Obsidian

92 posts

Obsidian

Obsidian

@2BitRoot

So What?

انضم Mart 2026
5 يتبع3 المتابعون
تغريدة مثبتة
Obsidian
Obsidian@2BitRoot·
Mwanaume unaombaje fedha mtandaoni kwa mwanaume mwenzio? Omba mchongo, kibarua, kazi, au connection na si pesa. Ndio maana tuna kizazi cha hovyo sana siku hizi.
Filipino
0
1
0
28
uncle chitemo
uncle chitemo@Mikumifinest·
Mtawala anachaguliwa kwa asilimia 98%. Lakini anaogopa mpaka magrop ya Whatsapp, X . Yaani Kwanini wakati anapendwa
uncle chitemo tweet media
Indonesia
7
10
36
1.7K
Obsidian
Obsidian@2BitRoot·
Absolute Banana🍌
Svenska
0
0
0
3
Learner✝️🛐
Learner✝️🛐@ProLearner77·
@ErickKamihanda Watu wa Hip Hop mnatumia muda wenu 98% kulalamika, kubishana kuhusu maana ya Hip hop, kujigamba, beef na kutukana watu. Watu wa ovyo kweli
Indonesia
3
0
4
420
Eric Does
Eric Does@ErickKamihanda·
Ni muda wa jamii na media kuacha kuchanganya HIP HOP na RAP. hivi ni vitu tofauti kabisa. Contradiction ipo hapa: Sio kila anayerap ni Hip Hop artis. Wasanii kama Lunya, Moni, young D, conboi, wako kwenye angle ya RAP. Sikumbuki Kama washawai kuwa hip hop artist.
Indonesia
12
6
52
4.2K
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa dini zinapojenga maadili mema ya jamii taifa hujenga msingi wa amani na maendeleo yake. Akizungumza kwenye Baraza la Idd El-Fitri jijini Dar es Salaam leo Machi 21, 2026, Rais Samia amewataka viongozi wa dini kuendelea na jukumu la kuwajenga wananchi kiimani na kimaadili. "Tukiendelea kuyaachia yale aliyoyasema Mufti ya kutukanana kwenye mitandao ya kijamii huko, ya kutengeneza AI zinazokashifu viongozi eidha wa Serikali au wa dini, watoto wetu wadogo wakiyaona yale wanajifunza, wanayafata, hatutakuwa salama, na nchi haitatulia na maendeleo hayatakuwepo," amesema Rais Samia.
Indonesia
8
1
8
1.7K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
ukisiikiia nnamchukia mtu bila sababu ndo uyu kaka simjui hajanikoseea Ila niliona interview yake siku moja nikajikuta namchukia anajibu jeuri ana dharau, Mshamba namba moja wa chugga eti figo vato ndio nani wakuu?😂
mTusi original 👦 tweet mediamTusi original 👦 tweet media
Indonesia
43
11
151
19.9K
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Huyu bimaza kipaji anachoo , sawa kaimba matusi kuna kumkanya sasa kufungiwa miaka mitatu halafu ndio alikuwa kaanza kujulikana wanamrudisha tena nyuma duuh
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
30
18
135
13K
Dr. Travis
Dr. Travis@TravisKitengo_·
Huyu jamaa anajua 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dr. Travis tweet media
Indonesia
67
24
195
18.2K
Obsidian
Obsidian@2BitRoot·
Absolute Madness💀
English
0
0
0
9
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
@2BitRoot Sio Unimous ila hunifahamu tulia we joined 2026. Heshimu baba zako.
Indonesia
1
0
0
4
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Mtu kajoin Twitter 2011 afu leo 2026 anasema ana umri wa miaka 30. Humu kwa kujidogosha.
Indonesia
9
1
28
6.6K
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
@2BitRoot Kapuku unanifahamu au shobo zako tu we joined 2026.
Indonesia
1
0
0
10
Obsidian
Obsidian@2BitRoot·
@assengajrr Na Wewe uliejoin miaka 10 iliyopita huna chochote cha maana zaidi ya kuwa kapuku mzoefu wa Twitter.
Filipino
1
0
0
8
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
@2BitRoot Ndo ulichofatia huku icho, aya choo fata ilo biringanya maana unalitaka...joined 2026 unaleta ujuaji.. Tulia
Indonesia
1
0
0
10
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
@2BitRoot Leo sio 2011 uwez linganusha access ya mitandao leo na miaka ya 2010😬 kwa umri wkao leoingekua 2010 ata simu sio kuishika tu bali huenda ukawa hujawai ata iona
Indonesia
1
0
0
45
Obsidian أُعيد تغريده
Obsidian
Obsidian@2BitRoot·
Mwanaume unaombaje fedha mtandaoni kwa mwanaume mwenzio? Omba mchongo, kibarua, kazi, au connection na si pesa. Ndio maana tuna kizazi cha hovyo sana siku hizi.
Filipino
0
1
0
28
Obsidian
Obsidian@2BitRoot·
@HabariTech Na wangeweza kukusanya kodi bila kutumia nguvu, ila sasa kwa vile madaraka yameshikwa na washamba, Tutakoma.
Filipino
1
0
1
64
HabariTech
HabariTech@HabariTech·
Bado nasema Tanzania tukiweza kweli kutatua mifumo ya Malipo itakuwa ushindi sana. Mpaka leo hii bado mifumo ya malipo ni changamoto kunwa sana.
Filipino
3
3
21
1.4K