Eneo la Sinza litajengwa upya, wakazi wengi wataunganishwa na kuwekwa eneo moja.
Kuna mpango wa kujenga maghorofa na kuboresha huduma za kijamii.
Nyumba nane zitaunganishwa na kuwekwa kwenye kiwanja kimoja.
x wasomi ivi kama Una mdogo wako kamaliza form six PCB na kafaulu ufaulu wa kusoma kozi yoyote ya sayansi utamshauri asome kozi gani Kati ya hizi na kwanini.
1.Udaktari (md)
2.vartenary medicine
3.animal science
4.foood science
5. medical laboratory science
6.famasi
7.nursing
Kuna sehemu nimeona wanasema mgonjwa mahututi akikuuliza saivi ni saa ngapi au leo ni siku gani usimjibu, unaepusha kifo chake!
Hii ina ukweli kiasi gani? 🤔
#TajiriLaKihaya
Sema Strait of Hormuz ya vile utaikuta tu Kwa Hivi Vibinti vya elfu 2…
WASIMBE wa Tisini huko… Kwa hili huwa wanajitahidi saana!
Sijui huwa wanafanyeje fanyeje… Kwa hili tuwapongeze…
Utakuta Ana watoto hata wawili lakini Mbususu BADO Nati zinabana angle zote..
Tatizo lao hii elimu wanashindwa kuwapa wadogo zao💔
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Charles Hirali Msangi, (34) dereva wa basi lenye namba za usajili T 289 EAG, Kampuni ya Laviha linalofanya safari za Ifakara - Dar es salaam kwa kwa kosa la kuendesha gari kizembe na kusababisha ajali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa hii leo April 17, 2026 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro ACP, Andrew Kantimbo imeeleza kuwa dereva huyo aliendesha gari katika njia ya hatari akiwa na abiria 57 kwenye basi hilo ambapo alishindwa kulimudu gari na kupelekea kuacha njia na kutumbukia mtoni ambapo alisababisha majeruhi
"Aprili 16, 2026 usiku katika eneo la daraja namba saba lililopo Ruaha kata na tarafa ya Mikumi Wilaya ya Kipolisi Ruhemba Mkoani Morogoro, katika barabara kuu ya Mikumi - Kilombero basi lililokuwa likiendeahwa na dereva aitwaye Charles Hirali ambaye amekamatwa, akitokea Ifakara kuelekea Dar-es-salaam akiwa na abiria 57 aliacha njia, kupinduka na kusababisha majeruhi kwa abiria 13 kati yao wanaume ni 10 na wanawake 03 ambao walifikishwa kituo cha afya kutibiwa na kuruhusiwa." Imeeeleza taarifa ya Polisi
#MillardAyoUPDATES
Hivi ukiitoa SELCOM, ni kampuni au taasisi ipi nyingine ina makato madogo?
Maana bank inakukata kila mwisho wa mwezi na bado kwenye kufanya miamala na penyewe unakatwa 💔
Mfanyabiashara Mehboub Manji ambaye ni mtoto wa aliyekuwa Mfadhili wa zamani wa Klabu ya Yanga amefungua kituo cha Gesi Asili kiitwacho GREEN GAS (CNG) kilichopo Mbezi Afrikana Jijini Dar es Salaam.✍️
Kuna huyo mwanangu toka 2021 kwenye nafasi za polisi na jwtz zikitoka huwezi mkosa kwenye interview ila kila siku hapati hii tena kanipigia simu anaenda nimemwambia mwanangu hii lazima upate 😁😁
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya kulevya wale watu safari hii wanafanya kazi sana sio mchezo.
Wale watu kiboko safari hii hawacheki na wowote
@temuljinhi@Oggarraa@JayFreaKay Na ujue siku izi io mchele sio ka ya kitambo....rather if you get it from deep in TZ and not from border...zipo diffrent.... the former has an aroma so beautiful and taste