
@ChademaTZ2 Mhhh Kuna semaji la Chama engine inaweza Toboa hapo Kweli? Tuache unafiki chadema Ina watu smart Sana asee..
Indonesia
ubuntu
3.4K posts






As expected, this “commission” glossed over a violent crackdown and the facts. I support the administration’s bilateral review and call for sustained pressure on Tanzania, including the release of Tundu Lissu. Waiting out scrutiny with a whitewashed report is a flawed strategy; it won’t restore credibility but rather deepens long-term risk and mistrust of the ruling regime.



























@joeselasini Wasituambie Hakufa Mtu.








Nimesoma chapisho ya Wakili Kisabo tena. Sioni tatizo lolote katika kauli ya Tundu Lissu. Kinachokera baadhi ya viongozi na wafuasi wake ni maneno 11 ya mwisho kwenye pointi namba moja: "kwamba yuko tayari kwa mazungumzo akiwa mtu huru yeye pamoja na chama." Kwanini yapotoshwe?