Adamoo

152.4K posts

Adamoo banner
Adamoo

Adamoo

@Addy_Adams

لا إله إلا الله محمد الرسول الله

Tanzania انضم Kasım 2011
744 يتبع12.4K المتابعون
تغريدة مثبتة
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Najua Binadam sijakamilika, niliowakosea naomba mnisamehe na Dua njema mniombee...
6
42
228
0
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@Kizibo_ Taa ipi Mkubwa?? Maana taa ya Button ya kuwashia inawaka
Filipino
0
0
0
2
Kipaange
Kipaange@Kizibo_·
@Addy_Adams Nafikiri ni Taa zimekufa, Ilnkuta hyo scenario ila sio kwa LG ni Mo electro niliambiwa hvyo mpka Leo sikuweza kurekebisha may be LG utapata mafundi wazuri
Indonesia
1
0
0
160
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
LG Tv inawaka lakini inaonesha Dark Screen ghafla tu,,, Msaada wenu wakubwa. Nimegoogle hapa inasema niHold button ya chini 15sec lkn button vijana waliitoa so nachindwa fanya chochote NB:- Kioo chake ni 253cm ,,, Fundi aje yeye
Indonesia
3
3
24
4.2K
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@YaiBovu Akili kama hizi acha CCM aendelee kutawala
Indonesia
0
0
0
2
Yai Bovu
Yai Bovu@YaiBovu·
@Addy_Adams shikilia power button wakati unaikojolea itawaka.
Indonesia
1
0
0
212
Laigwenan'
Laigwenan'@Mollel00·
@hataweweunaweza @Addy_Adams All beaches should be publicly accessible kutoka kwny sheria. Watanzania wanahitaj public spaces za bure. Inasaidia kujenga jumuiya na watu na pia ni bora kwa afya za mwili na akili.
Polski
1
0
0
10
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Hapo COCO BEACH Sasa itakuaje? Ndio kiwanja chetu sie Walalahoi kuwapeleka ndugu kwenda kupunga Upepo wakitoka Kingolwira, Kishumundu na Njombe wakija Dar
Indonesia
2
5
73
3.8K
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@BillyTronix1 Haitoi yaani iko Dark,,, ukiwasha mwanga kwa mbali na ukiongeza sauti haioneshi kwenye Kioo
Indonesia
1
0
0
316
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Wasouth ni wa$£ng€ sana,,, wanabagua waAfrica wenzao wakati hapo Cape Town waZungu matajiri wanaishi Camp Bay nyumba full mansions wametengenishwa na Maskini wako zao kwenye nyumba za Bati hazina umeme Wameshindwa kuwafanya kitu wanawaletea Gozigozi Waafrica wenzao 🚮
𝑻𝒉𝒆 𝑺𝒂𝒍𝒕 𝑶𝒇 𝑻𝒉𝒆 𝑬𝒂𝒓𝒕𝒉@Shadaya_Knight

Current situation in South Africa, as black South Africans are closing businesses of black foreigners.

Indonesia
0
2
8
885
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@3milesahead Kwenye Sheria kuna msemo “Jinai haiozi”
Indonesia
1
0
0
34
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Hao Machinga na Mawinga wa Mihogo hapo Coco Beach walimchangia jiwe 2mil ya form waache kulialia Mabanda yatolewe yamekaa kiuchafu sana. Tunachotaka maendeleo Mwekezaji aje hatujali Mjomba wa Oman, UAE au Beberu. Kikubwa WATOKE kazi iendelee mandhari ya jiji la Dar iwe safi 🤝
Indonesia
25
36
248
11.8K
arnold
arnold@arnold148037·
@Addy_Adams Kanyaga twende tumechelewa sana
Filipino
1
0
1
806
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@Reallawi_ Kutaka Kura na sifa lakini pale ni Kero na kuchafu,,, kama alivyoruhusu Wamachinga walipe elfu 10 kitambulisho angalia walivyojazana K/koo hata pa kupita hakuna
Indonesia
3
0
3
1K
iamMwaky
iamMwaky@Reallawi_·
@Addy_Adams Sema jiwe alizuia ubinafsishaji wa lile eneo ndo maana akawapa ,kwann wasimchangie?
Indonesia
3
0
7
1.1K
Unaweza
Unaweza@hataweweunaweza·
@Addy_Adams Umasikini si sifa. Bora paboreshwe pawe panasafishwa. Watu waende Kigamboni, Kawe
हिन्दी
5
0
2
219
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@bajabiri Au ndio yale yale ya kujamba na kuwasha feni?
Indonesia
0
0
0
38
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@ZuwenaKhatib Yowe sasa hivi tukapige Kundichi au Kigamboni 😂
Eesti
1
0
1
85
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@NgowiGold Oysterbay imekua kama Gulio la dagaa pale Ziwe Victoria,,, watoke waende hata Kunduchi
Filipino
1
0
0
23
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@capitanpapilon Milio hatutaki ni watoke wote Bahari kubwa hii,,, waende Mbweni au Kunduchi
Indonesia
0
0
3
869
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@MwansasuSnr @mackphason Kanyaga twende tumechelewa sana,,, Kipindi cha Matengenezo hapo Coco chimbo la kula samaki litakua Fishermens Kigamboni 😂
Filipino
1
0
1
730