Sir Major☀️

5.5K posts

Sir Major☀️ banner
Sir Major☀️

Sir Major☀️

@smkami

Petroleum and Industrial Services Expert | Businessman | Human Rights Monitor | Political Infuencer

Tanzania-East Africa เข้าร่วม Haziran 2010
4.1K กำลังติดตาม1.8K ผู้ติดตาม
Sir Major☀️
Sir Major☀️@smkami·
Rais Samia ameizungumzia ripoti aliyokabidhiwa na Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Ghasia na mauaji yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Amesisitiza kuwa ripoti hiyo ni mali ya Rais pekee na hakuna mtu mwingine anayepaswa kuomba kuipata!
Indonesia
1
1
3
249
Sir Major☀️
Sir Major☀️@smkami·
Ikiwa leo ni Tarehe 23/04/2026 Tujiandae kwa taarifa ya goli la mfunga goli!
Sir Major☀️ tweet media
Indonesia
1
1
6
223
Sir Major☀️
Sir Major☀️@smkami·
Mapema leo waandamanaji wanaopinga kupanda kwa bei ya mafuta walivuruga shughuli katika Mahakama ya City Hall jijini Nairobi nchini Kenya na kusababisha kuahirishwa kwa kesi mahakamani hapo. Polisi waliingilia kati huku serikali ikisisitiza kufuata sheria wakati wa maandamano.
Indonesia
0
3
31
3.8K
DON MINJA
DON MINJA@donminja47·
@smkami @ChademaTZ2 wanapambana na dola baada ya kujiingiza kwenye Harakati Holela na Kuvunja Sheria za Nchi Kipindi cha Uchaguzi wakiamua kupambana na @ChaummaT Hivyo basi hata sisi @ChaummaT kamwe hatatuwahi kuwasemehe wala kuwaonea huruma kwa kinachowakuta @YerickoNyerereT
Filipino
2
1
1
127
Sir Major☀️
Sir Major☀️@smkami·
Baada ya Chama kikuu cha siasa Tanzania CHADEMA kushinda kesi mahakamani na kurudi kwenye uwanja wa mapambano, CCM wanagugumia kimya kimya. Kama wewe ni mtafiti mzuri wa mambo utagundua ni kama project imepelekwa CHAUMMA kurudisha misukule barabarani ili kupambana na CHADEMA!
Sir Major☀️ tweet media
Filipino
3
8
51
3.9K
Sir Major☀️ รีทวีตแล้ว
Wakili.tv
Wakili.tv@WakiliTv·
Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimekuja na kampeni maalum ya kutoa elimu juu ya Katiba inayoitwa 'KATIBA KITAA' ambayo itawafikia wananchi kwenye maeneo yao, huku lengo kuu ni kujenga uelewa wa masuala ya Katiba ya nchi.
Indonesia
6
110
303
6.4K
Sir Major☀️
Sir Major☀️@smkami·
Hii ndiyo akili ya mbunge wa CCM, ambayo haitambui kwamba tembo ni mnyama mwenye kipindi cha ujauzito cha miezi 22. Mnyama ambaye yuko hatarini kutoweka duniani. Ni akili hiyo ndiyo inayotumika kuishauri serikali kuwaweka tembo kwenye uzazi wa mpango (Family Planning)
Indonesia
0
0
11
1.3K
Sir Major☀️
Sir Major☀️@smkami·
Hivi ndivyo G-55 makapi ilivyoingizwa kingi na madalali walioingizwa kingi na mwamba pale chama cha wala Ubwabwa! Sasa hivi mwamba kimya kama hayupo, madalali na waliodalaliwa wote wanapiga mihayo utadhani hawajawahi kuona chakula miezi6!
Indonesia
0
0
13
702
Sir Major☀️
Sir Major☀️@smkami·
@mangekimambi Chama kina vijana wengi wapya wanaohitaji nafasi za wale waliokisaliti wakati wa mapambano. Hata huyo anayesemwa kwamba anaregret apitie njia ileile kama wengine ili ijulikane wazi anarudi kwa sababu ana mapenzi na chama au anarudi kwa sababu anataka uongozi?! It's very simple
Filipino
0
0
6
627
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Wasameheni ili kupunguza nguvu ya opposition dhidi yenu na kuongeza nguvu, mpo vitani you need as many upande wenu as possible ila muwaweke back bench kabisa. Yani wawe wanapika chai au kufagia ofisi ila msiwape nafasi yoyote ya kuwa watu wa muhimu ndani ya chama. Yani fanyeni kama chama cha mauaji (CCM) kilivyofanya baada ya uchaguzi wa 2015. Walisamehewa wasaliti wakarudi kwenye chama ila wakatupwa back bench huko. I think only 1 person deserves forgiveness ya Chadema na kurudi kwenye nafasi ya uongozi iwapo ataomba msamaha vizuri, huyu ameonyesha regret kwa kutokutafuta nafasi kwenye chama cha mauaji 2025. I think wote tunamjua, Ila wengine wakirudi warudi kufagia ofisi hata huku online hatutaki kuwasikia.
Hilda Newton@HildaNewton21

