Medrick mapembe

13.9K posts

Medrick mapembe banner
Medrick mapembe

Medrick mapembe

@MapembeMedrick

Asante baba kwa kunichagulia mama bora

Dar es Salaam, Tanzania شامل ہوئے Mart 2024
2.5K فالونگ2.4K فالوورز
پن کیا گیا ٹویٹ
Medrick mapembe
Medrick mapembe@MapembeMedrick·
She is my mom POV, my mom get old and I haven't make proud yet 🤲
Medrick mapembe tweet media
English
21
33
152
6.1K
Medrick mapembe
Medrick mapembe@MapembeMedrick·
@Jaguar_455 Ok. Sawa kwaio yeye kaenda na baba ake . Hairuhusiwi kuwapa company?.
Filipino
1
0
0
6
JAGUAR.
JAGUAR.@Jaguar_455·
@MapembeMedrick Umeelewa caption mkuu, kinachoongelewa ni watoto wenye uitaji maalumu haijarishi ni wakiongozi ila caption imewaelezea watoto wote waliyopo hapo
Indonesia
1
0
1
16
JAGUAR.
JAGUAR.@Jaguar_455·
Sasa huyo mtoto wa mzito nae yuko kwenye kundi la watoto wenye mahitaji maalumu😂
JAGUAR. tweet media
Filipino
5
2
10
788
Medrick mapembe ری ٹویٹ کیا
Kaka mkubwa
Kaka mkubwa@sapro_phyticus4·
Huyu mzee Kuna kipindi nilihisi huenda akawa ni waziri huko kwao😂
Kaka mkubwa tweet media
Filipino
5
6
25
835
Medrick mapembe ری ٹویٹ کیا
Medrick mapembe
Medrick mapembe@MapembeMedrick·
Wauza Pini Dar es salaam 👇
Indonesia
1
1
3
199
Medrick mapembe ری ٹویٹ کیا
M O X
M O X@UrBoyMox·
Born - Temeke Raised- Dsm Parent- Tanga Study - Dsm Live in- Dsm Job- Mwanachuo Job place- TIA Speak- Swahili, English and French Country Visited- Zanzibar, South Afrika, Togo Want to visit- Kenya, Paris AND YOU?
Broke & Zero Aura (BZA)🍁@Kariakoo_

Born - makete Raised- tunduma Parent- tunduma Study - mbeya Live in- dar Job- winga Jop place- kariakoo Speak- swahili ,kikinga and little english Country Visited- zambia, malawi Want to visit- kenya, ushelisheli,china, and USA AND YOU?

