Adamoo

152.4K posts

Adamoo banner
Adamoo

Adamoo

@Addy_Adams

لا إله إلا الله محمد الرسول الله

Tanzania Beigetreten Kasım 2011
744 Folgt12.4K Follower
Angehefteter Tweet
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Najua Binadam sijakamilika, niliowakosea naomba mnisamehe na Dua njema mniombee...
6
42
228
0
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@BarakaMaviatu Daah umenikumbusha mbali kinoma Mzee,,, Banda umiza Manzese CCM tsh 50 picha 2. Tambala la WarBus then SOLO
Indonesia
1
0
10
432
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Mkubwa hujawahi kujaa kwenye 18 zao.. Boda alikwangua gari nashuka kuangalia wakanijalia kama 15 hivi wanamtetea msenge mwenzao na maneno ya Karaha sijui Gari la mkopo nk wakati jamaa ana makosa Nikawaambia mbona nyie hampati hela mpaka UBAISHIWE na Abiria,,, wee kidogo waniue
Kitinyo@MtotoMujini

@Addy_Adams Sidhani kama wana shida yoyote. Mimi nafikiri tatizo la hapo ni parking tu. Ikitatuliwa hii na malaria kuacha kupark barabarani hii kero itapungua

Indonesia
9
6
49
7.6K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
@Addy_Adams Sasa hapa si uliwachokoza😂😂
Filipino
1
0
0
314
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@fadhilikangusi Nilionan WhatsAap clip zake 2 tatu,,, mgoja nikazipitie zote 😂
HT
1
0
2
162
Fadhili Kangusi
Fadhili Kangusi@fadhilikangusi·
Prosper na Mlinganya wakasome!
Fadhili Kangusi tweet media
Filipino
81
31
375
19.2K
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Bila MUNGU kuingilia kati Wile angekua Mbunge hata 50yrs,,, imagine tokea vyama vingi vinaanza ni yeye tu Watu wamekula Keki ya Nchi bana… 🙌
Indonesia
6
23
211
7.2K
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@nseheye99020 Sheria ingewekwa Wabunge nao 10yrs inatosha
Indonesia
1
0
0
295
Nseheye
Nseheye@nseheye99020·
@Addy_Adams Wale nao nikama wale wazee wa mabus mkoa wa moro ni milele na milele sijui kama watatoka
Indonesia
1
0
5
315
StevsJK
StevsJK@CliffStevsjohn4·
@Addy_Adams Hata mi nimeshangaa sana kwa kweli
Filipino
1
0
0
279
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Usiombe uchukiwe na Dotto Magari au Sativa 🙌
Polski
17
21
316
18.6K
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@MoshaMoyo Kidogk wanitoe roho,,, sirudii tena hadi nimiliki Bastola
Indonesia
0
0
0
283
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@Mussa_bilali99 Sahihi kabisa watu wanakimbilia mwendokasi kutokana na usafiri umekua wa shida
Indonesia
0
0
2
289
mwaka
mwaka@Mussa_bilali99·
@Addy_Adams Njia nzuri ya kupunguza hizo bodaboda sio kuzizuia zisiingie mjini bali ni kubana kipato chao.Kivipi? Ni kwa kuboresha Usafiri wa Umma ufikie world Class.Kuna Mwendokasi ambazo tunaweza kuziboresha na kuwa na huduma bora.Hao Bodaboda wataondoka wenyewe.
Indonesia
2
0
8
437
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Jiji la Dar es Salaam lipige marufuku Bodaboda na Bajaj kuingia katikati ya Jiji maana sio foleni tu bali ni KERO kubwa na vurugu. Tunapoelekea watawashindwa kama Machinga
Indonesia
29
12
230
15.2K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
📍VIDEO: Aliyewai kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kipindi cha uongozi wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Angelina Mabula amesema anatamani hayati Magufuli angekuwepo leo hii afanye kazi na Rais wa Burkina Faso, Kapteni Traore ili kuleta mageuzi katika Nchi zao na Bara la Afrika. Akizungumza kwenye Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli iliyofanyika katika Mazabau ya Bikira Maria Malkia ya Kawekamo, Angelina Mabula amesema Hayati Magufuli alikuwa mzalendo, hakupenda wananchi waonewe na mtu mwenye msimamo. "Tunachoweza kusema ni kwamba alikuwa ni mzalendo, mtu anayesimamia maono yake, mtu anayependa Watanzania na alikuwa mzalendo wa kweli hakutaka kujinufaisha pekee yake na hakutaka utani katika nafasi anayokupa,” amesema Mabula Hata hivyo Mabula ameongeza kuwa “Kwa kweli tumepoteza, nilikuwa natamani wakati huu Traore ambaye yupo sasa wa Burkina Faso, pengine angeweza kuwa na Magufuli mambo yangeenda vizuri, lakini najua Tanzania hii itafanya vizuri,”
Indonesia
23
12
120
13.1K
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@elia65637 Kungekua na miundombinu mizuri na usafiri wa ummma wa uhakika tusingepata boda na wao wenyewe automatic zisingejaa wangebaki kwenye delivery Sasa hivi tunaona wapo wengi kwasababu uhitaji ni mkubwa
Indonesia
0
0
0
80
😎
😎@elia65637·
@Addy_Adams Natamani sana wazo lako liwe implemented coz foleni zaidi ya 40% chanzo ni wao, but hao bodaboda na bajaji serikali itakua na mpango gani kusupport wakidhi needs zao? Isijekua tuna ua boda then wanashift kwenye umachinga barabarani inakua hatujasolve kitu. Discussion ngumu ii
Indonesia
1
0
0
101
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@BarakaMaviatu Sema ndio hivyo Mayor Shetta na Diwani Manara
Filipino
2
0
0
122