DiwaniHQ

52.7K posts

DiwaniHQ banner
DiwaniHQ

DiwaniHQ

@chamalozo

Unatafuta nini? 🤷‍♂️

Afrika Mashariki เข้าร่วม Nisan 2018
1.5K กำลังติดตาม13.1K ผู้ติดตาม
ทวีตที่ปักหมุด
DiwaniHQ
DiwaniHQ@chamalozo·
99% ya watumiaji wa mtandao wa Twitter sio waongeaji kabisa ukikutana nao. 😊
Indonesia
46
58
548
0
DiwaniHQ
DiwaniHQ@chamalozo·
Men again. 😂
Dhriti Kapoor@kdhriti90

@Iamkrebkira Because their relational dynamics are not the same . They don’t have to compete with each other for space or power. Women have been forcibly put in such dynamics by the patriarchal system.

English
0
0
0
14
DiwaniHQ รีทวีตแล้ว
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Shadrack Chaula, Happy Easter, my guy. We haven’t given up on the pursuit for your freedom. Justice will be served.
Tito Magoti tweet media
English
12
234
1.3K
9.9K
faith 🙏🛐✞︎
faith 🙏🛐✞︎@juliejuleth·
Karne hii Mwanamke usikubali kuwa tegemezi kwa mwanaume, tafuta chako, uzuri wa chako hatakama nikidogo lakini hakina masimango. Economic freedom is very important for women empowerment
Filipino
6
17
47
959
DiwaniHQ รีทวีตแล้ว
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Tanzania ndo nchi pekee mzalendo wangu kweli Mh Tundu Lisu yupo gerezan kwa kesi ya Uhaini Ila Baba Levo na Babu Tale wapo Bungeni kutunga sheria kama Taifaa tuna ujinga mkubwa mno
Indonesia
8
52
283
3.5K
DiwaniHQ รีทวีตแล้ว
illuminatibot
illuminatibot@iluminatibot·
What if I told you the Vatican is the world's largest child trafficking network?
English
255
490
2.9K
52K
DiwaniHQ
DiwaniHQ@chamalozo·
I've just watched some of your interviews in Morgan's "UNCENSORED" you have plenty of strong points to make, but the approach is so childish. Grow up!!
Mohammed Hijab@mohammed_hijab

@mehdirhasan I don’t understand why you conducted the interview like this, Mehdi Hasan. You’re one of the few left-wing voices still credible to a conservative Muslim audience if you continue like this, it is you who risks becoming a "useful idiot" for liberal colonial ideology.

English
0
0
0
5
DiwaniHQ
DiwaniHQ@chamalozo·
@mentor209 Unamaanisha tararibu za Kikanisa na Sheria za Kimaandiko.
Filipino
0
0
0
10
GIPSON BNN
GIPSON BNN@mentor209·
Wakristo wengi hatujui kati ya taratibu za kanisa na taratibu za kikristo.
Indonesia
12
9
143
6.4K
DiwaniHQ รีทวีตแล้ว
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
SAMIA SULUHU HASSAN AMEUWA MAELFU YA WATANZANIA. NI MSHENZI AMBAYE HAJAWAHI KUTOKEA!!
Indonesia
6
79
509
9.3K
DiwaniHQ
DiwaniHQ@chamalozo·
@Thommunkondya CCM sio chama cha Wakulima na Wafanyakazi. CCM inawatumia Wakulima na Wafanyakazi, tunajua ni Chama cha nani.
Indonesia
0
0
0
31
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Rose, mambo? Sasa Rose, chama chetu ni cha wakulima na wafanyakazi hutaki wafanyakazi wanaokiunga mkono chama chetu wakutane? 😁 Aaah, acha wivu bhana. Hivi kipindi hiki ni sahihi kuwaona wazazi wako, au watakuwa busy na kilimo? Au lile jambo letu nikaonane tu na kamati kuu? 🤔 Vijana wa Chadema mniheshimu aseee.
Rose Mayemba@rose_mayemba

