😎

320 posts

😎 banner
😎

😎

@taiser22

#Kaka_yake_Mama

Dar es Salaam, Tanzania Tham gia Kasım 2013
46 Đang theo dõi26 Người theo dõi
I AM
I AM@francismtey·
Ila NASA 🤣
Filipino
45
8
116
17.1K
I AM
I AM@francismtey·
@taiser22 @Eng_chambo Kwa nasa Inawezekana Inawezekana Ila kiuhalisia Haiwezekani... kwasababu There Is Firmament ABOVE us
Indonesia
2
0
1
30
I AM
I AM@francismtey·
@Eng_chambo Hakuna Ulichkiandika hapa Sikubaliana nacho. kila kitu hapo nakubaliana nacho. Ila swala la Kwenda Mwezini au tu Kusema kwamba Kuna binadamu aliwahi Toka nje ya Dunia hii Hapo Nitakataaa... BIG TIME
Filipino
1
0
0
79
Hilary Mbowe
Hilary Mbowe@hilarymbowe_·
@AshrafDadi2 @Conspiracist_1 Kaka hoja sio tech wala knowledge hoja ni kutumia mgongo wa sciences kudanga ukweli wa Mungu kwa faida zao za kishetani na kupotosha.Hivyo tunasema hawa ni waongo , dunia sio global bali ni flat na hakuna mtu anaeweza kutoka nje ya dunia.That's it .
Filipino
3
0
1
568
Mtoto wa Mungu🤲🏽
Mtoto wa Mungu🤲🏽@Conspiracist_1·
Zaidi ya nyuzi joto 2700*C walizokutana nazo lakini bado hiyo rangi kwenye chombo haikuyeyuka wala kufutika. Wakuu, ni kazi sana kuwatetea hawa jamaa😂
Mtoto wa Mungu🤲🏽 tweet media
Indonesia
154
23
599
67.4K
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
🚨JUST IN:Akiwa tayari amekubaliana Kila kitu na Young Africans SC kiungo mshambuliaji Ramadhani Salum Chobwedo amesaini pre contract na Simba SC Leo
BracuszCadabra tweet media
Indonesia
56
10
477
29.9K
Nathan Paul Jr
Nathan Paul Jr@Fikra_pevu·
Hivi kuna route yenye kampuni nyingi za mabus kama DAR ~ DODOMA.....?
Indonesia
7
4
94
7.6K
😎
😎@taiser22·
@BracuszCadabra hapana kwa kweli mm naona simba inamfaa zaid agombanie namba na guey
Filipino
1
0
1
22
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
😃Steve Barker kafanya Sub ya Hussein Mbegu(CB) kwenda kucheza kama offensive player Pale nadhani kichwa ilikuwa imepata moto Anyway TRA UNITED wamembakisha Azam FC peke yake kukataa unyonge nyumbani dhidi ya top 4 teams Chobwedo ameendelea kutetea mkataba alionao mkononi
Indonesia
15
5
251
6.1K
Mbwaa wa Ileje.
Mbwaa wa Ileje.@Baharyy25·
@deusson_mkushi @IAmMaloya27 Story tu hizo, kwan c tulifundshwa binadamu anatokana na nyan kwan kweli, tukulize we ulikuwa nyan ulivyozaliwa ndo ykawa mtu lakin tulivyo soma tu
Filipino
1
0
2
47
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
TAARIFA KWA UMMA
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
45
16
90
19.8K
😎
😎@taiser22·
@Psiteshio1 @mj0058 tafiti hujibiwa kwa tafiti.. mfanye na nyie yenu tuone mwezini kukoje😎
HT
0
0
0
28
MJ ™
MJ ™@mj0058·
Huyu jamaa aliwezaje kukanyaga mwezini musja 57 iliyopita?? Na hawa ARTEMIS II wa sasa kwanini hawajafanya kama yeye???
MJ ™ tweet media
Indonesia
31
8
123
10.9K
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
🔰Moja ya maeneo Young Africans SC wataboresha dirisha kubwa la usajili ni Mlinzi wa pembeni kushoto Lengo ni kuachana na Chadrack Boka ambae amekuwa akisumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara Wanaendelea kumtathmini Yao Kouassi ikiwezekana nafasi yake wasajili mchezaji mwingine
Indonesia
12
5
131
2.8K
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
🚨 Ramadhani Salum Chobwedo to Young Africans SC is almost a done deal Mchakato ulianza baada ya mchezo wa Simba SC dhidi ya TRA UNITED Ukiachana na mahitaji ya kiufundi ila pia ni usajili kipenzi Cha mashabiki ambao wanashawishika na anachokifanya Tukutane KILELE CHA WANANCHI
BracuszCadabra tweet media
Indonesia
47
11
250
9.4K