Jubeck
7.4K posts

Jubeck
@Jubeck2001
Lionel Messi Fan,Daktari Mwanafunzi🩺👨⚕️,Here to learn,share what i know

Rapper @mex.tz amefunguka kuwa kwasasa Ulimwengu wa Rap yeye ndio anaumiliki kwasababu kila msanii wa HipHop ambaye anafanya vizuri au anataka kufanya vizuri ni lazima afananishwe na yeye jambo ambalo yeye anaamini kuwa ni Rapper bora ndio maana anashindanishwa na kila rapper kwasasa. ✍️ @mkogoty








"kupitishwa na wengi sio kipimo cha ubora" sasa inakuaje katika upitisho, idadi kubwa ya wapitishaji wanakaa upande usio bora?








Hizo ajira za JWTZ mdogo wangu kama vyeti vyako havijanyooka achana nazo Una cheti cha kuzaliwa kimeandikwa “GABRIEL” Cha shule “GABRIELI” AU kimoja “Gabriel Mfwango” Kingine “Gabriel Mfango” Sio jeshi tu taasisi nyingi sahi mchujo unaanzia hapo🫵🏾















