
@George_Ambangil Kuagiza ni rahis zaidi cause unapata options nyingi kuliko showroom, odometer haijachezewa, una option ya kuchagua grade nzur zaid ya gari, bei inakua cheap cause unachukua whole sellers while showroom ni kama retailers.
Filipino
James Fibonaccì 🍷
8K posts

@JamesFibonacci
Chelsea| Space X| humble with just a hint of Kanye| An evolutionary mass of atoms whose sole instinct is survival. 😎👊🏾













Nchi ambayo ipo kinyume na Marekani ila naamini Nuclear weapons zake ni kwa ajili ya defense tu ni North Korea. North Korea labda ugomvi wao wa damu na mwenzae South ila husikii kwamba nitakuja kuiteka Dunia wala hana doctrine ambayo ana-push Duniani. Ila yeye anasema mtu akisogea huku tu ndo ataona moto wake. Kwa upande wangu sinaga shida nao kabisa. Ila wale majamaa, Iran [Sio Saudia] ambao wana-fund preachers kila eneo na kusema kuna siku tutawakata vichwa hapana.
















