Dickson_Eng
118 posts


@DeFiMarketing_ @kasesco_tz Na Tena Hali ya hewa ikiwa mbaya wanabeba mpaka 30k,
Indonesia

@HeisDickson1 @kasesco_tz Niliwahi kufanya biashara ya kununua mifuko ya mawe Geita.
Bei ya mfuko ilikuwa inaanza 100K - 200K inategemea upatikanaji na quality.
Kusafirisha kwa mfuko haijawahi kuwa 20K au unaongelea umbali gani maana mashine za Kusaga na kuchakata mawe ziko karibu na machimbo
Indonesia

@DeFiMarketing_ @kasesco_tz Nipo porini (camp) na naongea kitu ambacho nakielewa na pia nakifanya brother
Indonesia

@FumboJunior Maana yake ukiwa na pesa unarefusha mchakato wa kifo (ie pesa ishazuia kifo kwa muda)
Indonesia

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa bado yupo gerezani amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Muungano wa Vyama vya Kidemokrasia Duniani (IDU) baada ya muungano huo kuhitimisha mfululizo wa mikutano yake Jijini Brussels, Ubelgiji kwa kufanya uchaguzi wa safu mpya ya uongozi.
Taarifa iliyotolewa na CHADEMA leo May 24,2025 imesema “Katika mkutano huo ambako Chama kiliwakilishwa na Makamu Mwenyekiti wa Democracy Union of Africa (DUA) Kanda ya Afrika Mashariki, Mh. Deogratias Munishi, Wajumbe walimchagua Waziri Mkuu Mstaafu wa 22 wa Canada Mh. Stephen J Harper kuendelea kuwa Mwenyekiti kwa miaka mitatu ijayo”
“Aidha, mkutano mkuu kwa kauli moja ulimchagua Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe. Tundu Antiphas Lissu kuwa sehemu ya jopo la Makamu Wenyeviti wa umoja huu”
“Rekodi ya msimamo usioyumba katika kupigania haki, utawala bora na demokrasia Tanzania licha ya mazingira hatarishi ikiwemo jaribio la kutolewa uhai kama ilivyoelezwa kwenye mkutano mkuu ndiyo iliyowapa imani wajumbe kutoka Mataifa mbalimbali ulimwenguni kumchagua Mhe Lissu katika wadhifa huu”
“Zaidi, wajumbe wa mkutano mkuu wa IDU walitanabaisha kuwa, kwa uzoefu wake katika mapambano ya kutafuta demokrasia ya kweli, haki na uhuru wa kweli, Mh Lissu atatoa mchango mkubwa ndani ya IDU hasa katika kumulika maeneo yanayokabiliwa na changamoto za kuporomoka au kudorora kwa demokrasia na kuibuka kwa tawala za kihimla husani bara la Afrika”
#MillardAyoUPDATES

Indonesia


Miaka 8 sasa imepita... sijawahi kusikia mtu yoyote kapata KIFAFA kisa kula Nguruwe.
Asilimia kubwa za TAFITI hua zinaandikwa na VILAZA kwa ajili ya kusomwa na VILAZA 🚮
Tanzania Digest@TanzaniaDigest
UTAFITI: Chuo Kikuu cha Kilimo SUA(Morogoro), chabaini nyama ya nguruwe inaweza kusababisha ugonjwa wa kifafa kwa walaji wa nyama hiyo. 1/2
Indonesia

@Abdul_Kitambazi @Bokilojessa @OleGunnarSolksj @EduTalkTz Acha kutumia akili za kitoto kuconclude tuhuma nzito mkuu, huwezi jua ni lini yatakukuta bro
Indonesia

@Sativa255 Hivi hakuna anaweza kutengeneza ata kabomu Ka mkono kero zingine hazivumiliki
Indonesia

@SincerelyRahma_ Hivi mtu akihamisha nyota yako haiwezi kurudi kivyovyote?
हिन्दी

@PhaustineYohana @GeorgeJob14 Huwezi jua kwenye hiyo ardhi labda madini yapo chini mkuu😅
Indonesia

@GeorgeJob14 Kuna jamaa nawajua wanagombea eneo lenye thamani ya 30M, ila mpaka sasa washatumia zaidi ya 100M kwenye huo ugomvi, na damu zishamwagika sana.. 😀
Filipino

@SalumuHassanali @Lissu_2025 Ulishawahi kufikiri labda haya mambo yanayowatokea vijana wenzako yawezekana hata na wewe yakaja yakakutokea? (hatuombeani mabaya lakini brother)
Indonesia

@HeisDickson1 @Lissu_2025 Sina Uhakika Ila Vijana Lazima Kuwe na Mipaka Ya Kiongozi Na Siasa Heshima Ni Muhimu
Indonesia

@SalumuHassanali @Lissu_2025 Kwamba tunamwagana DAMU kwa sababu ya kukosolewa mitandaoni? Kweli?
Filipino

@Lissu_2025 Shida hawa Vijana Wanaamini matusi na Kutisha Watu wengine ni Siasa lakini hawajuwi kama wanajitesa wenyewe
Indonesia

@PMadeleka Nadhani serikali ya awamu hii ndo serikali katili sana KUWAHI kutokea nchi hii tokea uhuru. Fck gvt.

Indonesia





















