𝗗𝗘𝗘𝗭𝗡𝗨𝗧(𝗦)🥜

293 posts

𝗗𝗘𝗘𝗭𝗡𝗨𝗧(𝗦)🥜 banner
𝗗𝗘𝗘𝗭𝗡𝗨𝗧(𝗦)🥜

𝗗𝗘𝗘𝗭𝗡𝗨𝗧(𝗦)🥜

@2BitRoot

I carry the Burden of Performance🇮🇷

Katılım Mart 2026
16 Takip Edilen19 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
𝗗𝗘𝗘𝗭𝗡𝗨𝗧(𝗦)🥜
Mwanaume unaombaje fedha mtandaoni kwa mwanaume mwenzio? Omba mchongo, kibarua, kazi, au connection na si pesa. Ndio maana tuna kizazi cha hovyo sana siku hizi.
Filipino
0
1
0
138
Thisisliie🌹
Thisisliie🌹@Thisisliie_·
Unakuta umekaa zako tu minding your own business MTU ANAKUJA ANAKWAMBIA NAKUPENDA😂😂😂😂ntakuja nimpige mtu kofi mimi😏😏😏
Indonesia
8
10
21
266
𝗗𝗘𝗘𝗭𝗡𝗨𝗧(𝗦)🥜 retweetledi
ZUNYE🎲
ZUNYE🎲@sinahisa·
Hee!! kumbe kweli Huyu dogo ni Kuma🧄
ZUNYE🎲 tweet mediaZUNYE🎲 tweet media
Filipino
0
2
2
50
𝗗𝗘𝗘𝗭𝗡𝗨𝗧(𝗦)🥜 retweetledi
irene Luxe Accessories💍
Tuone picha yako bila filter 👇
irene Luxe Accessories💍 tweet media
Filipino
88
60
235
11.3K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Madalali tuheshimiane wakuu
Indonesia
33
11
91
12.8K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Mtu aliyejitambulisha kama Mbunge wa jimbo la Ikungi Magharibi, ameishauri Serikali katili ya CCM kuanzisha tozo kuchangia Bima ya Afya kupitia miamala ya simu. Kila Mtanzania atachangia fedha kwa kila muamala. Tanzania, kodi na tozo katika miamala ya simu zimegawanyika katika sehemu kuu tatu: Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), Ushuru wa Bidhaa (Excise Duty), naTozo za Serikali (Government Levies). Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT); Hii ni kodi ya (18%) inayotozwa kwenye huduma zote za kibiashara. Kodi hii inakatwa kutoka katika ada ya huduma (service fee) anayolipa mteja kwa kampuni ya simu. Ushuru wa Bidhaa (Excise Duty); Ni kodi (17%) ambayo inatozwa katika huduma za mawasiliano na uhamishaji fedha. Kodi hii inatozwa kwenye ada ya huduma ya kampuni ya simu kwa ajili ya kutuma au kutoa fedha. Tozo ya Serikali (Government Levy). Hii waliipa jina la Tozo ya Uzalendo. Tozo bado ipo kwenye kutoa fedha taslimu (kwa wakala). Unapofanya muamala (mfano: kutoa 10,000 TZS), unacholipa kinajumuisha: Ukimtumia Mtu Fedha kiasi cha TZS 50,000, unacholipa ni Ada ya Mtoa Huduma (ndani yake ina VAT na Excise Duty). Hii ni TZS 800 mpaka TZS 1,000. Tozo ya Serikali ni TZS 0 (Imefutwa kwa miamala ya simu kwa simu). Ada ya Mtoa Huduma & Wakala ni TZS 1,200. Tozo ya Serikali (Kutoa) TZS 500. Jumla utakatwa TZS 1,700 kutoa TZS 50,000. Unapotoa fedha taslimu, hapo ndipo Tozo ya Serikali ya kutoa inapofanya kazi yake. Nimetuma TZS 100,000 kutoka CRDB kwenda M-PESA. Nimekatwa TZS 3,500. Hiyo pesa 100,000, ukitoa kwa wakala. Gharama ya kutoa kwa wakala (ikijumuisha ada ya mtandao na tozo ya serikali ya kutoa) ni TZS 3,300. Sekta ya afya inahudumiwa na vyanzo mbalimbali vya mapato. Wameweka utaratibu wa kutoza kodi na tozo (levies) katika bidhaa au huduma ambazo asilimia ya mapato huelekezwa kwenye miradi au huduma za afya. Serikali inatoza fedha katika miamala ya kutuma na kutoa fedha kwa njia ya simu. Hii imeelekezwa katika ujenzi wa vituo vya afya na zahanati, kata na vijiji na kuimarisha huduma za dharura na ununuzi wa dawa. Kodi ya Bidhaa (Excise Duty); hii inatozwa katika bidhaa zinazosababisha magonjwa yasiyoambukiza kama vile sigara na bidhaa za tumbaku, vinywaji vikali na pombe, vinywaji vyenye sukari (sugar-sweetened beverages) Tozo ya Mafuta (Fuel Levy); Kodi kama ongezeko la thamani (VAT), kodi ya mapato (Corporate Tax), na ushuru wa forodha (Excise Duty) huingia moja kwa moja katika Mfuko Mkuu wa Serikali (Consolidated Fund) Kutokea hapo, Serikali hupanga bajeti na kugawa fedha kwenda sekta mbalimbali kulingana na vipaumbele vya taifa. Katika sekta ya Afya, fedha inakwenda kwtika Ujenzi wa hospitali, vituo vya afya, na ununuzi wa dawa. Michango ya Bima ya Afya (NHIF na iCHF); Hii ni tozo (lazima) kwa watumishi wa umma. Ambapo, kila mtumishi wa umma anakatwa 6% ya mshahara ghafi (gross salary) na hiari kwa watumishi sekta binafsi. Tozo za Huduma za Hospitali (User Fees); Mwananchi hulipa anapofika hospitali kupata huduma (kama hana bima). Zinabaki vituo vya huduma ili kusaidia ununuzi wa dawa za haraka na vifaa vidogo vidogo vya maabara. TZ ni kati ya nchi zenye maeneo makubwa yaliyotengwa kwa hifadhi duniani (zaidi ya 25% ya ardhi). Hifadhi za Taifa (National Parks), Mapori ya Akiba (Game Reserves), Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Tanzania ina Hifadhi Wanyamapori. Madini ya Thamani na Viwandani. Gesi Asilia. Vyanzo vya Maji. Ardhi na Misitu. Nishati ya Maji, Jua na Upepo. Milima. Bado Mnaendelea kumjazia mwananchi kodi na tozo? Kwanini hizo pesa zisitoke katika mishahara na posho zenu? Mbunge hakatwi kodi na anapata mshahara na posho unaokadiriwa kufikia TZS 18 milioni kwa mwezi. Kwanini tusipunguze mishahara yenu MAFISADI? AKILI zenu zimeishia katika kufikiria kuongeza tozo na kodi tu? Halafu, hizo pesa za kodi zikipatikana, mnakwenda kukimbiza moto tu. Nyingine mnanunua magari ya kifahari. MBOGAMBOGA HAMJITAMBUI.
Martin Maranja Masese tweet media
Indonesia
45
130
653
30.9K
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Adam Mchovu kabia juu hapo hapo 📌
Indonesia
8
20
187
10K
Bishop Mpemba, MzeeFumbuaMacho
Bishop Mpemba, MzeeFumbuaMacho@MzeeFumbuaMacho·
@godbless_lema Ningepata shida sana kuishi hiyo nchi kwa sasa. Namshukuru sana Mungu kwa kuniwezesha kuwa mbali kidogo kwa muda mpaka nchi itakapopata wenye akili zao. Mithali 29:2 inafikirisha sana. Bangaladeshiiiii
Indonesia
2
0
9
783
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Dini inapogeuzwa kuwa chombo cha kutawala akili za watu badala ya kuongoza roho zao kuelekea kwenye ukweli na utu, hugeuka biashara ya hofu. Watu huanza kuishi kwa woga badala ya imani, wakiamini kuwa sauti kubwa za madhabahuni ndizo kipimo cha ukweli. Lakini ukweli haupimwi kwa kelele za mahubiri, wala kwa ukubwa wa mikusanyiko, unapimwa kwa matendo ya maisha.
Godbless E.J. Lema tweet media
Filipino
50
54
318
13.6K
millardayo
millardayo@millardayo·
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale ameishauri Serikali kuanzisha huduma maalum ya Ambulance ndani ya Treni ya Mwendokasi (SGR) ili kusaidia usafirishaji wa wagonjwa wanaohitaji rufaa kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili. Akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa fedha 2026/27, Taletale amesema Wakazi wengi wa Morogoro hutegemea huduma za Muhimbili lakini si wote wana uwezo wa kukodi Ndege au Ambulance za gharama kubwa kwenda Dar es salaam. “Sisi Watu wa Morogoro Hospitali tunayoitegemea ni ya Muhimbili na sio kila Mtu anaweza akakodi Ndege na sio kila Mtu anaweza akachukua Ambulance kutoka Morogoro kwenda Muhimbili, tuangalie leo hii tumeletewa SGR kwanini tusije na Ambulance kwenye ile SGR tunashindwa nini? Tunaamini Rais ni msikivu atalifanya hili kiurahisi, wenzetu kule ng’ambo wanaweza kwanini tusiwe sisi,” Hamis Taletale. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
8
3
51
6.6K
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Hii mikoba miwili inajenga darasa Tanzania. Hii flexing ya utajiri inafanywa na kiongozi wa afya kwenye nchi ambayo jana tu kiongozi wake amemwambia mama mjamzito “kama hauwezi kununua gloves za kujifungulia, rudi nyumbani ukapasuliwe na mume wako.”
(---) Onesmo Mushi tweet media(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
21
30
195
14.7K
Essiiie Kapambala
Essiiie Kapambala@DadaEstie·
Na Kuanzia Leo Sio Lazima Unitukane Mimi Tu Nikiona Umetukana Mtu Wa Karibu Or Rafiki Yangu Utakula Block Na Wewe Ukipenda Block Back Please. Beware,Sio Nakublock Unaanza Kulialia .Afu Kama Nyie Sio Vichaaa Sikujui Hunijui Why NikikuBlock Unaumia??! Ebu Kalilieni Huko Mbali 🚮🚮
Indonesia
17
7
71
2.6K
Svetlana (Tayanah) Tibenda
Svetlana (Tayanah) Tibenda@TayanahTibs·
Denge is my friend. Yes that tweet imeleta sintofahamu. Aliojieleza so mtajua nyie, ila hamkumpa chance ya kumuelewa. Humu hata mie nshafanya upuuzi sana, lets forgive and move. Naomba tafadhali tweet yake has nothing to do with his family. Leave Coco out. Deal na aliyewakwaza.
Indonesia
175
20
317
133.3K