B.dhe_don
1.3K posts

B.dhe_don
@Bdhedon1
SilverFox 🦊|| Arsenal_FC fan #COYG🔴⚪|| Simba_Sports Club fan 🦁|| Certified Gamer 🎮⚽||
Dar es Salaam, Tanzania شامل ہوئے Mart 2021
1.1K فالونگ121 فالوورز
B.dhe_don ری ٹویٹ کیا
B.dhe_don ری ٹویٹ کیا

THE BEST TEAM IN THE LAND .!
Worthy Champions , 100% .!
Ni vile tu chuki na mautani yetu but wamekuwa wanapiga hodi kwa miaka kama mitatu , ishara ilikuwepo pale , it was coming na hatimaye imefika .
CONGRATULATIONS ARSENAL @Arsenal

Filipino

@George_Ambangil Kwamba mambo yataanza kurudi kwenye default settings 😂😂
Indonesia

Wale ambao mliondoka timu zenu za utotoni kuhamia Man City ( Arsenal , United , Liverpool ) rudini tu kwenye timu zenu😀😀😀
David Ornstein@David_Ornstein
🚨 Pep Guardiola to leave position as Manchester City manager at end of this season. 55yo Spaniard departing after trophy-laden decade & set to be replaced by Enzo Maresca. No official confirmation yet from #MCFC. W/ @SamLee @TheAthleticFC after @MailSport nytimes.com/athletic/62693…
Indonesia
B.dhe_don ری ٹویٹ کیا

In a world where fake news spread faster than truth, where clicks matter more than credibility, and where many pages chase engagement over honesty, @HandofArsenal you stood different.
@HandofArsenal , for years you’ve given Arsenal fans something rare on this internet: genuine, reliable,and honest news.
Some people may never understand how much that means to supporters who live and breathe this club every single day.
Through the highs, heartbreaks, the banter years, the rebuild, and now the rise again - your page became a place many of us trusted before anyone else. Not because you shouted the loudest, but because you respected truth.
While others rushed to post rumors for attention, you stayed patient.
While fake stories flooded timelines,you stayed credible.
While many turned football news into a business of deception,you protected the integrity of reporting for Arsenal fans.
That consistency deserves appreciation.
You’ve done more than post updates, you’ve built trust with a global fanbase. And trust is something that takes years to build but seconds to lose. Yet year after year, you kept earning it.
For many fans, checking your page became part of supporting Arsenal itself. Matchdays, transfer windows, injury updates, press conference - somehow your work always made the Arsenal experience Deel more connected, informed and real.
Thank you for choosing honesty in an era that reward lies.
Thank you for feeding Araenal fans with authentic news when misinformation became the easier route.
Thank you for the dedication, the consistency and the respect YOUVE shown this community for years.
Respect to you always @HandofArsenal , you are appreciated more than can fully express.
❤️🤍
This is me wishing you the very best in your future dealings.
I hope you’ll keep routing and supporting Arsenal. 🫂 & ❤️

English

BONGOSTAR SEARCH: HII HAPANA
Hatuwezi kukuza VIPAJI VIPYA kama tutakuwa tunavi HUMILIATE, MISTREAT & UNDERMINE kwa this type of unfair judging & condescending approach.
Huyu Binti anaimba, rap, na ni bilingual mwenye personality na exposure ya ulaya. Hizo ni Taarifa ambazo amezitoa ndani ya sekunde 20 za mwanzo; zilitosha kwa yeye kupewa BENEFIT OF DOUBT, na hata namna ya ku-engage nae ingeweza kuwa friendlier na yenye way more entertaining content than kum-shutdown hivi!
IKUMBUKWE; Washiriki ni AMATEURS na WAKO NERVOUS. Unaweza kuwa INDIFFERENT & UNBIASED as a JUDGE ila sio kuwa CRUEL; you can KILL THEIR CONFIDENCE na hata kama anajua akafanya BAD PERFORMANCE. Ndio maana WAZOEFU humfanya Mshiriki a-relax, kumsifia alivyovaa, kumuuliza nini anaimba, kum-wish goodluck, ili a calm down kabla ya kuperform.
MFANO mimi kama Judge, ningemtania kuhusu BRITISH ACCENT yake, au ningemuuliza LONDON alikuwa anafanya nini, etc. Way BETTER CONTENT for THE AUDIENCE.
Alafu disqualification yake ni kuwa SAUTI IKO CHINI, Really? Hicho si ni kielelezo tosha kuwa SHE IS NERVOUS? 🤷🏾♂️ Mimi nimemsikia kuimba anajua (hajakosea kitu), na angeruhusiwa 5-7 more seconds ambapo wimbo ulikuwa unaenda ku-TRANSITION, ndio tungejua uwezo wake zaidi. Na hivyo hivyo kwenye ku-rap, ame-rhyme, ameflow na amekaa kwenye pocket; Mashairi yake kweli ni Explicit ila sio kiiivyo.
Hata kina SIMON COWELL, wakiona RAW POTENTIAL, ila iko nervous, huwa wanasimamisha encourage them, then wanawapa second chance, na sio kuwa dismiss. Na mtu wa hivyo DEVELOPMENT & GROWTH ARC yake inaenda as anaendelea kuwepo kwenye Shindano na pia inawapa Audience nafasi ya ku-fall in love with Washiriki.
Mimi, WAKAZI, as a former judge wa UNITALENT SHOW, huyo dada ANAJUA KUIMBA; anaimba kwa Mix ya “HEAD & CHEST VOICE” na LOWER REGISTER MEZZO ALTO ndio her VOICE TYPE. ANAWEZA KU-RAP pia na Content yake inashabihiana na Female Rappers wa kisasa (Meg The Stallion, Sexy Red, Latto) so hiyo VERSATILITY yake ni golden. Ana PERSONALITY and Particular SENSE OF FASHION with GOOD COMMUNICATION SKILLS (English & Swahili). Na hizo zote ndio QUALITIES ZA KUTENGENEZA A STAR.
You can do better…
The Leader
Filipino

