Mr Nyongololo
646 posts


Jitu aliwezi hata kuongoza familia yake limeshindwa inalelewa na wazungu ndo atakuja kuiongoza Tanzania @mangekimambi upigwi paipu vizuri ndomaana akili mgando.
Huyu Chiba Labda Awe Rais Wa Mashog🌈

Indonesia

@Thommunkondya Je kufanya uchawa ni kipambana mzee au tuache uchawa.
Indonesia

Katika sehemu Rais Samia amefanya makubwa na hayazungumzwi ni sekta ya ardhi kama ni mdau wa ardhi utakuwa unanielewa kwahiyo ilikuwa lazima ni mtaje kwa kumpongeza. Vipi lakini umepata madini sio.?
Babadancila@Babadancila
@Thommunkondya Kaka nilikua nakufuatilia kwenye haya mahojiano, nikabet na jamaa nilikua nao kuwa lazima umtaje mama na kweli mkeka wangu ukatiki.
Indonesia


@Baradhuli2 Tunakuzoom tuu endelea kudhalilisha dada yetu wa Taifa
Eesti

Wewe mbona vifo vya October ulikaaa kmy?
Farhan Kihamu Jr@FKihamu
Iran 🇮🇷 imethibitisha rasmi kifo cha Ayatollah Sayyid Ali Khamenei.
HT

Tunaye Amiri Jeshi Mkuu amepatikana kikatiba na kisheria. Mimi nilishiriki uchaguzi sikuridhika na matokeo lakini nimepokea, Rais Samia ni Rais halali kwa mjibu wa Katiba na Sheria za Tanzania. Watanzania tunamtambua, Tunamheshimu, Tunamtii na tunamlinda. Rais ndio nchi.
Mkitaka rais wenu subiri 2030 mshiriki uchaguzi, hakuna njia ya mkato. Mlijaribu kupindua tarehe 29 oktoba 2025 mkasababisha maafa makubwa. Jaribuni tena mtashughulikiwa viongozi hukohuko mlikojificha….
CWPedro@cw_pedro
Tupate sasa Amir-Jeshi-Mkuu asiyetiliwa SHAKA kapatikanaje. Vinginevyo tuambiwe kama ni vyombo vyetu vya DOLA viliamua 'kujichagulia' AJM wao wenyewe kinyume na KATIBA ya Jamhuri.
Filipino

@swahilitimes Mbona GSM alikutoa, ww ni nani kwenye club ya utopolo
Indonesia

Namwambia mtu hapa huu ni mradi wa Tanzania huko kishatu,Shinyanga anabisha anasema ni china,aya bhana nyie endeleeni kujidharau 50MW zinaenda grind ya taifa kutokea kwenye jua. Sisi ni bora kuliko mataifa mengi sana afrika bahati mbaya hamfatilii wengine. Ni vile pia viongozi wetu wengi hawajui PR. Tunasogea dunia ilipo.

Indonesia

Asiyesikia la mkuu huvujika guu, tuliwaambia kesi ya kisiasa iishe kisiasa, tukaitwa wasaliti
DON MINJA@donminja47
@eastafricatv @YerickoNyerereT hii kesi sasa inaenda kuunganishwa na Aftermath za siku ya Uchaguzi na mauaji yaliyotokana na Uchochezi wa Mnyaturu Mropokaji Hodari @ChademaTZ2 sisi @ChaummaT tuliwaonya kuwa vita bado mbichi mno @Eliudiwekesa @NotoriousJayZ1 @storizapombe @AdamEzekiel12
Filipino

@Binamu01 AY ajawahi kutoboa kimataifa,maybe ametoboa kuwa chawa amna kitu hapo.
Indonesia

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
MANGUNGU HANA ANACHO KIJUA - Diwani wa Kariakoo na Msemaji wa Zamani wa Vilabu Vya Simba na Yanga SC, Haji Manara.
[🎥 Crown FM]
#MeaMswahiliUPDATES
Indonesia












