Pythonista!!!
5.2K posts

Pythonista!!!
@ommy_pythonc
Web developer & Data Scientist 💻
Mwanza, Tanzania Tham gia Mart 2013
83 Đang theo dõi150 Người theo dõi

@pastajoshuatz Ukuma wote nimepiga chini, nilichelewa sana. Yote sababu ya Umaskini
Filipino

Nilichelewa sana kujua namna ya kula "healthy"
Nawatamania sana waliojua ishu za diet kitambo na wanaziishi kama sehemu ya maisha yao.
Huu mwaka nimewekeza kwenye AFYA yangu-moja ya kitu nilianza nacho ni DIET yangu izingatie Heathy na kupiga tizi back to back.
KILO 11 zimepotea mpaka sasa. Hii ni challenge ya mwaka mzima MUNGU akinipa kibari. 🙏
Indonesia
Pythonista!!! đã retweet
Pythonista!!! đã retweet

LIST OF 40 WEBSITES TO FIND REMOTE JOBS
1. Linkedin. com
2. Indeed. com
3. Glassdoor. com
4. FlexJobs. com
5. weworkremotely. com
6. Remote. com
7. Upwork. com
8. Freelancer. com
9. Fiverr. com
10. Guru. com
11. Toptal. com
12. AngelList. com
13. Hubstafftalent. com
14. Simplyhired. com
15. Remotive. com
16. Virtualvocations. com
17. workingnomads. com
18. Hired. com
19. cloudpeeps. com
20. taskrabbit. com
21. talent. com
22. Remote OK - remoteok. io
23. DRemote - dremote. io
24. Jooble - jooble. org
25. stackoverflow. com/jobs
26. jobspresso. com
27. onlinejobs. ph
28. simplyhired. com
29. themuse. com
30. skipthedrive. com
31. zirtual. com
32. justremote. com
33. hireable. com
34. remoteworkhub. com
35. jobbatical. com
36. freelancewritinggigs. com
37. contentwritingjobs. com
38. problogger. com/jobs
39. behance. net
40. designhill. com

English

@EngMbwaga @Millambo_ Hawa jama huwa siwaelewi, kuna mahala utakwama tu, fundamentals muhimu sana
Indonesia

@Millambo_ Şoma vizuri ulicho andika alafu unganisha na mfano? Mbona haviingiii issue sio kutengeneza website issue ni are they secure ? How about bugs fixing? Preliminary make sure you know programming and you have abc about it, otherwise utakuwa na kazi ngumu sana siku zikizingua
Filipino
Pythonista!!! đã retweet

@zoetjesheeftX Iran Ina mdomo mpaana Sana wa kufanya Propaganda Ila kiukweli Irani ilivyo Sasa Ni Kama kuku aliye hai amenyonyolewa manyoya YOOTE na kuachiwa mtaani.
Balaa tupu.
Kuna mitz mienzetu siielewi I don't know sbb wa kidini Sana au kiroho kimewazidi.
WANASHABIKIA UPUPU WA IRAN.
Indonesia

Kitendo Cha IRAN kudungua Ndege ya marekani kilifurahisha watu wengi Leo, wengi tulikuwa tume subiri kusikia hao marubani wame kamatwa wako kwenye mikono ya jeshi la IRAN.
Kitu Cha kushangaza Ndege imedunguliwa ndani ya IRAN, halafu marekani akatuma Ndege Zake tatu kwenda ndani ya anga hilo hilo la IRAN tena zinapita kimo Cha chini huku wananchi ndo Wana zirekodi Kwa simu zao na wana fanikiwa kuokoa rubani wao mmoja, na mpaka muda huu Wana endelea na kumtafuta mwingine.
Hiki kitu kitu wataalamu njooni mtueleze ina maana gani?