English
14
14
46
2K
NOED.
NOED.@Noedson_tz·
Aisee kifo cha yule dogo wa MUHAS ni huzuni 💔
हिन्दी
19
28
333
25.6K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Baada ya mama yao Eric Bailly na Idrissa Gana Gueye kumfumania baba yao, akaamua kujiua na kuacha ujumbe:"Nilipoishia, wewe unatakiwa kuendeleawatoto wangu wafe wakiwa matajiri kupitia vipaji vyao."Mwanzo Bailly alikuwa muimba mziki, akaamua kumfuata Gana Wewe unamkubali nani? 👇
mTusi original 👦 tweet mediamTusi original 👦 tweet media
Indonesia
28
18
322
23.5K
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Muonekano mzuri wa dunia kutokea mwezini " sayari ya dunia ni zuri sana"
Filipino
37
35
171
8.9K
🫵🏿
🫵🏿@EliaIsAlive·
@Sativa255 Sasa hapo unaingilia starehe za watu kiongozi, kama starehe yako ni kunywa uji basi usione wanywa chai wasenge.
Indonesia
2
0
28
3.1K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Kuna wale watu wanaheshima zao kwenye Jamii afu gafla unakuja kumuona live anavuta SIGARA—huwaga inachosha sana. Mfano kuna siku niliona video ya LUGUMI anavuta sigara nilichoka aisee. Kipindi hicho nafuatilia kandanda, mtu niliekuwa namkubali ni HAJI MANARA, nae nikaja kuona anavuta SIGARA nilichoka. Kuna siku tena nikamuona yule Gerald Hando anavuta vile vivespa sijui msibani mbele za watu—vile ni ishara ya kukata kiu ya FEGI nilichoka. Hii starehe ya kuvuta CHIGA (SIGARA) ni ya kipumbavu—hili halina MJADALA.
Filipino
122
82
678
38.6K
Medrick mapembe
Medrick mapembe@MapembeMedrick·
@SharonMontana20 Ndo nazidi kuamini ukiwa huna hela , Kila mwenye hela uta muona anachezea hela.. Uswahili huku , atatoa wapi hela ya kiwanja 😂, ajenge 😅 Tena ya mwanae😂. Wakati kwa 100k mziki + keki+ na vibia mpaka morning,, Unazungumzia wewe hao ni Washua
Indonesia
0
0
1
76
Doctor Mishy🇷🇺
Doctor Mishy🇷🇺@SharonMontana20·
Sawa ulikuaga ufanyiwi birthday na Wazazi wako, sasa Huyo mtoto wako Unafanyia birthday kazi kumlisha makeki keki baada birthday ya Kwanza mnunulie kiwanja next birthday muwekee tofali next bday weka msingi next hivyo hivyo mpaka anafika 18 years mjengo wake umeisha hiyo Ni gift kubwa Sana ,.si kile ulichokosa Kwa Wazazi wako na mwanao akikose kateni hizo nyororo za kigaidi wazee ooh shauri zenu
Filipino
30
30
173
9K
Medrick mapembe ری ٹویٹ کیا
NICE (🎹🎸)MCHINA WINGA
Bamdogo Gabby amefika Africa anasifia wamama tu hizi savings nisipokuwa makini atazimaliza arudi dubenga 😭🤣🤣🤣
Indonesia
1
12
71
2.8K
EZEKIAH JEREMIAH
EZEKIAH JEREMIAH@ezzy_wix·
Duniani kuna starehe nyingi sana ila mwanangu na akili zako timamu umeamua kuwa mvuta sigara🚮🚮🚮
EZEKIAH JEREMIAH tweet media
Filipino
14
6
77
5.8K
Broke & Zero Aura (BZA)🍁
Yesu alikufa kwa ajili yetu wanadamu ila sisi waafrica tulikua hatujui hadi miaka 600+ baadaye watu weupe walipokuja kutuambia
Broke & Zero Aura (BZA)🍁 tweet media
Indonesia
33
31
184
9.8K
北方只王子🇨🇳⛩️
Mtu umejiunga tweeter (X) ukiwa na miaka 20 ila sasa unamiaka 25 bado una tweets ujinga huna future KAZI yako kubwa kuwa na mijadala yakijinga humu fvckin🚮🚮
Filipino
8
14
45
1.4K
Medrick mapembe ری ٹویٹ کیا
Kilo-Volt
Kilo-Volt@Kil0voltI·
Mdada mzuri tu namuheshimu, tunaheshimiana. Kaniambia anaumwa, anaomba nikamuone. Nikawasha chuma, nimepita sokoni kubeba mazaga kadhaa, nimepita shopers kuchukua mavitu fulani ya kumpa faraja mgonjwa. Nafika kwake, anafungua mlango, namkuta yuko naked. Daaah, kazi ipo.
Kilo-Volt tweet media
Filipino
34
17
116
10.5K
Medrick mapembe
Medrick mapembe@MapembeMedrick·
Enzi zetu , ukimaliza Chuo Serikali inakutafuta ,
Medrick mapembe tweet media
2
7
37
1K
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Nikiliona hili rungu namkumbuka negan😁
NGASSA+255 tweet media
Indonesia
5
2
26
835
Medrick mapembe ری ٹویٹ کیا
Medrick mapembe
Medrick mapembe@MapembeMedrick·
Sawa Body count 2 ila mechi sasa .😅 James milner
Indonesia
0
1
1
63