDudeOnX·
• Busara katika kuendesha uchunguzi wowote ule ni pamoja na walio madarakani kung'atuka ili kupisha uchunguzi huru. • Ikumbukwe Tume ya Uchunguzi imetekeleza majukumu yake wafuatao wakiwa bado wapo kwenye nafasi zao. 👉🏾CDF 👉🏾IGP 👉🏾Mkurugenzi wa TISS Tunaweka Kumbukumbu📌
Indonesia
4
5
13
453
SIMA รีทวีตแล้ว
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Samia alimuuwa huyu mtoto akijilazimisha kuwa rais. A heartless criminal we’ve ever seen. RIP, son!
Tito Magoti tweet media
Filipino
16
141
560
6.6K
SIMA
SIMA@abelsima45·
@TichaMandevu Karibu na ndaga kiongozi kiazi huwa kinakubali sana
Indonesia
0
0
0
57
SIMA รีทวีตแล้ว
PaYRoLL🗽
PaYRoLL🗽@CoolestDudeOnX·
Appreciation tweet kwa majasiri wote wanaoendelea kuipiga spana Serikali. Padre Kitima na Advocate Mwabukusi wanaongoza jopo hili. TANZANIA NI YETU SOTE💚💛🖤💛💙
Indonesia
2
4
12
128
SIMA รีทวีตแล้ว
SIMA
SIMA@abelsima45·
Tuamke tukapambane tena ili watoto wetu wasije kututoa kafara.
Indonesia
1
4
5
84
SIMA รีทวีตแล้ว
Abdul Ally
Abdul Ally@AbdulAlly253493·
❤❤❤💞💞💯💯💯
QME
7
13
47
6.8K
SIMA
SIMA@abelsima45·
@AbdulAlly253493 Not necessarily a diploma or a degree but atleast form four somehow ita saound good lakini when it comes kwa waziri basi awe mtaalamu kweli hiyo wizara husika sio waziri wa afya hajui ata diagnosis ya mafua
Indonesia
5
0
0
4
Abdul Ally
Abdul Ally@AbdulAlly253493·
@abelsima45 Zamani: ilikuwa necessary sana Sasa: bado ina maana, lakini inaweza kuwa too basic So badala ya kuitupa 🚮, swali la maana ni: ipelekewe level gani ili iendane na dunia ya leo? Wewe unaona iwe mpaka degree au hata diploma tu inatosha kwa mbunge? 🤔
Indonesia
1
0
0
15
SIMA
SIMA@abelsima45·
Hii ibara ya mbunge awe anajua kusoma na kuandika is old as it's. Kwanza iliwekwa kipindi ambacho kweli kumpata millenial anayejua kusoma na kuandika ni kamzozo lakini sahizi wasomi ni wengi, hii ibara iondolewe tu.🚮
Indonesia
2
5
10
264
SIMA รีทวีตแล้ว
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Biashara haisomewi inafanywa
Indonesia
7
15
52
547
SIMA รีทวีตแล้ว
Arsenal bingwa🦅
Arsenal bingwa🦅@Luka10Singanho·
Watu wa umu waungwana mno , aka kautaratibu ka kuamshana na kujuliana Hali daily huwezi kakuta social media zingine. X ni watu na watu ni x mbarikiwe sana🙌🙏
Indonesia
1
3
7
39