drone boy รีทวีตแล้ว
drone boy
5.7K posts

drone boy รีทวีตแล้ว

@PolycarpMDM Alishajijua ana Ukimwi mapema hivyo akaona ajitafutie sababu ili asishtukiwe
Indonesia

@Tweener003 Mkimuona babu yangu kwenye usafiri wowote wa umma msimpe siti nawaomba sana
Filipino
drone boy รีทวีตแล้ว
drone boy รีทวีตแล้ว
drone boy รีทวีตแล้ว
drone boy รีทวีตแล้ว
drone boy รีทวีตแล้ว

"Kwa waandishi wa habari wenzangu wa Watanzania na wahariri Watanzania kwanza naomba kuwapongeza kwa dhati kwa kazi nzuri mnayofanya kwa weledi mkubwa kwa umakini na kutanguliza maslahi ya taifa. Najua kuna magenge ya watu yanawashambulia kupitia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vya nje sana, nataka kuwatia moyo na kuwahakikishia mko sahihi na mmeonesha umuhimu wa Tanzania kwanza na upekee wa nchi yenu, sio lazima sisi wandishi wa habari wa Tanzania tuige mtindo wa kushambulia nchi yetu na kuiharibu, leo mtabezwa lakini historia itaandikwa kuwa nchi iliwahi kupita katika mtikisiko lakini wandishi wetu wa habari wa Tanzania walisimamia maslahi ya taifa na nchi ikabaki salama. Endeleeni na msimamo huo huo kwenye maslahi ya Tanzania".
"Waandishi wa Tanzania hatuhitaji kusifiwa na mtu yeyote na Watanzania wanataka amani, inakua kiuchumi, Watanzania wanataka nchi inayohudumia ipasavyo. Nawaombeni ndugu zangu waandishi wa habari msihofu. Mnachokifanya ni uandishi wa habari wa uwajibikaji.Nataka niwahakikishie kwa niaba ya Mheshimwa Waziri (Waziri wa Habari, Sanaa, Michezo na Utamaduni) tutasimamia maslahi ya vyombo vya habari vya Tanzania, tutahakikisha vyombo vya habari vya Tanzania vinafanya kazi kwa uhuru bila kuingiliwa na mtu yeyote".- Msigwa.
Hayo ameyasema Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Michezo Sanaa na Utamaduni Gerson Msigwa leo Novemba 23, 2025 akizungumza na waandishi wa Habari katika Ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam.

Indonesia
drone boy รีทวีตแล้ว
drone boy รีทวีตแล้ว
drone boy รีทวีตแล้ว

@SportsarenatzTz Wewe Admin na viongozi wote wa simba mnatombwa na Modewj
Indonesia

CAF CHAMPIONS LEAGUE 🤩
.
🇹🇿 SIMBA SC 🆚 PETRO ATLETICO 🇦🇴
⏰ 16:00
🏟️ Mkapa.
.
Utamu wa mechi hii unatokana na aina ya timu zinazokwenda kukutana. Simba imekuwa na wakati mzuri sana kwenye uwanja wa nyumbani. Hata hivyo, tangu mara ya mwisho Machi 29, 2024 Simba ifungwe nyumbani bao 1-0na Al Ahly ya Misri katika Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali, haijapoteza ikiwa ardhi ya Tanzania kunako michuano ya CAF.
.
Simba inakutana na mpinzani mgumu mwenye rekodi kubwa kwenye mashindano haya na ilifika hatua ya nusu fainali msimu wa 2021-22.
.
Kila la kheri @SimbaSCTanzania 🇹🇿

Filipino
drone boy รีทวีตแล้ว
drone boy รีทวีตแล้ว
drone boy รีทวีตแล้ว






































