ทวีตที่ปักหมุด
Wegge
1.8K posts

Wegge
@wegge22
economist (by profession), Entrepreneur, Business advisor, statistician (by profession), Brothers' keeper, Optimistic.
Arusha, Tanzania เข้าร่วม Ağustos 2021
1K กำลังติดตาม1.1K ผู้ติดตาม

#TajiriLaKihaya
Kuna wengi wameniBlock kwenye main Account zao…
Ila Maparody Yao wameniFollow kabisaaa 😂😅
Wengine wameniFollow Kwa account zao za biashara kimya kimya- kila siku lazima wapitie Posts zangu😂😅
Kama Madagaa juzi kajisahau Kapiga Like kabisaa 🙌🏽
JAGUAR.@Jaguar_455
@EsirEid Wanablock saa sita 6 mchana ikifika usku wa saa 6 wana unblock, hakuna msimbe mwenye msimamo.😂😂
Filipino

@Sirjeff_D Mahusiano yana maana pana kaka , lakini kimsingi mahusiano ni muunganiko au uhusiano kati ya watu wawili au zaidi. Uhusiano huu unajengwa juu ya misingi kama vile mawasiliano, heshima, kuaminiana, na utegemezi. Acha watu wahusiane bro
Indonesia

@GustavoElVunga Nipo kwenye majukumu ya kulijenga taifa kaka. Nyie si mmeamua kuwa wavivu 😁
Indonesia

@GustavoElVunga Kwamba tangia uhame pale ubungo maziwa sahivi unajikuta mtu wa kibaigwa au sio😎
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Arsenal ndio TunaibebA ENGLAND… na hapo SAKA hayupo😅😂
x.com/sivllp/status/…
Filipino

@EsirEid @Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ Tajiri niwekee hata 10 nikanunue umeme asee
हिन्दी

@Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ We jamaa hizi zote umetoa wapi aisee😳😳
Humu x sio salama… unaweza post hata mke wa tatu … wadau wakakuletea list ya wake 10😂😅
Indonesia