ONCE A TRAITOR, ALWAYS A TRAITOR. Waliondoka kwa mbwembwe nyingi wakakitukana sana Chama pamoja na Viongozi wetu matusi ya kila aina. Wengine wakaenda mbali zaidi wakaanza kusema #NoReformsNoElection ni uhaini, wakawa wanasema wanashangaa inakuaje Serikali haimkamati Mhe. Lissu wakati anahamasisha UHAINI hata haikuchukua muda Mhe. Lissu akakamatwa na kupewa kesi ya Uwongo mpaka leo ni zaidi ya Mwaka mmoja yupo jela. Walisema CHADEMA imepoteza mwelekeo mara sijui CHADEMA ishajifia bora waende huko wakatimize ndoto zao kisa waliambia watapewa majimbo 20 na Viti maalum 25. Mungu alivofundi walikula kofi la uso wakaangukia pua sasa baada ya kukosa Ubunge kama walivoahidiwa leo wanajifanya wameweka mikono nyuma, wanaomba kurudi kwenye CHAMA as if sio wao waliokua wanatukana mitusi na kudhalilisha Viongozi wetu. Hawa watu sio wakuwachekea maana msaliti ni msaliti, kama waliweza kutusaliti jana unadhan nini ambacho kitamzua kutusaliti leo/kesho..?

Indonesia
73
104
795
70.1K
Sir Major☀️
Sir Major☀️@smkami·
Content Creators endeleeni kuwa wapole subini kwanza mkopo wa riba nafuu!
Filipino
0
0
7
437
Haki Haki Haki
Haki Haki Haki@14Nainggolan·
@smkami No, mzee ndio kapewa vipande vya rupia, chama kimepoteza muelekeo, wapo wanywa sungura tu kina mrema
1
0
1
4
Sir Major☀️
Sir Major☀️@smkami·
Hivi mzee Spunda yuko wapi?! Kwa sababu tofauti na ilivyokuwa hapo awali, lakini tangu alipokaribisha yale makapi kutoka CHADEMA sio yeye wala makapi aliyoyakaribisha yamepotea kabisa kwenye uso wa siasa!
Sir Major☀️ tweet mediaSir Major☀️ tweet media
Filipino
7
4
53
4.4K
Haki Haki Haki
Haki Haki Haki@14Nainggolan·
@smkami 2020 nilikua damdam na ubwabwa, ile sera ya ubwabwa aisee sio ya nchi hii, ndio hivyo tena vipande vya rupia
Filipino
1
0
1
35
Sir Major☀️
Sir Major☀️@smkami·
Hata bila ya kuweka bendera, bado tungemtambua kuwa ni Mtanzania mwenzetu.
Sir Major☀️ tweet media
Indonesia
2
1
7
279
Sir Major☀️
Sir Major☀️@smkami·
BREAKING NEWS Mahakama ya rufani Dodoma imetengua amri batili ya mahakama kuu na kukiruhusu chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kuendelea na shughuli zake za kisiasa NB: Kuendelea kumshikilia Tundu Lissu sio mwisho wa Mapambano ya kudai haki. Free Tundu A. Lissu
Sir Major☀️ tweet media
Indonesia
0
2
17
171
Sir Major☀️
Sir Major☀️@smkami·
@godbless_lema Baba askofu hasikiki kabisa, hivi yupo kweli au ametingwa sana na majukumu ya kitume?!
Filipino
0
0
1
559
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Baba Askofu, Bwana Yesu asifiwe. Nimekuwa nikiona mijadala mingi katika mitandao ya kijamii kuhusu madai ya kuhusishwa kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania na mikakati ya kisiasa kuelekea uchaguzi wa mwaka 2030. Ingawa si rahisi kuthibitisha kwa uhakika, kelele hizi zinaibua wasiwasi unaostahili kutafakariwa kwa kina. Ni imani yangu kwamba kiongozi bora hatokani na dhehebu au dini, bali na sifa za msingi kama utu, haki na uadilifu. Taifa linahitaji uongozi unaojengwa juu ya kweli, si juu ya utambulisho wa DHEHEBU. Kwa unyenyekevu mkubwa, naomba Kanisa liendelee kusimama katika nafasi yake ya kiroho na kimaadili, na lisikubali kuingizwa katika mkakati wa Kisiasa. Kanisa linapaswa kuwa mwanga wa jamii. Ninafahamu pia kuna mengi yanayoendelea nchini ambayo yanahitaji hekima na uangalifu mkubwa. Siandiki bila kufuatilia mambo. Pengine siku moja nitaweza kukuona na kushauri mawazo na mitazamo yangu kwa kina zaidi ktk jambo hili. Mungu aendelee kulilinda na kuliongoza Kanisa lake.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
41
67
462
25.3K
Sir Major☀️
Sir Major☀️@smkami·
Ogopa sana Teknolojia! Huyu ni mfano halisi wa tabia za wanachama na viongozi wengi wa kile "chama cha mbogamboga.”
Indonesia
2
4
15
615