Huu sio Mkutano wa CCM. Hawa ni waalimu wa Shule za Msingi na Sekondari kutoka Mikoa mbalimbali ya Tanzania. Ni wale waalimu wafia Chama( CCM DAMU), wengi wao walisimamia uchafuzi wa October 29. Jtatu na Jnne ya week hii waliitwa Dodoma kwenye Mafunzo. Soma kisa chote hapa chini. "Habari kiongozi. Mimi ni Mwalimu. Nimekuwa Mwanaccm tangu utoto wangu, wazazi wangu wamenilea vizuri katika maadili ya Chama changu, japo waligeuka baada ya mauaji ya tarehe 29 maana dada yetu wa kwanza aliuwawa kwa Risasi akiwa ametoka kupiga kura. Hawa ni walimu wa sekondari na msingi nchi nzima nikiwepo mimi mwenyewe, nafundisha shule ya msingi sitataja jina wasije kuninasa. Majuzi tarehe 30 na 31, mwisho wa mwezi wa tatu tuliitwa Dodoma kwa ajili ya Mafunzo. Mafunzo yalifanyika ofisi za CCM makao makuu Dodoma. Wakufunzi 5 walialikwa kutoa hayo mafunzo kwa hao walimu mmoja wao akiwa ni Katibu Mwenezi Mkoa wa Songwe Mwalimu Yusufu Ally Rajab. 1.Mafunzo yalipoanza siku ya kwanza tulipongezwa kwa kazi kubwa tuliyoifanya tarehe 29.10.2025, tumeambiwa tulifanya kazi nzuri sana,nikakumbuka kifo cha dadaangu, machozi yakaanza kunitoka, nikainama chini ili wasije kunishtukia. 2. Tumepewa elimu ya Itikadi ya CCM, tumeelekezwa kukilinda Chama kwa gharama yoyote ile. 3. Tumeelekezwa tuwapo Mashuleni tuwafundishe wanafunzi falsafa na Itikadi ya CCM, kwamba bila CCM nchi itaingia kwenye machafuko Makubwa. 4. Tumeambiwa tuwe watulivyo, vyeo vipo vingi, tutapewa ukuu wa shule, uafisa Elimu, uratibu na fursa zingine zikija watatukumbuka. Nakuomba sana usije kutaja jina langu, moyo wangu hautaki tena kuendelea kushiriki hii dhambi, dada yangu aliuwawa mimi nikiwa busy kuiba kura ili CCM ishinde. Na pia naona kabisa mimi ni sehemu ya chanzo cha Elimu nchini kuharibika maana naona hata wenzangu, tuna kiburi, walimu wengi sisi tumekuwa mstari wa mbele kuanzisha migogoro mashuleni na tumekuwa na utendaji mbovu kutokana na majivuno kuwa chama kinatulinda, na imefika hatua wenzetu wanatugopa na sisi tunaona ni sifa..."

Indonesia
10
2
9
3.6K
DiwaniHQ
DiwaniHQ@chamalozo·
Anawathibitishia wazi kwanini, masoko makuu ya Utumwa duniani yalikuwa Zanzibar na Bagamoyo.
Filipino
0
0
1
7
DiwaniHQ รีทวีตแล้ว
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Good night, President Tundu Lissu. Wear that mask of courage, confidence, perseverance & determination. You’ll triumph and emerge stronger. It is never easy and you know better than all of us. Keep going and be great. Victory is certain. Solidarity forever, Idol!
Tito Magoti tweet media
English
9
191
749
8.6K
DiwaniHQ รีทวีตแล้ว
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Idol, sina shaka kuhusu ustahimilivu wako. Na wiki hii wanakuongezea msalaba mwingine. Ombi langu kwa Mungu wetu ni akupe saburi. Usizimie roho maana asubuhi yaja. Songa mbele uuone ukuu wake. Na mambo atakayokutendea, wewe na Taifa lake. Solidarity. Kutoka 14:14🙏🏽
Tito Magoti tweet media
Indonesia
27
378
1.7K
17.6K
DiwaniHQ
DiwaniHQ@chamalozo·
@zoetjesheeftX Mnanifurahishaga sana. Bado mna hangover na Wanaume wa Mfumo Dume.
Filipino
0
0
0
10
DiwaniHQ
DiwaniHQ@chamalozo·
Nawatakia Pasaka Njema, mkafufuke na Kristo.
Indonesia
0
0
3
17
DiwaniHQ
DiwaniHQ@chamalozo·
Ifanyike Kwaresma njema ndani ya mioyo yenu. Wakati huu wa mfungo wa maasi ya kiroho, Kristo akafanyike nguzo imara ndani yenu.
DiwaniHQ tweet media
Indonesia
0
0
4
114
DiwaniHQ รีทวีตแล้ว
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
"MUNGU naomba unipe tuu uzima nionyeshe kile kitu umeweka ndani yangu. Hata ukinichukua leo naamini tayari nimefanya kwa mapenzi yako sina la kulaumu zaidi ya kusema ASANTE."🙏 Toba yangu ya kila siku.
Indonesia
17
119
1K
16K