TheBoss.💰

23.8K posts

TheBoss.💰 banner
TheBoss.💰

TheBoss.💰

@BOSSferdd

Here X for fun,💦

Tanzania انضم Şubat 2025
1.4K يتبع1.4K المتابعون
تغريدة مثبتة
TheBoss.💰
TheBoss.💰@BOSSferdd·
Huwa najiuliza watu Wanawezaje kuishi kwa biashara ndogo kama zike za mbezi stand. Unaona kabisa kwanza hauzi kwa siku 50k, hapate chakula nauli. siwajai kupata jibu.🤔
Indonesia
11
13
57
1.4K
TheBoss.💰
TheBoss.💰@BOSSferdd·
Watanzania ukiwakataza kitu ndio wanafanya sasa. Ngoja afe mwingine.! 😂
Indonesia
9
8
18
108
It's Hunaiya 💋❤️
It's Hunaiya 💋❤️@Hunaiya153989·
Ila tuache utani mapenzi magumu jamani Unaempenda hakùtaki usiempenda anakuganda basi tafurani 🤣🙌
Indonesia
18
17
40
520
M O X
M O X@UrBoyMox·
Sasa haka kamshono chini ya pumbu nani alikashona😂
Indonesia
12
10
41
720
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Account zilizo active saivi Zishushe handle tuzifolo hapa saivi, hakikisha unafollow back saiv Weka handle kama UNAFOLO BAKI TU
Filipino
51
16
40
603
Truth WatchDog🇹🇿
Truth WatchDog🇹🇿@TruthWatchDogTZ·
Hii mali safi jamani ningewaonyesha kwa mbele tatzo mtaniomba namba zake ...af me sina 😀 Waislam tunaaenjoy mno
Truth WatchDog🇹🇿 tweet media
Indonesia
7
7
18
435
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Mademu wa uswahilini jau sana Leo nimepanda daladala kuna dada mmoja kapanda kavaa kijora afu si unajua usafiri wa dar wa shida kwenye daladala mnakua mmebanana sana Yule dada kuna kijana alikua kamsimamia afu janja akawa amembambia aisee kwenye daladala bil aibu Huyu dada bila aibu kamuuliza jamaa una sh ngapi ? Wameshuka kituo kimoja pale tiptop noma aiseee Saiv mjini wadada wazuri wanaringa kuliko hata wenye degree Hawa madada wana njaa kali aisee 🙌
Indonesia
12
17
56
5K
Fundi viatu na mabegi
Fundi viatu na mabegi@Mshonaviatu·
Nilipoona ile tweet ya @Maestrowafact kuhusu kupewa dawa na anko wake aache kugida ugimbi binafsi nilijua ni suala ambalo haiwezekani. Kwa sababu hata hapa mtaani kuna dogo mmoja wa kirangi bi mkubwa wake kahangaika sana na kila aina ya dawa aache kugida lakini imeshindikana.
Fundi viatu na mabegi tweet media
Filipino
2
7
11
591
Ngatta Boe
Ngatta Boe@Ngattaboe99·
Sijawahi kusikia askari anadate na mwanafunzi hawa washikaji huwa hawadindi..🤔
Indonesia
21
26
123
4K
TheBoss.💰
TheBoss.💰@BOSSferdd·
Ni editing Ama🤔
TheBoss.💰 tweet media
Indonesia
2
3
9
179
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Hii Kampuni Tunaishi Kama Familia sisi. Familia yenyewe sasa 😂👇🏿
Eng.Mapunda Jr tweet media
Indonesia
15
15
104
1.5K
TheBoss.💰 أُعيد تغريده
𝐌𝐙𝐈𝐌𝐔🦍
𝐌𝐙𝐈𝐌𝐔🦍@taifahuru98·
🪐Ilipo anza RAMADHANI Alisema yeye na ulevi Tena basi ila Leo baada kumaliza kufunga sita👇
𝐌𝐙𝐈𝐌𝐔🦍 tweet media
Filipino
6
7
23
308