Kirahi

36.6K posts

Kirahi banner
Kirahi

Kirahi

@kirahiJS

Anonymous Patriot | Private Citizen | The Guardian Angel | Prophetic Social Engineer |

Tanzania เข้าร่วม Nisan 2011
6.8K กำลังติดตาม6.9K ผู้ติดตาม
ทวีตที่ปักหมุด
Kirahi
Kirahi@kirahiJS·
Kwa Mimi binafsi siwezi kusamehe kwa yaliyotokea October 29 hata waridhiane na Mungu ama shetani ila binafsi siwezi kusamehe and i wish in one way or another kila aliyehusika alipe hata kwa DAMU ya kizazi chake chote.
Indonesia
1
0
4
232
Amock_
Amock_@Amockx2022·
THIS IS HILARIOUS 😭 Trump 🇺🇸 at 8 PM : Iran has gifted me 20 oil boats to me out of respect Iran Prof 🇮🇷 at 9 PM : "Iran hasn't gifted anything to Trump. As usual he is lying" 🔥😂 Humiliation pro max 🤣🤣
English
602
8.6K
31.7K
456.2K
Kirahi
Kirahi@kirahiJS·
@EsirEid Hawana viapo vya siri hawa, ama michezo tu?
Indonesia
0
0
0
3
Kirahi รีทวีตแล้ว
Balyx
Balyx@Balyx_·
Wanaotuaminisha kwamba Democracy na Free Speech is the Key 🔑 leo hii Iran alone amewafanya waone FREE SPEECH ni Mtihani
Indonesia
3
7
103
2.4K
Kirahi รีทวีตแล้ว
P'site Shio
P'site Shio@Psiteshio1·
Yaani NI kama sasa hivi uwarudie watu walioishi mwaka 1500 kuhusu simu, uwaambie unaweza piga simu ukiwa Tz unaongea na mtu wa China Hawataamini kabisaaa 😅😅
888@444holywitch

Nawe unaamini kuna mtu alikuwa na wake 700-1000 sio? Unaamini kuwa bahari ya shamu ikagawanyika kati watu wakapita afu ikajirudi😂. Kwamba mtu akamezwa na samaki akakaa zake siku tatu huko kisha akatapikwa akiwa hai😁. Kwamba mbinguni ni huko angani sio😂

Indonesia
11
12
132
10.5K
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kwa maelfu ya miaka tuliyoishi hapa duniani wanadamu tulishindwa kufanya chochote cha maana zaidi ya kubishana na kuuana kumpigania Mungu. Fikra za udadisi zikazimwa, watu wakalazimishwa kuamini story za Mungu pasipo kuhoji. Theolojia ikawa mawazo pekee yasiyopingwa kwa hofu ya Mungu. Tukaendelea kuuawa kwa magonjwa, majanga, na kuishi maisha duni ya tabu na mateso kwa sababu tu ya fikra mgando. Tuliishi maisha ya tabu na mateso makubwa kwa miaka kibao yote kwa sababu ya kukaririshwa story za Mungu na kulazimishwa kuziamini. Leo miaka michahe tu baada ya scientific revolution, binadamu anafanya mambo makubwa kuliko kawaida. Tunatibu magonjwa, tumeongeza umri wa kuishi, tumepunguza umaskini, tumepunguza vita na ushenzi wa kuuana, tunawasiliana kwa simu, tunabrowse mitandao, tunasafiri kwa ndege, treni, na magari ya kisasa, tunatabiri hali ya hewa, tunatuma vyombo kwenye anga za mbali, na mengine kibao. Story za Mungu na ubabe wa Kanisa vimetuchelewesha sana, leo tungekuwa mbali mara dufu.
Indonesia
11
2
15
905
Kirahi รีทวีตแล้ว
Mary L Trump
Mary L Trump@MaryLTrump·
Donald is going to get regime change after all--but in America, not Iran. No Kings.
English
2.1K
7.4K
44.4K
897.2K
Kirahi รีทวีตแล้ว
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Huyu jamaa alituachia picha flani hivi ya kihistoria, popote alipo uko Mungu ampe pumziko la Amani na wengine wote, Hii picha itaishi sana.
Mangi wa Kichaga tweet media
Filipino
50
290
2K
34.6K
Kirahi รีทวีตแล้ว
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kiongozi wa umma ambaye jana tu ametoka kutuambia serikalini hakuna utajiri ametoa wapi milioni 10 ya kuchangia ujenzi wa mradi wa Kanisa?? Anafanya biashara gani ya kuwezesha kipato hiki??
Indonesia
19
8
89
6.6K
Kirahi รีทวีตแล้ว
Balyx
Balyx@Balyx_·
Hivi unajua kwamba USA hawana military base yoyote Israel? Yaaani hata moja, now Israel wanataka military bases zote za US ziliizopo nchi za kiarabu ziondolewe na US awe na bases Israel tu
Indonesia
16
17
253
10.5K
Kirahi รีทวีตแล้ว
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kwenye Ufunuo wa Petro kuhusu siku ya mwisho (Apocalypse of Petro—hakikuwekwa kwenye biblia), Petro anasema siku ya mwisho wanaume waliofanya uzinzi watatundikwa kwenye shimo la moto kwa kutumia nyeti zao. Ole wetu wapenda ngono!😂😂😂😂
(---) Onesmo Mushi tweet media
Filipino
7
2
17
1.6K
Kirahi รีทวีตแล้ว
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Pale CHAUMMA mwenye akili pekee ni binti wa mzee Hashimu Rungwe tu the rest ni utopolo, na hivi ni ka left footer kama Obama. Greatness tupu
Sekenke One 🌻 tweet media
Indonesia
23
25
363
16.5K
Kirahi รีทวีตแล้ว
Balyx
Balyx@Balyx_·
Hapa solution ni Nuclear ☢️ wakuu Malizeni mchezo, huyu dogo anawashika sharubu sana, msije mruhusu akawashika kende, ndo anakoelekea mlaze mara moja. Mkijieleza tutawaelewa 😂
Indonesia
7
9
136
6.7K
Kirahi รีทวีตแล้ว
I AM
I AM@francismtey·
Psychologists wamewahi Ku Prove kuwa Mwanadamu hawezi Fikisha Taarifa kama zilivyo kutoka kwenye Original Source... kwasababu anapozipokea Hisia zake na namna anavyofiri yeye hutumika kubadilisha kipande cha taarifa aliyoipokea... "Humans Do Not Act Like Video Recorders;Instead, They Filter, Delete, And Distort Information" Emu Imagine... Biblia imekuwa ikiwa Copied, Tafsiriwa na ku editiwa kwa Lugha mbali mbali kwa zaidi ya miaka 1500 mmmh... Unauhakika Gani Mungu uliambiwa ndani yake Ndiye sahihi? ... FRANCIS | ABRACADABRA
Indonesia
12
5
34
2.5K
Kirahi รีทวีตแล้ว
Balyx
Balyx@Balyx_·
Israel leo wamezuia Wakristo misa/ibada ya Matawi pale Jerusalem “the Christian Holy Land” Iran wakatuma kombora limeandikwa “kwa kisasi cha mateso yote ya Kristo” 😂😂 I love this game
Filipino
9
32
546
15.6K
Kirahi รีทวีตแล้ว
Brad
Brad@BraddrofliT·
Imagine your biggest geopolitical enemy looking at your leadership and saying: “Don’t touch him. He’s doing more damage than we ever could.” Let that sink in.
Brad tweet media
English
385
4.4K
9.9K
100.6K