Soft Finance

1.6K posts

Soft Finance banner
Soft Finance

Soft Finance

@softfinancetz

Pata Mkopo wa haraka wenye masharti nafuu. Piga namba 0679 000 900 au 0678 000 800 uhudumiwe | #MpangoPesa

Dar es Salaam เข้าร่วม Ağustos 2023
0 กำลังติดตาม2.7K ผู้ติดตาม
Soft Finance
Soft Finance@softfinancetz·
80% ya biashara ndogo zinazobuni hufanya vizuri zaidi Sokoni. Tunafahamu una wazo zuri lakini hujui pa kuanzia. Karibu @softfinancetz tukupe muongozo utakaokusaidia kuwekeza sehemu sahihi. Huduma hii ni bure kabisa #MpangoPesa
Soft Finance tweet media
Indonesia
0
6
5
48
Soft Finance
Soft Finance@softfinancetz·
Tumelenga kuwawezesha wafanyabiashara wadogo kufanya maamuzi sahihi ya kifedha, kuongeza ushindani sokoni, na kujenga biashara endelevu zinazochochea maendeleo ya jamii na kupunguza umasikini. #ElimuYaFedha #MpangoPesa
Soft Finance tweet mediaSoft Finance tweet media
Indonesia
0
6
8
76
Soft Finance
Soft Finance@softfinancetz·
Programu za kuwajengea uwezo wajasiriamali wadogo. Katika kuhakikisha wanufaika wetu wa mikopo wanafikia masoko na kukuza vipato, @Softfinance tunashirikiana na wataalam wa fedha kutoa mafunzo ya vitendo, ushauri na mbinu bunifu za kuendesha biashara. #ElimuYaFedha #MpangoPesa
Soft Finance tweet media
Indonesia
1
6
7
89
Soft Finance
Soft Finance@softfinancetz·
Jipatie Mkopo wenye masharti nafuu. Tembelea ofisi zetu 📍Makumbusho stendi 📍Tandika stendi 📍Usagara Hostel, Pangani road 📞 0678 000 800 | 0679 000 900 #MpangoPesa
Indonesia
0
7
7
97
Soft Finance
Soft Finance@softfinancetz·
Baridi la leo vipi? ❤️ Sogea karibu na partner wako… mchombezi kidogo 😋 Furahieni mahusiano yenu huku mkipanga maisha ya kesho pamoja 💭 Karibuni @softfinancetz tuwapatie mkopo binafsi mtimize ndoto zenu #MpangoPesa
Soft Finance tweet media
Indonesia
0
4
6
67
Soft Finance
Soft Finance@softfinancetz·
@MelkMalima Hapa kwa mfanyabiashara ataleta Dhamana tu ya kitu kisichohamishika kama hati ya nyumba au kiwanja au kadi ya gari pia na taarifa za mapato na matumizi ya biashara miezi mitatu iliyopita ili tumfanyie tathimini ya kiwango sahihi cha mkopo anachostahili #MpangoPesa
Indonesia
0
0
0
2
.
.@MelkMalima·
@softfinancetz Salary slip kwa mfanyabiashara.
Indonesia
1
0
0
3
Soft Finance
Soft Finance@softfinancetz·
Mafanikio huanza na jitihada ndogo ndogo zenye muendelezo. Anza wiki yako ukiwa na taarifa sahihi zitakazokufungulia milango ya fursa. @Softfinancetz tunakusogezea vigezo vya kunufaika na mikopo yetu ✅ Binafsi ✅ Biashara ✅ Vikundi ✅ Dharura #MpangoPesa
Soft Finance tweet media
Indonesia
1
6
7
167
Soft Finance
Soft Finance@softfinancetz·
Karibu @softfinancetz ukamilishe taratibu tukupatie mkopo utakaokuendeleza na kupiga hatua zaidi. 📍Makumbusho stendi 📍Tandika stendi mkabala na CRDB 📍Usagara Hostel, Pangani road (Tanga) 📞 0678 000 800 | 0679 000 900 #MpangoPesa