Sauzi kwa Madiba 2018
Iliwahi kuundwa tume #ZondoCommission
Ili kuchunguza
#Rushwa, #Ufisadi & #StateCapture
Ile tume ilitumia Pesa Randi Bilioni 1, Sawa na US $ 66Million,
Sawa na Tsh. Billion 158.
Wasauzi walipiga sana kelele kuhusu hili!!
Awali tume iliahidi kumaliza kazi ndani ya siku 180 tu.
Aaah wapi….
Siku 180 zikatimia bila majibu!!
Baadaye Tume ikawa inaomba kuongezewa pesa na muda ili iendelee na uchunguzi.
Mwaka 2019 waliongezewa ikafika Tsh. Billion 56.
Mwaka 2020, wakaomba waongezewe tena muda na pesa ikafika Tsh. Billion 110.
2021 wakaomba tena mzigo ukafika Tsh. Billion 125.
Tume ikamaliza kazi June 2022 ikiwa imetafuna Tsh. Billion 158.
Unaweza ukasema ni pesa nyingi sababu ilifanya kazi muda mrefu 4years, But NO. Ndani ya siku zile 180 tu za kwanza walikuwa wameshatumia Approximately
Tsh. Billion 20-40.
Kwetu matumizi na budget ya tume na vyombo vyao vya uchunguzi huwa hayawekwi wazi!🤔
But you can imagine kama kwa Madiba tume ilitumia fedha hizo na ni uchunguzi wa ufisadi & Rushwa tu na wala sio case solid kama mauaji!!
VIPI SISI TUME YA SIKU 153
NA KAMA UJUAVYO KWETU NDIO SHAMBA LA GRAND MA’ 😌🥹
Filipino

@RevocatusMagum1 Daaah 😂😂, mpira wetu ukiwa mtu wa hasira karbu lazima utatukana tu 😁
Indonesia

Unaambiwa jana Djibrill Kassali hajagusa mpira kabisa, Gueye aliishia kupasha tu na hakupata nafasi kucheza, Kapombe hata benchi hakuwepo, Kibabage alitulizana nje kabisa, Rushine alipasha kidogo akarudi nje kupumzika, Hapo sijawaambia kabisa kuhusu Kagoma, Oura, chama na Mwalimu ambao waliingia tu kufanya magoli yatokee kisha wakaanza kutoa burudani kwa Wanasimba Mabilioni duniani kote
Wote mnajua Who is next, Hatutaki udhuru tunataka Mwenda na Ex wetu Captain wawepo sababu jukumu la kuwakaba Oura na wenzake ni la kila mtu hakuna kukimbia, Hakuna kutoa sababu na hakuna kujivunja
Mwalimu atafunga kila mechi hapa Zanzibar wakuzuia hilo ni Kibendera tu Kassim Mpanga 👊
Kuna jitu tunaenda kulibonda mara mbili ndani ya siku 5 hadi lituambie nani kamleta Buba🤣
Tutakuwepo😎

Indonesia

@GodfreyFra2414 @Nindi_Jr Randomly anatembelea stories ambzo zilisha-happen (so far tunaambiwa hawez ku-stop chchte)

@GodfreyFra2414 @Nindi_Jr Hawez kukumbuka kwa7b bdo hawez ku-control ability yake ya Story walking
Indonesia

@GodfreyFra2414 @Nindi_Jr yule babu akam-mock kumwambia "you can't change a story that's already been told"
- Julie wa current timeline hajui hiki kitu kimetokea kwa7b mda kinatokea yeye alkua na Ethan kwenye Diner ile wakat wazaz wao wapo msituni na Jade wana-play ile Violin
Filipino

@GodfreyFra2414 @Nindi_Jr - Julie anaemwona mzee wake anakufa sio Julie wa timeline hii ya sasa (hence the difference in the character's look) na pale alkua anajarbu kum-save akafeli, so alkuja ku-realize kile kifo kitatokea alivyokua anaipitia ile Story in the future akajua kuwa ataweza kuizuia ndo mana
Indonesia



