Indonesia

@millardayo Wapuuzi pekee ndo wanamsapoti huyu bwana..Hana akili
हिन्दी

Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, amejibu vikali kauli za Rais Donald Trump wa Marekani ambaye hivi karibuni alisikika akimdhihaki kwa kusema Mke wake amekuwa akimshughulikia vibaya sana na kwamba bado anajitibu kutokana na kujeruhiwa mdomoni na Mke huyo ambaye amemzidi umri Macron kwa karibu miaka 25.
Trump ambaye alitoa kauli hiyo wakati akiikosoa Ufaransa kwa kukataa kujiunga na mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.
Akizungumza akiwa katika ziara rasmi Nchini Korea Kusini, Macron ambaye video yake yenye utata ilisambaa mwaka 2025 ikionesha utata kati yake na Mkewe wakiwa ndani ya Ndege ya Rais ikidaiwa alipigwa na Mkewe, madai ambayo aliyakanusha......... amesema kauli hizo za Trump hazina za heshima wala kiwango cha adabu anachopaswa kuwa nacho Kiongozi wa Taifa.
Vijembe hivi vimekuja wakati Ufaransa ikiwa imekataa kuunga mkono kikamilifu oparesheni za kijeshi za Marekani na Israel ambapo pamoja na msimamo huo Ufaransa ilipeleka baadhi ya Vikosi kulinda Washirika wake katika Ghuba ya Uajemi, msimamo ambao umefanana na Nchi nyingine za Ulaya kama Hispania na Italia. #MilardAyoUPDATES

Indonesia
Pythonista!!! đã retweet

Airtel Tanzania wanakuambia
Unlimited internet unayopewa ikifika kiwango cha juu cha matumizi
Speed lazima ishuke
Nimewauliza
Kiwango cha juu cha matumizi ni GB ngapi, hawasemi
Na wana recomand
Kama unataka kuboost ulipe kiasi kidogo speed itarudi kama awali
Wakuu niambieni
Provider gani wa internet bongo hana hizi mambo
Akikupa unlimited iwe ni wewe na muda wako na si kupangiana matumizi.
Indonesia
Pythonista!!! đã retweet
Pythonista!!! đã retweet

The Data Analyst Roadmap.
From noob to pro🚀.
Start your Data Analysis Journey Now...

Waleeed🧑💻♟️📚@Aabdul_HameedD
You can start learning DATA ANALYSIS now.⏲️
English

#TajirLaKihaya
Kuna kupata Random GiveAways- hii hata Kama unahela unaweka namba unapewa ya Vocha sio mbaya…
Kuna kuomba Mtaji,Karo,Hospital Bill-ONLINE Rukhsa kabisaaa…
Ila hii mwanaume kuomba Elfu 2 Online Kwa strangers- Yaani inamaana Familia yako yote,Cycle yako nzima pamoja na majirani wamekosa Elfu 2 ya kukulipia daladala 😳
Mwanaume wa aina hii Hana SIFA ya KUWATUSI watu ONLINE Kwa Namna yoyote ile….
Filipino

@mshambuliaji Kibali? Tangu lini Iran inamiliki Mlango wa Hormuz? Njia za kimataifa hazihitaji ruhusa yeyote 😠
Indonesia

Iran imetoa kibali rasmi kwa meli za Afrika Kusini kupita katika Mlango wa Hormuz, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika usafirishaji wa baharini na kuhakikisha uhuru wa njia muhimu za biashara ya kimataifa.
Taarifa hiyo imekuja wakati Mlango wa Hormuz ukiendelea kuwa mojawapo ya njia nyeti zaidi duniani kwa usafirishaji wa mafuta na bidhaa nyingine muhimu.
Ruhusa hiyo inatarajiwa kusaidia kurahisisha shughuli za biashara kati ya Afrika Kusini na mataifa ya Mashariki ya Kati, pamoja na kupunguza changamoto za usafirishaji katika eneo hilo.
Maafisa kutoka pande zote mbili wameeleza kuwa hatua hiyo inaashiria nia njema ya kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi, huku wakisisitiza umuhimu wa usalama na ushirikiano katika kulinda njia za kimataifa za baharini.
#KitengeUpdates

Indonesia

@JOH_MCI @Luckiest255 @AmRosalinee Demu anayejitambua lazima ajue nyau inanuka, au mdomo inanuka, kuna hiv videm lazima ukutane na hzo issue
Indonesia















