
Eng Mutran
1.3K posts

Eng Mutran
@mutran06
Chemical & Process Engineer |Metallurgical analyst| Political animal |
Tham gia Ocak 2025
1.1K Đang theo dõi401 Người theo dõi


#TajiriLaKihaya
Kwanza, ni muhimu kuelewa kuwa akiba ya mafuta ya miezi mitatu (strategic/operational reserves) inalenga kuhakikisha upatikanaji wa bidhaa haukatiki (security of supply), siyo kudhibiti bei zisibadilike.
Katika masoko ya mafuta, bei huamuliwa na mchanganyiko wa gharama za kimataifa (international benchmark prices kama Brent), gharama za usafirishaji (freight), bima (insurance premiums), pamoja na gharama za ndani kama ushuru na logistics.
Hivyo hata kama mafuta yaliyopo yaliletwa kabla ya mabadiliko ya bei duniani, thamani yake ya kiuchumi hubadilika mara moja kulingana na bei ya sasa ya soko (market valuation), siyo bei ya zamani ya ununuzi.
Pili, biashara ya mafuta inaendeshwa kwa kanuni ya ‘replacement cost pricing’ badala ya ‘historical cost’. Hii ina maana kuwa bei ya kuuza leo inaangalia gharama ya kununua mzigo unaofuata, siyo gharama ya mzigo uliopo. Kama utaendelea kuuza mafuta kwa bei ya zamani wakati gharama ya kuagiza mzigo mpya imepanda kwa kiasi kikubwa, basi mapato utakayopata hayatatosha kurejesha kiwango kilekile cha stock (volume).
Hii husababisha kile kinachoitwa ‘inventory loss’ au ‘under-recovery’, ambacho kinaweza kupelekea upungufu wa mafuta sokoni. Ndiyo maana marekebisho ya bei hufanyika mapema kabla hata akiba ya zamani haijaisha.
Tatu, katika muktadha wa Tanzania (na nchi nyingi zinazo-import mafuta), mfumo wa ununuzi wa pamoja (bulk procurement system) unalenga kupata bei shindani, lakini bado unaathiriwa moja kwa moja na mabadiliko ya soko la dunia na thamani ya fedha (exchange rate risk). Hivyo kinachoonekana kama faida ya muda mfupi kwa wauzaji au serikali, kiuhalisia ni ‘price smoothing mechanism’ inayolinda mzunguko mzima wa ugavi (supply chain sustainability).
Kwa lugha rahisi: fedha inayopatikana leo kwa bei ya juu ndiyo itakayowezesha kununua mafuta ya kesho kwa bei hiyo hiyo ya juu, ili kuhakikisha kiasi cha mafuta (volume) kinabaki kilekile bila kusababisha uhaba sokoni.
The SPECIAL ONE ™️@bajabiri
Wewe ulikutana na Waziri, alikwambia "Kuna mafuta ya kutosha" Kwanini mafuta yapande kwa 1000/= wakati bado tunatumia mafuta yaliyopo kwenye reserve ya hadi Julai? Naombeni mnipe shule hapa,haya mafuta tunayotumia yameingia kwa meli kipindi hiki cha VITA au yalikuwepo kabla?
Indonesia

@bonifacejoseph_ @Thereal_taivina TZS sio Hela ya Zimbabwe boni amka🤣
Čeština

Sikuwahi kuona ugumu wake .
Very direct hata hamna kufikiria kwingi .
Chemistry as whole less thought is needed into learning it.
Waziri Wa Mbeya@waziri_mbeya98
Sidhani kama Kuna Topic Ngumu Kwenye Elimu Kuzidi Hii..😁🙌
Filipino

Nyie @NMBTanzania dogo hataki hata mshahara kasema, anataka kujifunza na kuongeza thamani.
𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™@anuskills3
Hey @NMBTanzania , what does it take for someone passionate about Marketing & PR to secure an internship or job opportunity with your team? I’m ready to learn, grow, and add value. 🙏
Indonesia

Hey @NMBTanzania , what does it take for someone passionate about Marketing & PR to secure an internship or job opportunity with your team? I’m ready to learn, grow, and add value. 🙏
English

@lordmoremi Nipo sehemu chicca anafanya sana delivery 😂 hapa nkimwambia njoo sehsmu fulan atajua n don,😂
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Benjamin Netanyahu tayari aliwahi kutembelea Mgahawa huo…akiwa amevaa mavazi haya haya, lakini ilikuwa mwaka 2024… kweli dunia imejaa udanganyifu…💔

Indonesia
Eng Mutran đã retweet

@AlexSamoja Hawa na "wairaki" ningekua na hela naenda kuzoa kama 100 kika Mwaka naenda kuwamwaga kwetu Mbeya huko ni ndoa tupu.
Hiyo mixture ikitokea ni msiba
Filipino

@KennedyMmari I Say normally there is a need to rewrite our history. Alot of pages are missing.
English

@RKishaija81715 I wonder if African leaders are aware of our nation interests
English
Eng Mutran đã retweet

@Aljerry_12 @SalimuIbwe Point yangu kukosa skills muhimu hata ukiwa academician huwez ukawa mwalimu mzur.. tumeshuhudia walimu wenye waliscore Great GPA ila wanawasomea slides wanafunzi..
Kikubwa tuwambie vijana wajitahid sanas kupata extra skills
Filipino

@mutran06 @SalimuIbwe I think inategemea una malengo ya kufanya nini baadae. Kwa ambao wanaelekea kuwa academician hizi GPA kubwa ndio kigezo cha kwanza kumpeleka huko, Sasa ukisema what next labda uiweke kwa malengo ya kwako wewe binafsi.
Indonesia

Watu wanne wamekamatwa baada ya kukiuka taratibu zilizopangwa za kuacha ulevi na kuuza pombe katika nyakati za mwezi wa Ramadhani Zanzibar wakati wa Operesheni maalum iliofanywa na Kamati ya Wilaya ya Magharibi “B” Visiwani Zanzibar walipofanya misako ya kubaini kama kuna Wafanyabiashara au Wanywaji wanakwenda kinyume na katazo hilo
Akizungumza na @AyoTV_ Mkuu wa Wilaya ya Magharibi "B" Amour Seif Mmanga amesema katazo la Uuzaji wa pombe na unywaji huanza tu pindi Mwezi Mtukufu wa Ramdhan unapoanza ambapo Watu wanne wamekamatwa baada ya kukutwa kwenye vibanda vya kuuza pombe wakilewa mchana jambo ambalo ni kinyume na taratibu za Zanzibar katika kipindi hiki
Mmanga amesema watu hao tayari wanashikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Mazizini na hatua stahiki zitafuatwa za kisheria ili kufikishwa Mahakamani na kama Mahakama ikijiridhisha na kesi hiyo na kwamba operesheni hiyo itaendelea ili kulikomesha jambo hilo kwa wanaokwenda kinyume
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

Af mtu anasema nihame daslam kisa maisha yana gharama sana 😅😅🖕
Celsius Ulanda@Celsius015
Madem wa mwanza wananafasi ya kipekee sana kwenye huu ulimwengu Shida yao moja tu hawatoi BJ hapo tu ndo wanapozingua
Indonesia