Soft Finance tweet media
Indonesia
0
5
5
122
Soft Finance
Soft Finance@softfinancetz·
4️⃣ 𝗡𝘆𝗮𝗿𝗮𝗸𝗮 𝗠𝘂𝗵𝗶𝗺𝘂 Leseni ya biashara, salary slip, na nakala ya NIDA au pasi ya kusafiria na Passport size ndogo 2 ni nyaraka muhimu kwa maombi ya mkopo. Mwajiriwa, mjasiriamali na mfanyabiashara karibuni wote mikopo kwa ajili yenu ipo. #MpangoPesa
Soft Finance tweet media
Indonesia
2
5
5
103
Soft Finance
Soft Finance@softfinancetz·
Vigezo ✅ Barua ya kuomba mkopo ✅ Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa ✅ Dhamana ya kitu kisichohamishika kama hati ya kiwanja au nyumba au kadi ya gari ✅ Nakala ya NIDA au Pasi ya kusafiria. ✅ Passport size 2 Tembelea ofisi zetu ukamilishe taratibu #MpangoPesa
Indonesia
0
5
5
68
Soft Finance
Soft Finance@softfinancetz·
Jitihada za kila siku zinahitaji matokeo chanya Rahisisha utendaji wako kwa kuchukua mkopo binafsi na uimarishe miradi yako ya ujasiriamali. @Softfinancetz tupo tayari kukuwezesha hadi 10M. Chukua hatua leo fikia malengo yako kesho. #MpangoPesa
Soft Finance tweet media
Indonesia
1
7
6
80
Soft Finance
Soft Finance@softfinancetz·
Simamia pesa kwa umakini 👑 Punguza matumizi 🏦 Weka akiba ya kutosha ✍ Epuka madeni yasiyo na ulazima 📲 Tatua changamoto kwa wateja haraka na wasiliana nao ili wakuunganishe na wateja wengine #ElimuYaFedha #MpangoPesa
Soft Finance tweet media
Indonesia
0
5
8
303
Soft Finance
Soft Finance@softfinancetz·
Mfanyabiashara unapaswa kufanya nini 💣 Badili mpango wa biashara (Thaminisha zaidi kwa bei ile ile, Package deals (uza kwa pamoja) 🤝 Kusanya order za eneo moja baada lingine 🤳 Imarisha uhusiano na wateja kwa kuwatia moyo #ElimuYaFedha #MpangoPesa
Soft Finance tweet media
Indonesia
1
5
6
62
Soft Finance
Soft Finance@softfinancetz·
Uchumi wa Dunia kuyumba unaathiri vipi biashara na namna ya kujikwamua Uchumi ukiyumba nini hutokea? ✍ Bei za bidhaa kupanda 🛍 Wateja kupunguza matumizi 🚛 Usafirishaji kuwa ghali Mabadiliko haya huingia moja kwa moja kwenye biashara. #ElimuYaFedha #MpangoPesa
Soft Finance tweet media
Indonesia
1
5
5
75
Soft Finance
Soft Finance@softfinancetz·
Watoto wako wamerudi shule? 🎒📚 Ada ni kikwazo? Usijali @SoftfinanceTZ tunatoa mkopo wa dharura kukusaidia kukamilisha malipo kwa haraka. Tembelea ofisi zetu leo ukamilishe taratibu 📍 Makumbusho | Tandika | Usagara (Tanga) 🕢 Saa 1:30 Asubuhi – 11:00 Jioni #MpangoPesa
Soft Finance tweet media
Indonesia
0
6
8
99
Soft Finance
Soft Finance@softfinancetz·
𝐌𝐭𝐨𝐤𝐨 𝐃𝐚𝐲 Chill out na watoto wako mkafurahie maisha na kupumzisha akili. Usiwaze sana kuhusu mipango yako, @SoftfinanceTZ tupo kwa ajili yako. Tunatoa mikopo binafsi itakayokuwezesha kukuza na kuboresha miradi yako ya ujasiriamali. #MpangoPesa
Soft Finance tweet media
Filipino
0
6
8
160