fuck the system
2.5K posts










Iran wametoa funzo kubwa sana duniani - self-reliance ni nguzo kuu ya taifa lolote linalo declare 'sovereignty'. they've officially become a super power.





“They have lived in a world that you know nothing about”




Rais wa Marekani, Donald Trump, ametishia kuishambulia Iran kwa kuharibu Miundombinu yake muhimu, ikiwemo vituo vya umeme na madaraja, endapo nchi hiyo haitafungua Mlango wa Bahari wa Hormuz ifikapo saa 2 usiku Jumanne. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Trump alionya kuwa hatua hiyo italenga kuishinikiza Iran kufungua njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani, ambayo imekuwa kitovu cha mvutano mkubwa wa kisiasa na kiusalama. Mlango wa Bahari wa Hormuz ni njia nyeti inayounganisha Ghuba ya Uajemi na Bahari ya Hindi, na hupitisha sehemu kubwa ya mafuta yanayosafirishwa kimataifa. Kufungwa kwa njia hiyo kunaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa uchumi wa dunia. Hadi sasa, Tehran haijatoa tamko rasmi kuhusu onyo hilo, huku hali ya taharuki ikiendelea kuongezeka katika eneo hilo. #KitengeUpdates


















