
Master Manondo
5.2K posts

Master Manondo
@FredrickMulla
Musician | I Create | TEDx Speaker 2K19 | Fitness Fanatic



Fred that was MECHI ZA UGENINI (2010) ilitoka baada ya kutoa Tanzania & Mr President…..sijui ulikuwa wapi miaka hiyo….nways!! Sasa wimbo wa Mr. President uliniletea shida na utawala wa kipindi kile (JK)baada ya kuperfom wimbo huo kwenye uzinduzi wa Malaria Campaign Mnazi Mmoja mbele ya viongozi, na Basata walinizingua sana!! Through Ruge tukayamaliza na nikaenda sawa na utawala pamoja na basata…… Sasa nikatakiwa kuja na a Comeback song….Ndio nikaja na Mechi za ugenini!! Upo???! “Hakuna Utata Mbaratata” It was a phrase alikuja nayo Ncha kali, ikawa inatumiwa sana na XXL clouds hasa Dj Fetty & Mchomvu & Dozen na ulikuwa ni msemo pendwa sana kwa fans kuelekea fiesta ambapo ndio wimbo ulitoka msimu huo! Hakuna utata mbaratata Ilimaanisha hakuna noma ni fresh tu… Ni slang hiyo. So nilikuwa nina adress message kuwa nimeshayamaliza na gavoo plus basata and now i’m free So J ryder endelea kunyonga beat kama kiuno cha Yondo sister/ Mimi ndio mtoto wa Jakaya hadi ikulu napiga chata/ Hakuna utata mbaratata nasimama mpaka basata/ Vaa gucci vaa supra na show nitakufunga supa/ Means Rider tuendelee kugonga mangoma coz utawala hauna noma na mimi tena nisha sort nao, ninaweza kupiga chata hadi ikulu mimi mtoto wa Jk now! Hakuna tena utata now ni fresh yani mbaratata naweza simama hadi basata!! Wale haters mabishoo waliodhani nimepotea…. ndio nawaambia Vaa gucci vaa supra…Mimi nakuja na Dickiez za kaki na all star shoe na bado show nakufunga super!! THAT WAS THE STORY YA HIYO LINE!! Na ni wimbo una miaka 16 lakini ndio number 1 jukwaani hadi sasa!!


"kupitishwa na wengi sio kipimo cha ubora" sasa inakuaje katika upitisho, idadi kubwa ya wapitishaji wanakaa upande usio bora?




















